Search results

  1. H

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Huu sio.ushauri uliombwa shenzi sana
  2. H

    Kama Kazi ya Uenezi imemshinda Paul Christian Makonda nani ataiweza?

    Kinana hakuwahi kuwa mwenezi bhana
  3. H

    Teua-Tengua, nyingine itakuja tu ndani ya miezi miwili ijayo!

    Maza ni mdini nami namuunga mkono kwakuwa nami ni mdini kupitia kiasi
  4. H

    Tumsaidie Mama Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Wataka kunambia kuwa huyo ndiye mwana wa mariyyam wa Kule Nazaret
  5. H

    CCM wenye akili na vyama vya upinzani wote wamegoma kucheza ngoma ya Makonda

    Makonda ni levo Moja na kina Mwamposa wanaomfwata ni wale wanaotazamia miujiza ktk maisha Yao ambao ni 75% ya wananchi wa nchi hii
  6. H

    Kutekwa kwa Paul Manzi, raia wa Rwanda nchi Tanzania kunaichafua nchi kidiplomasia

    Sijui kwanini umeandika rock up badala ya lock up Lakini wanyarwanda ni wapuuz sana hivi mtu mmoja anakuwa mtemi wa nchi kwa miaka yote hiyo Mbona sie yalivyotukuta ya mtemi wa ziwani watu walikaa kama kamati na shida ikamalizwa
  7. H

    Ya Gekul hayajaisha, Wakili Madeleka kukata rufaa

    Heshimuni jukwaa nisije kuwachapa makofi Sasa hivi
  8. H

    TANZIA Professor James Shaba afariki dunia. Alifanyia postmortem mwili wa Hayati Sokoine

    Nilisoma kwa makini nikijua kuwa story itstufikisha kwenye majibu ya postmortem ya mwili wa laigwanan kumbe imeisha kama taarifa ya msiba
  9. H

    Hayati Magufuli alitaka kuiangamiza CHADEMA kwa mabavu, Rais Samia amewapa kamba wajinyonge wenyewe

    Tukionee huruma hiki chama cha harakati Kwa sasa dawa ya kuwamaliza imepatikana Uhuru walipewa wanadhihirisha mbele ya watanzania kuwa wao ni wahuni na watapuuzwa wakijiangamiza wenyewe.
  10. H

    Mbeya: Mahakama Kuu yatoa baraka Uwekezaji wa DP WORLD Dubai Bandarini. Walalamikaji wajipanga kukata Rufaa ya Hukumu

    Bandari sio ya mama yake mtu ni ya serikali na ndiyo iloamua kuibinafsisha sasa sie kituume nn
  11. H

    Watanzania tuchangamkie fursa kibao zitazokuja na DP-World

    ولجنن فنن Kila mwenye wazimu huwa na njia za
  12. H

    Watanzania tuchangamkie fursa kibao zitazokuja na DP-World

    ولجنن فنن Kila mwenye wazimu huwa na njia zake
Back
Top Bottom