Search results

  1. R

    Kikundi cha mkopo

    asante sana mkuu
  2. R

    Vitu gani vya kuzingatia hasa unapofanya biashara ya uuzaj wa mayai ya kisasa?

    bado unayo mayai hayo ya kisasa, unauzaje kwa tray kwa bei ya jumla?nilikua naitaji
  3. R

    Natafuta muuzaji wa Maziwa kwa bei ya jumla

    ushapata tayar mtu wa kukuuzia?
  4. R

    Msaada: Nimjamzito lakini naona damu

    Habarini ndugu zangu, Mimi nina mimba ya mwezi mmoja lakin kuna utofaut niliona,nilianza kuumwa sana tumbo gafla afu damu zikaanza kunitoka. Lakini nikaulza nilijibiwa ni kawaida damu inaeza kutoka kidogo wakati una mimba. Cha ajabu damu ziliendelea kutoka kwa mda wa wiki nzima yani kama...
  5. R

    Interview Eastern Zone NMB

    Ouky nmekuelewa mkuu asnte sana
  6. R

    Interview Eastern Zone NMB

    Jaman mi naomben mnisaidie wanavvosema signed cv ina mana cv inatakiwa isainiwe?au hata isiposainiwa huwa hawana shida?msaada wenu please
  7. R

    Tanzania Postal Corporation Vacancies

    Wanalipaje kwani?inamana haifiki hata laki 3 ama?
  8. R

    Ukiweza fanya biashara hii

    Hahahaaa mkuu umenfraixha kwakwel
  9. R

    Kwanini hivi lakini?

    Pole sana ndugu yangu tuko kwenye janga moja lakin tukaze moyo,tusikate tamaa iko siku mungu atatunyooshea mkono
  10. R

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Asante sana mkuu nikija dsm ntakutembelea,
  11. R

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Daah asante sana mkuu kama zipo znauzwaje? Nijue bei zake ili nione kama naweza kuhandle ama vipi
  12. R

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Yaaah kweli mama angu maan hata mimi nilitumia mda kweli kutwanga mpaka nikawaza hvi hakunaga mashine ya kusaga chenga cha mkaa?maana hapa nilipo mimikupata chenga. Ni rahisi sana kuliko maaranda
  13. R

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Nmefanikiwa kuutengeneza mkaa nashukur kwakweli unawaka vizuri,nafanya sample ingine sasa
  14. R

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Hahahaaa. Kweli kabisa kaka
  15. R

    Vitabu vitabu vya ujasiriamali wa Kilimo cha mboga mboga,ufugaji na matunda

    Hata mimi naaitaj kitabu cha usindikaji wa maziwa jaman sijui nakupataje frankclemence
  16. R

    Nafasi za kazi kiwandani

    Na email zao sijui vipi yaan hata ukituma. Inafail tu yan had naona aibu mana tang juzi kuna mtu nmemwambia atume kila akituma inagoma yan had naonekana mzushi nikampm huyo mtoa mada anaedai meneja. Wa hapo n rafk ake kumuuliza mbna haisom email?nae yuko kimya yan vikampn vngne vya uchochoron...
  17. R

    Mafunzo ya kutengeneza mkaa wa kisasa

    Jaman naomba nielekez hio oven ya kukaushia mkaa maan hata. Huku arusha n majanga
  18. R

    Msaada: Jinsi ya kujiajiri kwa kutengeneza bidhaa zitokanazo na taka za karatasi

    Unaeza kutengeneza mkaa wako kwa. Mkono bila. Hata hzo mashine kwa ambao hawawez. Ku afford kununua mashine,
  19. R

    CRDB wametoa nafasi za kazi za bank officers

    Jaman msidharau jambo jaman huwez jua bahat yako imelalia wap mm nina rafik angu ameajiriwa hapo Crdb tena na diploma ya business admnistration na hakuna anaemjua pale yan hamuwez kuamni kaajiriw akiwa na diploma yake na hamjui mtu
  20. R

    CRDB wametoa nafasi za kazi za bank officers

    Usikate tamaa ndugu kama ni rizik yako n yako tu hakuna atakaepangua nina rafiki angu kapata kazi crdb na amesoma CBE na hakuna anaemjua pale hata mmoja na cku amepata hakuamn alilia sana kwa furaha hvo kama una sifa we omba huwez jua bahat yako iko wap
Back
Top Bottom