Search results

  1. esiankiki

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    konda msafi achana naye huyu akitaka ajue kama wana hela chafu aulizie mmiliki wa daladala za Mashallah au Nanga boy na wengine wengi tu
  2. esiankiki

    Jinsi mapenzi ya mtoto wa Kizulu Durban South Africa yalivyotaka kunitoa roho

    konda msafi tuwekee na picha ya khumbi hata bila sura tu [emoji119][emoji119][emoji119]
  3. esiankiki

    Askofu Shoo wa kanisa la KKKT abanwa mbavu

    bado yupo dada yangu anasali hapo, yupo vizuri sana
  4. esiankiki

    I am dilemma in this issue, I need your advice

    no my dear everything will be ok talk to your parents
  5. esiankiki

    Askofu Shoo wa kanisa la KKKT abanwa mbavu

    lakini usharika upo vizuri na maendeleo yanaonekana mkuu labda useme wakupe matumizi ya sadaka tu, katika sharika ambazo wachungaji wake wapo vizuri ni KKKT Kimara korogwe na KKKT Kijitonyama mimi si msharika wao lakini kazi zao zinaonekana
  6. esiankiki

    I am dilemma in this issue, I need your advice

    first of all concentrate in your studies, Secondly talk to your parents to bring the maid back, and when the baby is born your parents can assist her in everything until the baby reach 1 year you'll need to speak with your baby mama to leave the baby with grandmother so that she can move on...
  7. esiankiki

    Mapadri 30 wafariki dunia kwa corona

    😭 😭 😭 😭 😭 😭 Mungu tunakuomba uwaokoe Italy
  8. esiankiki

    Hivi hii ndio hand sanitizer jamani?

    mkuu hii umepata wapi maana madukani bei imepanda
  9. esiankiki

    Kipanya na Corona

    Lord have mercy on us🙏🙏🙏🙏🙏🙏
  10. esiankiki

    Msaada Kisheria: Nimeibiwa fedha mtandaoni

    hii mitandao ndo tabia zao inabidi wakomeshwe
  11. esiankiki

    Sijui nimgeukie nani. Napitia shida kubwa, natamani hata kufa

    Starrrr, Sky Eclat Mshana Jr hekima inahitajika hapa
  12. esiankiki

    Tanzia: MwanaJF Gottee afariki dunia akiwa hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

    Poleni sana, Mungu awape faraja kipindi hiki
  13. esiankiki

    Maisha siyaelewi kabisa kwaherini

    usifanye hivyo mkuu
  14. esiankiki

    How I Met My Wife

    KigaKoyo still waiting for you.......
  15. esiankiki

    Kenya confirms first case of Corona Virus

    asante kwa kuja kaka tunaamini wenzetu mmejipanga vizuri, heko kwa wizara ya afya
  16. esiankiki

    Kenya confirms first case of Corona Virus

    nimekutag picha ya ummy yeye mwenyewe hajavaa mask na yupo mpakani halafu unasema tumejiandaa 😁😁😁😁😁😁😁😁😁 mataga hamnaga jipya
Back
Top Bottom