Search results

  1. Vitalis Msungwite

    Ni muda muafaka Kamanda Mbowe akabidhi chama kwa Tundu Lissu

    Tarehe 23 wakati wa ufunguzi wa mikutano ya kisiasa pale Mwanza mheshimiwa mwenyekiti alipwaya Sana. Alionesha ni kwa namna gani anashindwa kutumikia mabwana wawili. Uso wake ulionesha anatamani uanaharakati lakini makubaliano na mama yanamkaba. Alikua anapata shida maana akisifia serikali...
  2. Vitalis Msungwite

    TBC1 HD Itumike kurusha matangazo ya mpira

    Ndugu wanabodi wakati kombe la Dunia likielekea ukingoni Kuna vitu vimenivutia. Baadhi ya vitu hivyo ni watangazaji na wachambuzi. Hapa unakutana na NAZARETH UPETE Kama mtangazaji na huku RAMADHAN MBWADUKE Kama mchambuzi. Hawa jamaa ni hatari na nusu hasa mchambuzi anakuchambulia wachezaji...
  3. Vitalis Msungwite

    Tunazika au tunasafirisha? Je, Ni lazima kusafirisha?

    Katika maisha Kuna kuzaliwa, kuishi na kufa. Tuyaache yoote twende kwenye kufa, hapo tutulize vichwa na kutafakari. Kuna ulazima wa kusafirisha? Mtu akifa hasa akifia hospital, au fikiria sehemu yoyote mbali na nyumbani. Au ni mpambanaji tu labda amezaliwa Mbarali-Mbeya lakini anaishi Mwanza au...
  4. Vitalis Msungwite

    Mfumo wa upigaji kura Startime's Best Comedy Challenge ubadilishwe

    Habari ndugu wananchi wa jamhuri ya Ukraine na Urusi. Nitangaze kuwa Mimi Ni mdau mkubwa wa vipindi vinavyorushwa na startime's channels St Swahili na St Mambo. Kilichonileta hapa jukwaani Ni kutokana na kile kilichotokea Jana kwenye mchuano wa Mang'endo na Kiredio. Kwenye ule mchuano...
  5. Vitalis Msungwite

    Kama hujajipanga usiache kazi na kukimbilia kujiajiri

    Binafsi ni miongoni mwa wahitimu wa shahada ya elimu wa mwaka 2017. Katika kipindi chote Cha kusotea ajira nilijikita kwenye kilimo champunga, huku nikitafuta kazi yakufindisha bila mafanikio. Kuna jamaa ambao waliingia kwenye biashara na wengine wakitafuta center na kujishikiza huko. Baada...
  6. Vitalis Msungwite

    Mitambo ya ujenzi wa bara bara ya kukodisha inahitajika

    Madibira AMCOS inahitaji mitambo ya ujenzi wa bara bara. Mitambo hiyo ni excavator, tipa, boza, rola(sindilia) na greda. Mkodishaji awe na uwezo Wa kutoa risit za EFD na awe na leseni ya biashara. Kwa kampuni, taasisi au mtu binafsi anaemiliki mitambo ya kukodisha aandike barua na kuituma...
  7. Vitalis Msungwite

    Operator wa excavator anahitajika

    Vigezo na mashariti vimeambatanishwa Ingawa tarehe ya mwisho imekaribia unaweza kupiga simu kwa meneja au mwenyekiti kwa maelezo zaidi.
  8. Vitalis Msungwite

    #COVID19 Taarifa ya tume ya Corona sio yetu watuambie walikoitoa

    Nawasalimu kwajina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ndugu zangu mheshimiwa Rais wetu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliunda tume ya Corona. Taarifa ya tume imepokelewa Jana na wengi wanaendelea kutupa mrejesho ya kile kilichopo kwenye tume. Naomba niseme taarifa ile sio yakwetu...
  9. Vitalis Msungwite

    Kilimo cha mpunga Tanzania

    Huu ni uzi utakaobeba mambo mengi kama sio yote kuhusiana na kilimo cha mpunga nchini Tanzania. MPUNGA Hili ni zao la chakula linalolimwa kwa wingi kwenye maeneo ya ukanda wa joto. Zao hili linastawi zaidi kwenye udongo wa tifu tifu na eneo lenye maji ya kutosha. Baadhi ya maeneo (,Mikoa)...
  10. Vitalis Msungwite

    Je, Serikali haiyajui makampuni ya kitapeli Tanzania?

    JE, SERIKALI HAIYAJUI MAKAMPUNI YA KITAPELI TANZANIA? *Soma hadi mwisho Usijetapeliwa* Kufa Kivyako na Koma Kutulaghai Wenzio ukitushawishi kujiunga na hizi E- Commerce; QNET, H2I, GLOBAL ALLIENCE, FOREVER LIVING; D9 nk E-commerce ( électronic commerce) maana yake ni ile hali ya kuuza na...
  11. Vitalis Msungwite

    Vijana wasaidieni wazee wenu baadhi ya majukumu

    Poleni na vifo vitokanavyo na tatizo la kupumua na hongereni kwa jitihada mnazozionesha za kuitokomeza covid19. Turudi kwenye mada Vijana hawa mama zenu wanaohangaika kila siku na maisha wasaidieni. Yaani unakuta kibinti badala ya kumsaidia bibi yake hata kuni tu shida. Kutwa kipo Facebook...
  12. Vitalis Msungwite

    Tunapo pambana na COVID-19 tuwalinde watoto wakike

    Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS Baada ya kupata Maneno ya wadhamini tuendelee na mada yetu. Toka shule zifunge ni kama mwezi mmoja na nusu. Sote tunajua...
  13. Vitalis Msungwite

    Anaandika Mwl. Shaban Ngalamo katika historia za miaka yenye namba "20" mwishoni

    Kila karne, hususan katika kilele cha kipindi kinchoishia '20' dunia inakumbwa na maradhi makubwa ya kufisha? Yaani namaanisha: 1120, 1220, 1320, 1420, 1520, 1620, 1720, 1820, 1920, 2020, 2120. Mwaka 1520 kiliibuka kile kile kilichoitwa Mexican Smallpox, Robert Rotberg katika ukurasa wa 107 wa...
  14. Vitalis Msungwite

    Matumizi sahihi ya maneno "Lakini" "Pia" na "vile vile"

    Haya ni maneno matatu ambayo hufanya kazi moja. Kazi kuu ya maneno haya ni kuongeza maelezo ya ziada katika jambo. Hutoa taarifa ya ziada au kukazia taarifa ya awali. Katika jamii kuna mazoea ya kutumia maneno hayo katika sentensi moja. Si mara moja kusikia watu wakitumia neno "lakini...
  15. Vitalis Msungwite

    Amuua mke kisa wivu wa kimapenzi

    Leo jumatatu ya tarehe 23/12/2019 mwanaume mmoja amejikuta mikononi mwa polisi kwa kosa la kumuua mke wake kwa kumpiga na shoka kichwani. Mwanaume huyo ameishi na mke huyo kwa miaka zaidi ya mitano na wanamtoto mmoja. Kisa kipo hivi: Jamaa alikuwa akiishi na mkewe katikati ya mji. Kuna mtu...
  16. Vitalis Msungwite

    Serious fertilizer agent/ businessman anahitajika

    Imeunganishwa huku https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1670425/ Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Vitalis Msungwite

    Power tiller special thread

    Wale wanaohitaji kuzielewa power tiller karibuni. Uzi huu utatumika kujibu maswali na majibu ya wadau ambao wamekua wakiniuliza mara kwa mara. Kuna aina kuu mbili za power tiller yaani Long hand power tiller na Short hand power tiller. LONG HAND POWER TILLER Long hand power tiller ni zile...
  18. Vitalis Msungwite

    Meza, Kitanda + godoro ft 4*6 vinauzwa 140000 IRINGA

    Meza ft 3*4 Godoro lina hali nzuri halijapoteza ubora wake Kitanda ni cha mbao na kipo vizuri Vinapatikana Mkwawa Iringa
  19. Vitalis Msungwite

    Kwa wamiliki wa matrekta na ma combine ya kukodisha

    Habari wanajukwaa Kwa wahusika wachangamkie fulsa hii ya kiuchumi. Nimeileta humu kutokana na uhaba wa vitendea kazi katika shamba hili. Shamba hili linamilikiwa na sisi wananchi kwa 100% na ushirika wetu wa MAMCOS LTD(Madibira Agricultural Marketing Co-operative Society Limited. Shamba...
Back
Top Bottom