Search results

  1. M

    Hatma ya wafanyakazi wa Pride Tanzania ni nini!!?

    Ni takribani miaka miwili sasa na ushehe tangia shirika la pride Tanzania kusitisha huduma zake za mikopo kwa kilichoelezwa awali kufirisika lakini chanzo kikubwa kikiwa ubadhirifu wa fedha uliofanywa na aliyekuwa mkurugenzi wa wake ndugu Malima ambaye mpaka sasa anatafutwa. Shirika lina...
  2. M

    Kuwashwa na kuvimba

    Jamani kama kuna yoyote ambaye aliwahi kupata tatizo la kuwashwa na kuvimba mwili na akapona kabisa atuelekekeze wenzie kwani tumeangaika sana hospitali tukiambie tuache kula vitu mbalimbali lakini haijasaidia sasa hivi tunapoza tu na cetrizene tupo watatu hapa iringa kesi yetu inafanana, msaada...
  3. M

    Faida za Parachichi katika mwili wa Binadamu

    Wanataka tu watupandishie bei ya maparachichi
  4. M

    Msaada please: Tatizo la kutokwa damu during sex

    Ni tatizo la kawaida katika mifumo ya uzazi ya kina mama mpeleke hosp.
  5. M

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Kiukweli sitoki mapele ila ni kuvimba mfano ukinichola na kitu chenye ncha alama inatoka mle ulipopitisha kitu icho mfano nikioga nikijisugua mapajani kunatutumuka nikikaa kidogo kunapotea kunakuwa sawa,nazan umepata picha.
  6. M

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Walinipima kabisa ndio wakasema nina allergy na vitu hivyo pale ekenywa hspt.
  7. M

    Tatizo la kuwashwa mwili mara kwa mara- Fahamu chanzo, pata ushauri na tiba ya tatizo hili

    Jamani naombeni msaada,nina tatizo la kuwashwa mwilini alafu nikijikuna hiyo sehemu inavimba lakini baada ya dakika kadhaa panarudi panakuwa sawa na mda mwingine adi kichwani napakuna sana huku muwasho ukihama hama kadiri ninapojikuna na nilishawai kwenda hospitali fulani wakanipima wakasema...
Back
Top Bottom