Search results

  1. Ossy32

    DC Mbarali apigwa mawe, anusurika kifo!

    Aaaah Radhia, kwa cheo, uwezo na Elimu ya huyo DC alipashwa tambua kua yeye ni sehemu ya suluhisho na c tatizo. Kufunga chuo ni janga, wanafunzi waende wapi? Hao anawafungia shule ndo mabos zake. Au kwakua yeye analipwa hela asizo zitolea jasho???!
  2. Ossy32

    Mkuu wa mkoa mpya wa Njombe aibiwa.

    Hiki ndicho wakitegemee, wao wenyewe wezi sasa wanashangaa nn kuibiana?! Na polisi c kuwa wapo busy na chadema tu! Bali kulinda familia za mafisadi, kuua wanyonge na kuwanyang'anya haki zao, kusafirisha maliyasili za nchi hii, kuwaficha majangili (wageni) toka nchi za nje huku wazawa...
  3. Ossy32

    Biashara ya kukodisha magari, msaada tafadhali

    Sunshow, kuna mtu anataka. Reply to me b4 11:00 27/08/2012
  4. Ossy32

    Hivi ni akinanani walidai kuwa hawatakua kuhesabiwa mpaka mjusi wa kale arudishwa Tz?

    Em nisaidien, wanaposema mijusi wanamaanisha nn?!
  5. Ossy32

    Nikanyonyesha mtoto ambaye simuoni katika uso usiku wa manane.

    Yes, hilo laweza tokea ila wewe ndio tiba. Em ingia inukaule.blogspot.com
Back
Top Bottom