Kufikishwa kileleni maana yake nini? Ili ukokjoe kama mwanaume anavyokojoa
huna budi kumwelekeza mwenzio cha kufanya kabla hamjaanza kufanya mavitus,
Kujiandaa ni somo muhimu sana kwa watu wanaotaka kufanya tendo la ndoa,ni
muhimu kuanza kwa sala,ni halali kwako labda iwe mchepuko,usimuonee aibu...
Tumuombee kwa mungu apone na arejee ktk majukumu yake ya kitaifa,
Ni mwenzetu ni mcha mungu ni mpenda watu asiye na makuu.
Ugua pole Mh Job,natumaini tunakutana tena.
Ni ajabu kwasababu kama wanafanya kazi kitimu inakuaje anakuwa na program inayoenda tofauti
na wenzie??? haya ni maajabu ya Mwigulu na Nape ambao wanapanga programs zinazotofautiana
ndio maana tunasema ni AJABU SANA.TENA SANA.
Kwa mujibu wa mawazo yanayonijia kichwani kuna kila sababu za kuahirisha mjadala wa katiba mpya mpaka maridhiano yatapopatikana kati ya makundi mawili ya kisiasa yanayovutana TAKWA na UKAWA.
Sababu ninazoziona:
Katiba ni muafaka wa kitaifa zaidi na si sheria wala akidi.
Katiba ni ya wananchi...
Jamaa alikuwa anatafuna popcon gafla moja ikadondokea ndani ya shati,jamaa kashusha mkono ndani ya shati akamate ki-popcon chake akitafune mara akakuta amekamata bonge la mende akidhani popcon na kutia mdomoni,akahisi kitu tofauti baada ya kushtuka tumemuona akajifanya ni popcon akatafuna na...
Wakati mwingine hupaswi kujiingiza kwenye ligi za aina hii
bw Le Mutus,heshima yako inashuka sakafuni hata kama
ni kitu kimekuchukiza sana unapaswa kuwa kimya tuu kwani sio lazima
kuonesha kiasi cha busara zako zilivy chini kiasi hiki.sasa watu wamesha kujua
uhalisia wako.Binafsi sijapendezwa...
Ndugu zangu wa - Tanzania,
Kuna mjadala unaendelea kwasasa wabunge wa bunge la
Jamhuri ya Tanzania wanataka wapewe ulinzi na serikali.
SABABU: 1
Wanapoibua au kufichua ufisadi unaofanywa na kundi la watu
ndani ya Serikali/nchi wamekuwa wakitishiwa kuumizwa au
kupigwa risasi na kufa...
Ujumbe aliotoa Januari Makamba jana tarehe 02/07/2014 kupitia
BBC - StarTV saa 3.00 usiku kuwa anampango wa kujitosa kwenye
kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya kuwakilisha chama chake
cha CCM kwenye nafasi ya Urais mwaka 2015 bado haujafika kwa
walengwa rasmi na kuanza kujadili kama anafaa au...
Sasa ni wakati muafaka wa kuagiza kanga,T-Shirt,Kofia
kwa wingi toka kwa washirika wetu wa maendeleo
ya ki-u-chumi CHINA kwa ajili ya mambo yetu yale ili
tuendelee kula bata magogoni.
Tutaongeza magari ya dereya na yale ya washawasha CUF
wanayajua pale mwembechai mwaka uleeeeeeeee.
---------------------- na mjinga na mtu asiye na darasa kichwani Hulipa kisasi,
--------------mwenye akili husamehe,
--------------Tajiri wa akili hupotezea
Jiangalie uko kundi gani hapo na ufanye maamuzi.
Ni ushauri wangu dogo.
Kwa utafiti niliofanya kwa kipindi kifupi nimegundua watu wengi sana wanapata matatizo ya kusoma msg zao kwenye simu,ukiangalia sana utakuta ni zile simu ndogo walizotumia kwa muda mrefu sasa hawaoni tena,na kwa wale ambao wameona zinawashinda kusoma msg wameamua kununua simu zenye maandishi...
Civil Engineering ina idara kadhaa kama Mechanical,Electrical.
Water,Roads,Structural,Bridge , Chemical and Processing nk nk sasa wewe uko idara gani mkuu,
Nitakushauri kama uko kwenye Idara yangu dogo.Je wewe ni MA au FE
Hata hivyo siyo yeye anayeamua kugombea,bali ni watu
wanampendekeza,huyu Dk ana akili za kuzaliwa,wengine
hawaoni hizi akili kubwa,wamebaki kwenye akili ndogo.
Tanzania hatutaendelea kama tutaendelea na siasa za aina
hii nyepesi nyepesi watu wanachukua mali sisi tunabaki
kuwatetea.hii ajabu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.