Search results

  1. baro

    Familia mbili za anunaki ndio zinasumbua dunia hii hadi leo

    Kwa mujibu wa nyaraka za Sumeria , zinazungumzia namna Binadamu alivyotokea , Binadamu alitengenezwa maabara (Genetic engineering) na kazi yake ilikuwa ni kufanya kazi kwenye migodi ya dhahabu Familia 2 zilizokuja duniani ndizo Hadi Leo tunaziabudu baada ya wao kuondoka na kutuachia mambo...
  2. baro

    Kazi ya binadamu duniani imeshaisha takriban miaka 445,000 iliyopita

    Binadamu ni project au mpango wa viumbe wa sayari ya mbali ambao walimtengeneza binadamu kwa ajili ya kazi yao ambayo ilikuwa ni kufanya kazi katika migodi ya dhahabu. Sayari ya Dunia Ilivyotokea na kuwa kitovu cha dhahabu (A Planet Of Gold) Kabla ya miungu ya juu haijakuwapo. Sayari ya Ki...
  3. baro

    Kesho tutaweka majina ya Wabunge na majimbo yao kwa watakaopitisha kuuzwa kwa bandari

    Kesho 10/06/2023 ndio siku ya kuwatambua wabunge watakaoamua kuuza bandari yetu , kwa kuweka kumbukumbu sawa tutaweka majina yao yote pamoja na Majimbo yao ili historia iwakumbuke kwa kuuza bandari Hii itakuwa ni kumbukumbu kama ilivyowekwa kumbukumbu ya Chief Mangungo wa Msowero na Dr. Carl...
  4. baro

    Waziri Bashe aache kuingilia majukumu ya wizara nyingine

    Waziri Bashe tumeona kwa miezi kadhaa umezindua program inaitwa BBT (Building Better Tomorrow), ambayo itafanywa na wizara ya Kilimo kwa ajili ya vijana , hii ni Kuingilia majukumu ya Wizara ya VIJANA, AJIRA ,KAZI na WATU WENYE ULEMAVU. Hii unayofanya kwenye BBT ni Skills development na Capital...
  5. baro

    Naomba ushauri na uzoefu katika uchimbaji wa madini

    Habari wakuu, Nina shamba langu maeneo ya Morogoro, Melela kama eka 10 hivi, sasa kwenye lile shamba wakati ninalisafisha kuna mwamba umeonekana wa dhahabu wao wanaita mwamba dume na wadau wakazidi kusema palipo na mwamba dume, mwamba jike uko karibu maana miamba inatembea pamoja. Hivyo...
  6. baro

    Ajali ya Gari kwenye Service Bay

    Habari zenu wakuu Jana jioni katika viunga vya Jiji la Arusha , Nilikuwa na jamaa yangu ametoka Dar , sasa kafanya mizunguko yake ya shughuli za kiserikali zilizomleta Arusha , kamaliza jioni nikaamua Nimepeleke pale kituo cha mafuta PANONE -NGARENARO ili amwage oil Sasa jamaa wa pale Panone...
  7. baro

    Benard Membe: Trump alishindanishwa na wenzake na akashinda kugombea awamu ya pili

    Mwanasiasa ambaye anaonekana Msumbufu kwa kipindi hiki , ameandika huko katika mtandao was Twitter kuhusu Mchakato wa Kumpata Rais Trump wa Marekani kugombea awamu ya pili
  8. baro

    Spika aagiza mwandishi Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema wahojiwe kwa kulidhalilisha Bunge

    Spika Job Ndugai ametoa maagizo kwa Kamati ya Maadili ya Bunge, kumhoji Mwanahabari Pascal Mayalla na Wahariri wa gazeti la Raia Mwema kwa kuandika makala ikiwa na kichwa "Bunge linajipendekeza?" Makala hiyo inayodaiwa kulidhalilisha Bunge ilitoka kwenye toleo la Jumatatu tarehe 9 Aprili...
  9. baro

    Je, haya maandiko juu ya Israel yanamaanisha nini?

    Leo ni siku ya mapumziko hivyo nikapata wasaa wa kupitia kitabu kitakifu -Biblia Katika kitabu cha 2 Ufunuo , 2:9 Inasema " Naijua dhiki yako ya Umaskini wako (Lakini u tajiri) najua na matukano ya hao wasemao ya kuwa ni wayahudi ,nao sio Bali ni sinagogi la shetani " Hakika haya maneno...
  10. baro

    Leo nimetua DSM baada ya likizo

    Kama kichwa cha habari kisemavyo , Leo nimetua dsm baada ya kutoka mapumzikoni huko magharibi mwa afrika Jiji limetulia tulii ,na mabadiliko kadha wa kadha , Nimeamua nipumzike hapa ,kujiandaa na safari ya kwenda Mwanza Kwa yeyote aliyepo , dsm , tuonane tubadilishane mawazo , ya hapa na...
  11. baro

    Video ambayo haijahaririwa ya Rais Magufuli na Mkalimani wakati akihutubia mkutano wa AU

    Wanabodi, kama kawaida ya wapindisha mambo na kutoufahamu ukweli wa teknolojia hasa ile video ya awali iliyosambaa kwenye mitandao ,ambayo ilikuwa imehaririwa kwa kutolewa kipande cha Mkalimani. Hii hapa inaonesha uhalisia. Nashauri tupende kuficha udhaifu wetu na chuki kabla ya kufahamu...
  12. baro

    USHAURI KWA DARASSA

    Nawasalim , wana bodi hasa katika hili jukwaa la celebrities, Ni muda mrefu toka niache kufatilia muziki huu wa kibongo hii ni kutokana na kukosa mashairi yenye kuvuta hisia kwa jamii ,Mara ya mwisho ilikuwa namsikiliza Roma Mkatoliki na Nyimbo zake zikizokuwa na harakati za kimapinduzi hasa...
  13. baro

    Je, mkurugenzi wa Superdoll ndiye mmiliki wa viwanda vya Mtibwa na Kagera Sugar

    Habari Wakuu Leo katika ufunguzi wa Call Center , pale viwanja vya Biafra , tuliona jamaa mmoja mwenye asili ya kiarabu akipewa cheti cha appreciation kama Mkurugenzi wa Kampuni ya Superdoll iliyoko Barabara ya Nyerere Kitalu Namba 14, jirani kabisa na Quality Centre, Wakati tuko tunashuhudia...
  14. baro

    OMBI KWA WAZIRI MKUU

    Kwanza nianze kwa kukupongeza Waziri mkuu KASSIM MAJALIWA namna unavyokula bega kwa bega na wazembe kazini, Baada ya salamu Waziri mkuu, kwa sasa una ziara ya kikazi katika kanda ya ziwa na tetesi ni kuwa 9/03/2016 utakuwa katika mkoa wa kagera wilaya ya missenyi hasa katika kiwanda cha sukari...
  15. baro

    Shirikisho Elimu ya juu liko Mahututi linahitaji Msaada Toka Viongozi Wa Kitaifa

    JK NA RAIS MAGUFULI TUMBUENI UONGOZI WA JUU NA KAMATI YA URATIBU SHIRIKISHO ELIMU YA JUU. Ugatuaji wa madaraka uliotumika na kikao cha kamati ya uratibu Shirikisho (CCM), kilichoketi 17-18/12/2015 unasikitisha kuona namna chama kama taasisi kinaendeshwa kwa ujanja ujanja tu , na kupeana...
  16. baro

    Tarime secondary alumni

    Habari Wakuu, hii ni special thread kwa watu wote waliopita:na wanaoendelea na masomo kwa sasa Tarime sekondari kwa O level na A level, toka ikiwa mchanganyiko mpka kuwa ya wavulana pekee , tukumbushane, tuelimishane na tutambuane tuko wapi kwa sasa na tunafanya nini , na je kina nani wameshika...
  17. baro

    Elections 2015 Bilionea Ali Mafuruki, Atoa ya moyoni

    Bilionea wa Tanzania, ndugu Ali Mafuruki atoa ya Moyoni kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania kwa kuamua kumuunga Mkono Dr Magufuli Kudos Mafuruki Sijui na wewe watasema umenunuliwa!
  18. baro

    Dr. Slaa na John Mnyika naombeni ushahidi nimpeleke Lowassa Mahakamani

    Kesho 28/08/2015 UKAWA watazindua kampeni zao pale Jangwani na kumtambulisha mgombea wao ndugu Lowassa, kama mtanzania wa kawaida nikiwa huku kijijini Nanjilinji Kilwa , nilipata kusikia toka kwa viongozi wangu wapendwa wa CHADEMA/ UKAWA ambao ni Dr. Slaa Katibu mkuu CHADEMA na John Mnyika Naibu...
  19. baro

    Dr. Magufuli nguli wa Sayansi anayejua matatizo ya Tanzania

    Dr Magufuli ni miongoni mwa viongozi wachache duniani waliosoma Sayansi na Kui apply elimu kwa vitendo katika uongozi , moja ya sifa kuu ya mwanasayansi ni kufanya tafiti , hili Dr Magufuli alilitekeleza kwa vitendo kwa kuzunguka kwenye mizani mida ya kushtukiza na kukagua uendeshwaji wake na...
  20. baro

    Dr. Magufuli, Genius anayepambana na wagombea dhaifu

    Dr MAGHUFULI ANAEPAMBANA NA WAGOMBEA WENYE UWEZO MDOGO(DHAIFU) Episode 2 Dr Maghufuli , ni kiongozi mwanasiasa na mwanasayansi nguli ambaye naamini atachaguliwa kwa kishindo kuwa Rais Wa 5, ataweka historia katika nchi za kiafrika na Tanzania kupata Rais mwanasayansi . Dr Maghufuli , ni...
Back
Top Bottom