Search results

  1. Querido

    V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Mkuu natamani tutumie mtizamo wa miaka
  2. Querido

    Je, unakwama kusajili kampuni au jina la biashara BRELA?

    Naomba tofauti kati ya hivi vitu. 1. Xyz limited vs investment vs enterprises 2. Public vs government companies 3. Process of assigning company to stock market eg DSE
  3. Querido

    List Ya Misimamo Ya Watu Maarufu Juu Ya Dp World

    Ifuatayo ni aina mbili za watu maarufu kuhusu misimamo yao juu ya ya Dp World. Watakao kataaa mwanzo mwisho suala la bandari. 1. Dr Salaa 2. Fr. Kitima 3. Mwanasheria wa Mbeya 4. Askofu Mwamakula 5. Prime Minister 6. Lukuvi 7. Warioba 8.Siro 9. CiC mstaafu 10. Shivji Wafuatao ni...
  4. Querido

    Kwasasa Rais Samia amembakiza Kassimu Majaliwa tu!

    Acha ramli chonganishi
  5. Querido

    Jamaa yangu ananuka mdomo sana. Nitumie njia gani kumfikishia ujumbe?

    Philips maeneo gan boss, nataka nimpeleke mtu
  6. Querido

    Tamko la wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM taifa

    CCM mnaenda kufanya kosa mtakalojutia milele. Mimi nasimama na Ndugai kulinda haki yake; . 1. Kama raia kutoa mawazo yake hta kama ni pumba, katiba inampa uhuru huo. . 2. Kama spika Muhimili unaojitegemea anaweza ku CHECK AND BALANCE of executive order. Na anao huo wajibu na Haki kwa...
  7. Querido

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Dahhhh ime bounce bosd
  8. Querido

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu nimekaa nachungulia za kubet
  9. Querido

    Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    Mkuu vp, nishauri nna Samsung galaxy A50, kioo cha nje kimepasuka. Inafanya kazi vzr. Vipi nikibadili haitoleta shida???
  10. Querido

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bring another one please
  11. Querido

    Akili ya binadamu

    Much kudos LUCKDUBE
  12. Querido

    Akili ya binadamu

    LUCKDUBE shukrani zaidi....nimekupata nami nimeelewa.. Usinichoke tena. 1: Je, Kuna uwezekano nikakaa sehemu nipate kuchunguza/observe namna ubongo wng unavoperfom various tasks? Whether theoritically or in practice. Lengo hasa nipate kuona ule upimbi wa fikra au mawazo yanavokosa focus Mana...
  13. Querido

    Akili ya binadamu

    Mkuu nna maswali Ila natanguliza shukran... 1.Nataman nijue uhusiano wa ubongo na addiction eg gambling sex drugs alcohol.???! .naamini utatusaidia wengi hp 2. Je,kumbukumbu zinapungua kadri umri unavoenda??? Mi nlikuwa mwandishi mzuri wa spellings Ila sasa hivi nazisahau 3; Kuna uhusiano Kati...
  14. Querido

    Psychedelic Drugs & Consciousness

    Ndg zangu tulofaidika na kupata ukombozi kutoka kuaminishwa tango pori, mikono juu tafadhali. Kwa sasa hivi Niko ktk stage yaku observe the naked facts with evidence. Sina haraka. But from a distance I can smell the forbidden facts.
  15. Querido

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kwa nini boss??? Assume Nika deposit kiasi kdg kutoka wakala mpya afu baada y mda na withdraw..
  16. Querido

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ndg zangu mnisaidie namba ya wakala wa 1xbet, Ni withdraw, mbali na Mhode. Awe wa uhakika.
  17. Querido

    Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Na uzii huu UKAWE FUNDISHO KWA WOTEE
  18. Querido

    JamiiForums Usiku wa manane

    Kama kuna mrembo anajihusi lonely....right here i will be for her
Back
Top Bottom