Search results

  1. Eduin

    Naomba ushauri kuhusu king'amuzi cha ting

    samaani natumia antena
  2. Eduin

    Naomba ushauri kuhusu king'amuzi cha ting

    Wataalam, Habari zenu, nimenunua king'amuzi cha ting nimekiwasha na kusach auto ila napata channel za continental, zinaonesha chanel mbili tatu tu, je ni frequency zipi labda niweke manually nipo kisarawe pwani.
  3. Eduin

    Kiwanja kinauzwa au kubadilishana

    asante, hapana
  4. Eduin

    Kiwanja kinauzwa au kubadilishana

    Hi dears, Nauza au tubadilishane kiwanja, plot yangu ni ndogo ina mita 10 kwa 10 ipo Kisarawe mjini, nataka nimeweka kibanda pia nipo mbioni kuvuta umeme. tuwasiliane kupitia namba hizi 0774110001
  5. Eduin

    Usaili wa Vijana wa kujiunga na jkt wilaya ya temeke

    habari inaonekana nzuri lakin haijapangika
  6. Eduin

    Kitanda cha chuma 5*6 kinahitajika

    sio pm we nipigie uje Pugu uijie njoo na lak2 tu 0774110001
  7. Eduin

    SIMBA BADO IPO JUU

  8. Eduin

    RC Makonda ammwagia sifa Mkuu wa Wilaya ya Pangani, atoa zawadi ya gari

    hata wakuu wa mikoa yote wapo chini yake
  9. Eduin

    NIDA wameandika mimi ni Female wakati mimi ni Male

    picha ilko wapi sasa, tutaaminije, kama unatudanganya je
  10. Eduin

    Naomba ushauri wakuu, nampa laki tatu kila mwezi lkn bado anatishia kunipeleka ustawi wa jamii.

    komaa uumpe tu lakin dogo akifika miaka saba mfate uishi naye, halali kisheria.
  11. Eduin

    Matunda ya SGR yaanza kuonekana, mapato ya bandari ya Mombasa yaongezeka kwa kishindo

    there we have 1. soil compactor (roller) and that appear far is a Motor grader(use to grade the surface) point to note: many machines are named according to their functions.
  12. Eduin

    Naitaji kiwanja maeneo ya pugu, popote pugu nitachukua kwanzia mnadani, mpakani, kajiungeni,

    habari ndugu zangu, naitaji kiwanja maeneo ya pugu, popote pugu nitachukua kwanzia mnadani, mpakani, kajiungeni, kinyamwezi na maeneo jirani. kwa bei yeyote lakin muuzaji asiwe na tamaa. muuzaji atalipwa laki tano kila mwezi mpaka malipo yake yakamilike. mi sio dalali ni bro yangu kanituma. tums...
  13. Eduin

    Nafasi za Kazi 173 katika Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Nyanda za Juu Kusini

    1 EMPLOYMENT OPPORTUNITIES INTERNAL AND EXTERNAL ADVERTISEMENT Background – TANESCO http://www.tanesco.co.tz Tanzania Electric Supply Company Limited (TANESCO) is implementing its strategies to increase access and connectivity of its energy services and products for Tanzanians to support the...
Back
Top Bottom