Ninyi watu wa serikali mlio kwenye nafasi za Kuregulate hizi Bei za kipuuzi, mnafanya Nini huko maofisini
Pathetic
Aaaaratcfaajavafajkanagrtyjn[emoji35]
Ni swali huwa najiuliza ,
Kuna tatizo Gani kwenye uwezo wetu wa kuprocess malighafi na kupata finished products ?
Hata kama technologia yetu ni ndogo
Hivi haiwezekani Africa kurefine mindset zetu ,kujitangazia uhuru na kuanza upya kwa primitive tech tuliyonayo sasa,ambayo ni Pure African...
Salaam wakuu
Kama mada tajwa inavyojieleza
Ni ujuzi Gani ulijifunza mwenyewe KWA Muda mfupi au mafunzo Gani ya Muda mfupi ulifanya yamekuwa msaada mkubwa katika kupambana na maisha kuliko Elimu ya Degree/Diploma uliyotumia Muda mwingi kuisoma KWA kukaa darasani ,
Lengo la uzi ni kuwapa...
Habari Ya muda wadau
Naweza pata wapi muuzaji wa rejareja wa mita za umeme(kama za luku) (kWh meters) sanasana Three phase
Mechanical type (za zamani)
Na Smart meters
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima kwenu wanabodi
Kila mmoja wetu jua kuna siku moja atakufa, lakini bahati mbaya kabisa hakuna hata mmoja kati yetu anayeamini kabisa kabisa kwamba kuna siku atakufa na kufukiwa chini ,kama tungalikuwa tunaamini hivo basi tungalifanya mambo yetu kwa uangalifu mkubwa huku kichwani tukiwa...
Habari za muda wakuu,
Mimi ndugu yenu niko mjini hapa Dar es Salaam kwa shughuli itakayoniweka mwezi mmoja na kidogo, ili kurahisisha suala zima la sehemu ya kulala nimeona nitafute chumba ambacho nitakilipia miezi 2 tu.
Hivyo naomba kwa yeyote aliye na chumba cha kupangisha na atakubali kodi...
Habari za mida waheshimiwa,
kuna kitabu nakitafuta (THE UNTETHERED SOUL by Michael Singer) nimeangalia mtandaoni hakiko free ,kinauzwa, nanunuaje hiyo soft copy(sijawahi fanya manunuzi ya aina hii hapo kabla)
pia kama kuna mdau yeyote anajua duka la vitabu vya imani mbalimbali hasa za EASTERN...
Moja ya kero ninayokumbana nayo binafsi kwenye vituo vya kukatia TIKETI za UDART ni ukosefu wa chenji(shilingi hamsini) imekuwa kawaida kila siku sasa nasafiria shilingi 700 badala ya 650,ni mara chache sana wanakuwa na chenji na bahati mbaya UDART hawana kadi kwa sasa(zimeisha),hii imepelekea...
Habari za muda waheshimiwa
Hivi hapa kwetu Tanzania sana sana Dar kuna dealers wanauza motor particularly induction motors, size ndogo, kati na kubwa.
Natanguliza shukrani za dhati
Maisha bhana.
Yaani sometimes unaweza kuta unajaza lori ma ex si kwa kupenda unakuta binti yuko na msimamo wake safi kabisa ana yake jamaa mmoja wanachuja nafaka kisela kabla ya kuoana jamaa akichoka anaachia ngazi anakuja na mwingine na mwingine nk hiiyo yote ni katika harakati za kumsaka mr...
BIBLE has 5 letters so does QORAN
HATE has 4 letters so does LOVE
BELOW has 5 letters does ABOVE
NEGATIVE has 8 letters so does POSITIVE
ANGER has 5 letters so does HAPPY
LIFE has 4 letters so does DEAD
KNOWLEDGE has 9 letters so does IGNORANCE
HURT has 4 letters so does HEAL
RIGHT has 5...
Lara 1, I salute you kwa sababu unasimamia unachokiamini (thats fine) lakini imani yako haina dhara lolote kwenye FACTS, you want marriage to be nchi ya asali na maziwa kitu ambacho hakitatokea kamwe(UBINADAMU KAZI AND ITS IMPOSSIBLE TO GET AN IDEAL MAN) nilivokuelewa.
YOU WANT TO CHANGE A...
Achilia mbali kuchelewa makazini,kuchoka pasipo kufanya kaz ya maana,uwezekano mkubwa wa magonjwa ya mlipuko kutokana na msongamano mnene kwenye daladala lakin pia n hatari sana kwa dushelele deflection,unakuta umepanda daladala umechomekea saafi mara unapanda mchuchu hataree unajibana mbele...
Wadada,wamama,mashangazi wa BEIJING niwaweke wazi kabisaaa kuwa kuna siku tutakubali mtupande vichwani na kuchukua haki yetu ya kuwa juu yenu(bila limbwata hamtuwezi mtaishia kuchezea vichapo) unakuta mtu ana mpenzi au mume naye anajifanya ni "A WOMAN OF PRINCIPLES" naye anataka ORDER zake ziwe...
Dada zangu,wadogo zangu(ke) mna matatizo gani?
Hivi mnadhani hohehahe wa leo ndo wa keshooo?
Maisha yanabadilika tena sana tycoon wa leo posibly ndo tycoon wa kesho na tycoon wa leo posibly ndo tycoon wa kesho,kapata jamaa wa benki(bank teller) kamkimbia mchumbake(graduate engineer au...
Hivi karibuni neno #KIBAMIA limeshka kasi sana na target yake ni kuhurt MANLY PRIDE kuinduce inferiority complex kwe2 sisi wanaume(honestly sio poa sana kukashifu maumbie ambayo uwepo wake si juhudi ya muhusika mwenyewe) mbona kuna mabinti tena wengi tu wana maumbile makubwa kuliko umri...
Habar wana MMU miaka ya hivi karibuni imekuwa rahisi sana kutongoza na ni rahisi pia kupata mwanamke ukilinganisha na miaka kama kumi nyuma,sio ishu siku hizi kusikia binti anamserendea jamaa na mitego mbalimbali(fursa kwa jamaa) ni kawaida tu,vilevile binti kutongozwa mara nyingi iwezekanavyo...
Siku yangu ya kwanza "kupiga game" nilijichukia sana,
Nilijihisi mwenye hatia,nikapga tena na tena na tena NIKAZOEA ile hatia niliyokuwa nahisi toka ndani .
kwangu(ALARM) ikapotea ikawa hata nikipanda poa tu sijiskii hatia wala nini nikawa nafanya na mpenzi wangu 2(very faithful) miaka ikaenda...
Zamani hizoo enzi za kina Musa na Farao agano kati ya MunguU na Mwanadamu liliwekwa kwa kuchinja mnyama(blood shed) hasa kondoo,kuna kitu ambacho kipo lakini huwa mara nyingi hatujiulizi kisingekuwepo kungekuwa nini.
What if bikra kwa wanawake isingekuwepo?
Uwepo wake una maana gani?
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.