Search results

  1. jiwe la maji

    Zitto: Taarifa ya CAG inaonesha CCM ilikopa pesa za wastaafu kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii

    Mifuko ya jamii si benki ya kufanya biashara ya kukopesha watu. CCM wafanye siasa kwa kukopa katika taasisi za kiraia na hata wasiporudisha hatutakuwa na muda wa kuuliza lakini pesa za wananchi wazikome hatukuwatuma kufanya siasa sisi inamaana ile mbinu yao ya kuwatisha matajiri ili wawe...
  2. jiwe la maji

    Mbunge Bwege: Siwaelewi mnaposema nchi iko salama, ina amani

    Huwa nasikitika sana watu mnapotumia nguvu kubwa kuwalaumu polisi, polisi si watu wa kulaumiwa ndugu zangu. Kwa mtu mweusi kazi ya kuajiriwa hufanywa na mtu ili kupambana na adui njaa sasa polisi wasipotii matakwa ya wanasiasa wenye dora watafukuzwa kazi na ujue polisi si kama walimu hata...
  3. jiwe la maji

    Mke malaya, nimfanyaje?

    Je akirudi nyumbani akakuta malaya yule kajifungia ndani asimgongee mlango? Namshauri pia aanze kuhamisha vitu vyepesi vyenye thamani kama vile TV na radio.
  4. jiwe la maji

    Mwinjilisti: Barua kwa Rais Magufuli, kwanini umejiandaa kumwaga damu za watanzania wasio na hatia?

    Mambo mengine ukitaka kuyasema inabidi kwanza uwe Marekani.
  5. jiwe la maji

    Mzalendo: Nasogea Goligota

    No retreat no surrender
  6. jiwe la maji

    Mtoto wa Gadafi ajiandikisha kugombea urais Libya

    Na tatizo lingine watu wengi pia wanameza uongo na propaganda za aliyekuwa Gaddafi.
  7. jiwe la maji

    Mtoto wa Gadafi ajiandikisha kugombea urais Libya

    Hao unaowaita wahuni ni raia wa wapi? Si pendi mtu anaye jibinasfishia nchi utazani ni mali ya mama na baba yake. Kama kweli yeye alikuwa anaamini wanachi walikuwa wanampenda sana angeruhusu demokrasia itamalaki Libya alafu awe anasubili kushinda uchaguzi kiharali. Mtawala mwenye nia nzuri na...
  8. jiwe la maji

    Mwanamke atumia ARV miaka tisa bila ukimwi; Fidia Yake Sawa na 2.5 Billion Tsh.!!

    Nilisha shuhudia kwa macho yangu mtu mmoja ambaye anatumia ARV kwa miaka 9 sasa mwaka juzi alipimwa tena maambukizi ya VVU kwa lengo la kuhakiki ubora wa vitendanishi majibu yalikuwa ni non reactive kwa vyote determine na unigold ingawa kit hizo hizo zilionesha majibu sawia kwa watu wemgine...
  9. jiwe la maji

    Kwanini Madereva wana uelewa wa mambo mengi sana?

    Si wote, huo utafiti labda uliufanya kwa madereva wa madalala, na mabasi, hao karibu kila siku wanapambana na sirikali mabarabarani hivyo ili kuyapatia ufumbuzi matatizo yao inabidi wawe wafuatiliaji wa kila kinachojili Duniani. Madereva wa taasisi za serikali ni vichwa maji sijawahi kuona...
  10. jiwe la maji

    Ni hali mbaya ya uchumi? Mpaka sasa Serikali bado haijalipa mishahara ya mwezi huu!

    Kwanini huyo nanga hashangai mwisho wa mwaka wa bajeti ya serikali ni mwezi June na sio December. Mwanzo wa mwaka wa serikali ni mwezi July na sio January. Siku 30 za utumishi wa umma hutimia kila tarehe 22 ya kila mwezi, ikizidi hapo basi zinakuwa ni siku 31,32,33 nk ambapo inakuwa ni zaidi ya...
  11. jiwe la maji

    Tanzania(Taifa Stars) yanyolewa bila wembe na Algeria goli 4 kwa 1

    Mbona watu tunakuwa wanafiki sana! Si ni sisi sisi tunaoshangiliaga Simba yetu na Yanga yetu mpaka tunafia uwanjani? Hizo timu zenu mbili ni mbovu balaa na ndiyo timu yenu ya Taifa. CCM hawawezi kujinasua kwenye lawama hii. Viwanja vyote wameving'ang'ania wao, haviendelezwi havina taa...
  12. jiwe la maji

    Hisia na hamasa za Maandamano nchini: Mapokeo, Mitazamo na Uhalisia (Viongozi na Wananchi)

    Sababu siku hizi Mange anacho post Instagram ndiyo hicho hicho anaki post tena fb sasa huko fb ndio kuna nyomi ya watu hadi wa vijijini kama mimi hapa.
  13. jiwe la maji

    Tanzania na Israel zasaini mkataba(MoU) wa ushirikiano wa Kijeshi na Kiintelijensia

    Hayo majamaa ni manafiki sana, kama yangekuwa yanatuonea huruma si yangetujengea hata kiwanda kimoja hapa cha zana za kilimo kama matrekta, mashine za kupandia na kuvunia au hata za umwagiliaji. Yaani yanasaidia vitu visivyokuwa na faida kabisa kwa wananchi wa kawaida yenyewe yanachojari ni...
  14. jiwe la maji

    waziri wa viwanda na buashara hata simuelewi.

    Kwani ni yeye tu! Mi sijaona mkweli kati ya wote, wote naona wako majukwaani wanafanya siasa/kampeni. Lakini pia huwa najiuliza nguvu yote hiyo inatumika kufanya kampeni dhidi ya nani maana wale washindani wao hawapo tena? Au ni kampeni dhidi ya watawaliwa?
  15. jiwe la maji

    Nataka kujifunza lugha ya kiingereza vizuri niende kwa nani Rasi Simba au?

    Huwezi kuwa mzungumzaji mzuri wa kingereza kwakutegemea kufundishwa na taasisi, sahau kufanikiwa katika hilo. Kama wewe una elimu ya kidato cha nne basi anza kujiwekea utaratibu wa kujisomea wewe mwenyewe kanuni na talatibu za lugha hiyo. Pitia upya aina zote za maneno mfano vivumishi...
Back
Top Bottom