Search results

  1. kabugira

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gesi nje ya nyumba

    Anahitajika fundi wa kujengea mtungi wa gas nje ya nyumba kama inavyoonyesha hapa kwenye video. Mimi nipo Pugu
  2. kabugira

    Car lift Jack

    Natafuta jack ya gari kama hiyo hapo. Kwa mwenye nayo aje DM tuongee biashara
  3. kabugira

    Mwanafunzi anatafuta chumba cha kupanga

    Mwanafunzi wa chuo kilichoo maeneo ya Science anatafuta chumba cha kupanga ambapo anaweza kufika chuo kwa kupanda basi moja. Maeneo ya Riverside Kijitonyama yatapewa kipaumbele.
  4. kabugira

    Natafuta fundi Radiator

    Nina Toyota Sienta 2004, Nina hisi radiator Ina matatizo. Namtafuta fundi wa ku repair radiator tafadhali. Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
  5. kabugira

    Beetroot

    Naomba msaada kama ifuatavyo 1. Beetroot kwa kiswahili inajulikanaje? 2. Kwa Dar nitaweza kuipata wapi Shuktani.
  6. kabugira

    Nahitaji kuweka madirisha ya aluminium kwenye nyumba hii

    Nyumba yangu Ina madirisha ya zamani Kama ilivyooneshwa hapa chini, nataka kuongezea aluminium bila kubadilisha Grils zilizopo. Kama Kuna fundi anaweza kazi hiyo tuwasiliane inbox.
  7. kabugira

    Kozi ya 'Conflict Resolution / Management' inafundishwa wapi kwa Tanzania

    Wakuu, Naomba msaada kwa mtu anayejua kwa hapa Tanzania ni Chuo kipi kinaendesha kozi tajwa hapo juu, yaani "conflict Resolution /Management " anijuze. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kabugira

    Cinnamon Oil / Mafuta ya mdalasini

    Tafadhali, mwenye kujua wapi naweza kupata mafuta ya mdalasini naomba kufahamishwa
  9. kabugira

    EPSOM SALT

    Bandugu naomba msaada wenu kwa yeyote anayejua wapi nitaweza kupata hii kitu inaitwa EPSOM SALT. kutoka: 22D Arnold st.
  10. kabugira

    Fundi wa dispenser ya majii

    Kama kuna fundi anayeweza kutegeneza dispenser ya maji kama inavyo onekana hapo chini tafadhali tuwasiliane kutoka: 22D Arnold st.
  11. kabugira

    Msaada: Kwa mwenye kujua vituo vya watoto yatima jijini Dar

    Kwa mwenye kujua vituo vya Watoto yatima hasa katikati maeneo ya Ukonga, Gongo la Mboto, Pugu au Chanika tafadhali naomba kuunganishwa na kamoja wapo. Asanteni. kutoka: 22D Arnold st.
  12. kabugira

    Oak tree unaitwaje kwa kiswahili na unapatikana wapi Tanzania

    Wadau naomba kufahamishwa huu mti was Oak Tree kwa kingereza, unaitwaje kwa kiswahili na kwa hapa Dar unapatikana maeneo yapi? Msaada wenu tafadhali.
  13. kabugira

    Hii message ina maanishanini

    Wadau, jana rafiki yangu alikuja kwangu akataka nimwonyeshe namna ya kuwa na account ya jamiiforums, ili aweze kutaga zangazo lake. Tulifanikiwa kifanya registration Sasa kila akitaka kuedit thred anaata messagehii "Your membership in this forum is pendig forum admin approval. Please tryagain...
  14. kabugira

    Fundi simtank anahitajika

    Nipo Pugu Kajiungeni, nahitaji fundi wa kuniwekea Water tap kwenye SIMTANK yangu. Mwenye ufundi huo tuwasiliane.
  15. kabugira

    Matatizo ya excess gastric acid

    Wadau naomba msaada, nina binti yangu ana umri wa miaka 16. Amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya tumbo mara kwa mara. Leo nimempeleka hospitalini amechukuliwa kipimo cha pylori na akaonekana na acid nyingi tumboni. Kuna mwenye kujua tiba ya moja kwa moja ya tatizo hili hasa .
Back
Top Bottom