Search results

  1. M

    Kuna jambo litatokea ndani ya muda mfupi ujao!!!

    Hapo hujatabiri mkuu ume analyse based on some facts ni kitu ambacho kinaweza fanywa na mtu mwenye akili ya kawaida kabisa
  2. M

    Tanzania kuizidi Kenya kiuchumi kwa 20%

    Vilaza wanatuchosha humu
  3. M

    Serikali (TAKUKURU) yakamata Tani 4,900 za Sukari iliyofichwa Mbagala na Tabata jijini Dar

    Sijaliona kosa la huyu mtu, labda ni mpaka bunge lipitishe sheria ya kulimit kiwango cha juu cha kununua sukari
  4. M

    Mabilionea wa Mwanza respect and silence

    Mkuu waombe unywe nao chai wakukate kiu
  5. M

    Maono ya Kufikirika: Na Kabwe "Mgonjwa, mstaafu" Kutumbuliwa

    Kafungue kesi utalipwa fidia
  6. M

    Rais Magufuli atembelewa na Odinga nyumbani kwake Chato

    Unaweza kuwa urafiki wa mashaka maana wawili hawa wana ideologia tofauti. Odinga ametoka katika familia ya matajiri na ni watu wanaoamini katika ubepari wakati magufuli anaamini maisha ya kuishi pamoja na kugawana kidogo tulichonacho kugawana wote
  7. M

    Rais Museveni anachochea chuki baina ya Tanzania na Kenya

    Inabidi tuishi kama vile hakuna Uganda ili maisha yaendelee
  8. M

    Zanzibar yasema iko tayari kufa njaa

    Piinda alishasema zanzibar si nchi nyinyi mnaleta hadithi ni nchi
  9. M

    Tuhuma za Rushwa Kamati za Bunge: Zitto ajiuzulu ujumbe wa Kamati ya Huduma za Jamii

    Ni mwanasiasa mjanja sana huyu anajua kujijenga kisiasa
  10. M

    Fatuma Karume: Dk. Shein amewekwa madarakani 'kinyume na utaratibu wa nchi'

    joy p0 Huyu mama anastahili pongezi kwa kusimamia ukweli haina maana kwa sababu wewe ni mtoto wa rais basi uwe unaenda bendera fuata upepo. Acha nyeusi iitwe nyeusi i personally support you
  11. M

    Mwanahabari Salma Said akutana na wanahabari, aeleza kilichotokea

    Mkuu wa inji ni total failure kbs hasa ukizingatia aliapa kuilinda katiba na watu wake
  12. M

    Nape Nnauye kanishangaza sana!!

    Huyo watamfukuza tu huwa haipendi ccmu ngoja uchaguzi ufike uone
  13. M

    Binti wa Kikenya ananitambulisha kama Mkenya huku ugenini

    Hujampiga mchocheo vya kutosha ndo maana utakuwa unachoka mapema, ongeza ufundi kama kule gulioni kate..... . r
  14. M

    Magufuli: IPTL ni mkataba wa ovyo, Serikali haitaendelea nao!

    Tundu lissu aliwahi kisema mradi wa iptl ni mzee wa msooga so ni vizuri aende chukua hatua kule
  15. M

    Tulichojifunza kutoka kwa watu wa Vietnam

    Walijua ubaya wa majipu wakaanza kuyatumbua toka zamani, kwetu sisi majipu yakiisha tutaamka tu. Mungu ibariki Tanzania
  16. M

    Rais Magufuli Tayari Amefanikiwa, na Njia Inaonekana Sasa

    HB by Ule umeya wa jiji la dsm vipi hauzuii maendeleo kweli naona ccmu wanacheza maigizo kila siku. Hilo jipu halimuhusu?
  17. M

    Hili ndio Kaburi la Elimu kwa Watoto wa Maskini

    Ukweli mtupu Naunga mkono hoja
  18. M

    Vigogo wa DART wapandishwa kortini kwa kuisababishia serikali hasara ya Sh milioni 83.5

    hizi sinema huwa nazipendaga sana maana mwishowe utasikia adhabu yake atafanya usafi hospitali ya mwananyamala. Mungu ibariki africa mungu ibariki Tanzania
  19. M

    Matumizi ya Magufuli, tuyajadili

    Vyo Barabara, train na mabasi yaendayo kasi vyote tunavihitaji but tuanze na kimojawapo
Back
Top Bottom