Search results

  1. Samcezar

    TAMISEMI toeni ufafanuzi kuhusu udahili wa wanafunzi kidato cha Tano unaoonesha kuwapa kipaumbele wasichana

    Nimekutana na hii post ya utaratibu mpya wa TAMISEMI katika kudahili wanafunzi wa sekondari ili kupata nafasi za kuendelea na masomo. Nimestaajabu sana eneo la madaraja ya kuwachagua wanafunzi ili kupata hizi nafasi. TAMISEMI wameweka vigezo vya chini sana kwa wasichana na kuweka vigezo vya juu...
  2. Samcezar

    Dharau za wahudumu wa dawati la Mapokezi ya wateja kwenye taasisi

    Habarini. Naandika huu uzi nikiwa na jazba kama sio hasira kifuani kwa dukuduku na shauku ya kutaka kuyasema yale ambayo nimeyashuhudu na kuya experience mwenyewe. Ni kwann taasisi za Tanzania especially za serikali zinaweka watu wenye dharau sana katika eneo la huduma ya mapokezi, maulizo, au...
  3. Samcezar

    Kinyume cha mfumo dume (patriarchy) siyo ufeminia (feminism) ni mfumo jike (matriarchy)

    Watu wengi huchanganya Feminism kuwa ni kinyume cha Patriarchy jambo ambalo si kweli. Matriarchy ndio opposite ya Patriarchy. Feminism kimantiki ni harakati za usawa. Ila kwa bahati mbaya sasa, harakati za usawa katika jamii jamii popote pale hutawaliwa na ubinafsi, tamaa, ufahari, choyo...
  4. Samcezar

    Kidokezo kwa wadada ambao hawajaingia mahusiano rasmi

    Hili ni jambo mabinti hawalifahamu kwenye mahusiano. Ni mara nyingi kumekuwa hali ya mahaba au mapenzi ya mwanaume kushuka baada ya kuingia katika nahusiano na mwanamke ambaye alimhangaikia sana kumpata ila mara tu wanapoingia ndani ya ndoa na mahusiano kudumu kwa muda fulani baada kupata...
  5. Samcezar

    Anahitajika msanifu michoro ya majengo (3D)

    Habarini. Nahitaji mtu wa kuchora zile 3D pictures kwaajiri ya presentation ya namna project itaonekana mara itakapokamilika eneo la ujenzi. Kama una uwezo huo nicheki DM au hata hapa. Asante.
  6. Samcezar

    Sumu ya kuua kunguru ni ipi?

    Naomba msaada wa haraka wadau. Hivi ni sumu gani ya kuua huyu ndege mweusi kama lami na mwenye laana kubwa? Hawa ndege ni wasumbufu sana kupita maelezo na wanakiburi sana kisicho na mashiko yoyote. Yote kwa yote ni ndege wenye kisasi sana pale wanapogundua umejaribu kuwadhuru au kuwashambulia...
  7. Samcezar

    Nahitaji kubadilisha video kwenye VHS tapes kuwa DVD

    Kama kichwa cha habari kinavyozungumza. Nina shida ya mtu mwenye vitendea kazi vya kucopy video/mkanda wa sherehe na kuhamishia copy kwenye computer kama soft copy au kuburn kama DVD. Kama upo unaweza kuweka hapa mawasiliano yako kwa faida ya wengi lakini pia na mimi nitachukua mawasiliano yako.
  8. Samcezar

    Je, TRA wamebadili utaratibu wa on-line calculator yao?

    Habari wadau. Nilipita mtandaoni kumchekia ndugu yangu gharama za kuagiza gari yake binafsi. Sasa nimeingia katika calculator ya TRA naona vitu tofauti kabisa. Sehemu za kujaza zimeongezeka na wanataka hadi jina (optional), namba ya simu na email. Ukishajaza sehemu zote ukasubmit taarifa zako...
  9. Samcezar

    Kwanini mikopo ya Halmashauri inalazimisha vijana kujiunga vikundi

    Habari Kwanini taratibu za mikopo ya Halimashauri ambayo inatokana na 10% ya mapato ya halimashauri husika inalazimisha vijana watakaokopeshwa au kwenda kuomba ni lazima waende kivikundi na kuja na idea za vikundi? Kwahiyo kwa mfano mimi nina kampuni yangu ya kuuza magari, au nina biashara ya...
  10. Samcezar

    Namna ya kuwa high value man (Mwanaume wa thamani)

    Habarini. Huu ujumbe unalenga kuwajenga wanaume especially vijana wa umri mchanga kuanzia 15 years kuendelea lakini pia wanaume watu wazima ambao tayari wameshavuka uchanga na wapo kwenye umri wa kuitwa mabro au wanaingia kuwa watu wazima that is 35 kwenda juu not across 50 years of age limit...
  11. Samcezar

    Naomba kuuliza kwa wale mnaojua kuhusu Gari za serikali.

    Habarini wadau , heshima kwenu kwakuwa wajumbe wa baraza hili. Wakulungwa naomba kufahamishwa, hivi gari za serikali especially hizi land cruiser V8 huwa serikali inaweka mafuta yapi kati ya Diesel au Petrol?! Maana kuna mtu hapa tumebishana sana nikaona nije kuuliza hapa ambapo kuna wengi...
  12. Samcezar

    Story ya muuza matunda asiyeuza matunda yake

    Katika nyakati hizi hizi za miaka hii kulikuwapo na muuza matunda nadhifu na msomi. Ambaye alikuwa mpya katika biashara ya uuzaji matunda sokoni. Alianzisha biashara kubwa na ya mzigo mkubwa na kuipamba mandhari ya banda lake kwa ustadi wa hali ya juu. Wateja walimiminika kuchungulia bidhaa...
  13. Samcezar

    Natazama kipindi cha "Hello Mr. Right" cha MC gharab Bongo TV

    Hiki kipindi kinafurahisha na kuburudisha. Kinachonifuarahisha ni namna wadada wanavyochagua wanaume kwa sifa za kipuuzi kama Urefu, mara rangi ya ngozi na kadhalika. Wadada wanataja sifa fulani akija muhusika anaeonyesha kuwa na vigezo fulani watamkataa kwa vijisababu. Ni kipindi ambacho...
  14. Samcezar

    Video ya kuchefua ya Dada wa Kiafrika Dubai

    Kuna video imesambaa sana kwenye social network especially Twitter. Ambayo kwa mtu yoyote akiitazama kwakweli itamharibia siku. Katika video hiyo fupi ya dakika kadhaa inamuonyesha mwanadada wa kiafrika akiwa chini ya makalio ya mwanaume mwenye asili ya kiarabu, akipokea gogo (haja kubwa)...
  15. Samcezar

    Akina dada wapenzi hebu njooni niwaseme kidogo.

    Hivi vitambi mnavyoviachia achia hovyo vinaharibu sana muonekano. Hivi mbona gym zimejaa sana huko mitaani mnashindwa hata kujiongeza mkajoin ili kujiweka fiti. Umri unavyozidi kwenda na mwili wako unakwenda ukichakaa kama hautaupenda. Ila ukiupenda at least hadi miaka 50 unakuwa bado pisi...
  16. Samcezar

    Kama haupo sawa katafute msaada

    Kumekuwa na malalamiko sana ya kimahusiano. Wenza wakilalamika kushindwa kufika katika ndoto za mahusiano bora yaani ndoa na kuanzisha familia na kudumu milele hadi uzee. Hii ni kweli inatokea sana. Sababu hutolewa nyingi sana na kila upande ukisema lake. Leo napenda kuzungumza machache kuhusu...
  17. Samcezar

    Wapi naweza kupata soda za kopo?!

    Habari wadau. Nahitaji hizi soda za take away ila ya Cans na sio hIzo chupa za plastic. Wapi naweza Pata kwa bei ya jumla ya katoni?!
  18. Samcezar

    Jana ilikuwa siku ya wanaume mbona kulikuwa kimya sana?

    Jana ilikuwa siku ya wanaume duniani. Cha ajabu hakukuwa na mijadala wala post katika mitandao ya kijamii wala hata vyombo vya habari. Je, hii inamaanisha kuwa jamii kwa sasa haisheherekei uwepo wa wanaume? Wapo wapi viongozi wa serikalini ambao ni wanaume ila huvaa vibwebwe siku ya wanawake na...
  19. Samcezar

    Mwanamichezo Amshambulia mama wa mtoto wake

    Aliyekuwa mchezaji wa American football wa team ya New York Jets ,huko Marekani, kijana anayekwenda kwa jina la Zack stacy (umri wa miaka 30),amejikuta matatani baada ya aliyekuwa mpenzi wake, Kristin Evance (umri miaka 32),kupost mtandaoni video iliyorekodiwa na kamera za kiusalama ndani ya...
  20. Samcezar

    Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

    Gari ya kwanza ni kitu personal sana kwa wanaume. Ni kitu personal ambacho ni ndoto ya jinsia hii ya kiume kama vile kwa mwanamke kuwa na ndoa au familia yake na mumewe. Gari ni ndoto halisi nay a asili ya kila mwanaume ingawa wapo ambao hawana sana mzuka wa kuwa nazo ila ni kutokana na makuzi...
Back
Top Bottom