Search results

  1. realoctopus

    Kuna update zozote kuhusu ujio wa hawa "wanaume"

    Wadau naombeni kujua kama kuna chochote kimesha amuliwa had sasa kwenye hayo maongezi na hii team ya Barrick? Naona kimya sana,kama ambae ni jinai sisi kujua kinacho endelea nchini kwetu baina ya wageni na wenzetu. Ni vyema walau hata kwa ufupi tuu tujue nini kinaendelea,kama kuna kutokuelewana...
  2. realoctopus

    TB JOSHUA AOMBEA DUNIA AMANI.

    Dunia inapitia wakati mgumu sana kwa sasa. TB JOSHUA,katika mahubiri yake,amesema ameota. Amesema ya kwamba ameona katika njozi,mshale ukitupwa kutoka Korea Kaskazin ukielekea mataifa mengine. Joshua amesema mshale utakao rushwa kati ya alhamisi na ijuma,utaketa taharuki duniani...
  3. realoctopus

    SIELEWI HILI

    Naomba kujulishwa kuhusu linalo tokea nchini. Kila panapo tokea tukio kubwa la kisiasa nchini utaona post nyingi zinazo zungumzia mambo yasiyo shabiana na tukio hilo. Mfano,utaona post zinahusu mapenzi,zingine zinatangaza kuuza bidhaa kama laptop,zingine zinalinganisha miji mikuu. Kwa nini...
  4. realoctopus

    UKAWA mnazungukwa

    Kama kawaida yangu ilivo,ni kutoa ushauri tuu. UKAWA mnazungukwa,tena mnazungukwa vibaya sana. Ukomavu wa kisiasa wa ccm,wanautumia vilivo kulazimisha kutangaza JITIADA za awamu hii kupitia umaarufu wa UKAWA. Chunguzeni vizuri,mtaona kwa sasa kuna wimbi la viongozi wa ccm,wanaojifanya kutoa...
  5. realoctopus

    Kuepusha Taaruki Rais awe anahutubia taifa kila mwisho wa mwezi

    Wapendwa wana JF,nawasalimu sana. Nimekuja kiushauri,kwa kiongozi wetu mpendwa. Namshauri atenge muda wake,angalau mara moja kwa mwezi,ili aweze kuongea nataifa. Katika kuongea na taifa lake,itakuwa rahisi sana kwake kujifunza mambo mapya wananchi wake wanapitia. Pia,itamsaidia kupunguza...
  6. realoctopus

    Lissu tupe ufafanuzi juu ya matamko haya

    Hili ni ombi maalum kwa Raisi wa TLS. Leo tumeshuhidia mambo kadhaa 1.TAMKO LA WAZIRI WA HABARI 2.TAMKO LA M/KITI WA MOAT 3.TAMKO LA RAISI Tamko la raisi,limeoneka kutangulia maagizo ya waziri wa habari na kiongozi wa MOAT. Kutokana hali hiyo basi,tunamuomba mh. Lissu atamke kutueleza nini...
  7. realoctopus

    Hotuba ya Kikwete inaashiria kutoamini mafanikio katika mabadiliko ya katiba CCM

    Hotuba ya mh. Raisi mstaaf Jakaya Kikwete, inanipa kuamini kuwa haamini na hategemei kuona mafanikio ya mabadiliko ya 16 ya katiba ya CCM. Hii imetokana na baadhi ya mambo aliyo yataja kama changamoto katika chama hicho. Ametaja baadhi ya mambo kama idadi ndogo ya wanachama katika kuchangia...
  8. realoctopus

    USHAURI: Kama Mbowe yupo nje ya nchi, yeyote atakaefanya uchunguzi kwake awe makini na matokeo yake

    Wadau,huu ni ushauri tuu,kwamba ikiwa mbowe atakwenda mwenyewe kituoni kwa mahojiano,basi kwanzia statements,search mpaka test results,muwe makini kwa kuweka ukweli mtupu. Mbowe si mjinga kwa siku zote hizo awe hajaweka ushahidi mujarabu wa mazingira yote,kwanzia majibu ya damu hadi nyumbani...
  9. realoctopus

    Boda boda na rear light

    Wapendwa,habarini za mchana. Kuna jambo limezuka hivi karibuni,linanipa mashaka kidogo,ni kuhusu hizi boda boda zinazo ondolewa taa ya break ya nyuma(rear light). Mimi ni mtumiaji mzuri sana wa barabara usiku,ila hili jambo linanipa mashaka sana,kwamba kwa nini piki piki zote zinazo endeshwa...
  10. realoctopus

    Mbona ni kama bwana Trump anatawala kabla ya kuapishwa?

    Hii ina nishangaza sana kutokana na jina la raisi mteule wa marekani kutajwa katika vyombo vya habari kila siku. Kauli anazotoa,ni kama anatawala Marekani. Huyu hajapoka madaraka ya marekani kabla ya kiapo?
  11. realoctopus

    CUF Bara na CUF Zanzibar zinanichanganya

    Wadau,nachanganyikiwa kabisa na hizi taarifa. Naskia kikao cha CUF kinacho endelea Buguruni ni kwamba MAALIM SEIF kesha fukuzwa uanachama na huko Zanzibar nako naskia CUF imemtimua Lipumba.HII INANICHANGANYA KABISA naombeni ufafanuzi.
  12. realoctopus

    Milioni 50 kwa kila kijiji zipelekwe Kagera

    Wapendwa,kama kichwa kinavo jitanabaisha,nashauri kuwa zile fedha zilizo ahidiwa kila kijiji zipelekwe kuwasaidia waathirika wa kagera. Hatuna sababu ya kufurahia kupokea fedha huku wenzetu wakitaabika. Huo mpango wa kuzigawa kwa vijiji,tuuhairishe hadi mwaka wa fedha mwakani. We unaonaje?
  13. realoctopus

    Kwani tatizo kwa sasa ni moja tuu? UCHUMI?

    Wapendwa, Naomba kujua,je tatizo liliobaki kwa sasa hapa Tanzania ni swala la kiuchumi tuu? Sababu ya kutaka kujua ni kutokana na jinsi watu wanavyo zungumzia kwenye mitandao kwamba hali ni ngumu.Je inamaana ikitokea mh. John Magufuli akalitatua hili la uchumi na watu kuanza kuona hela katika...
  14. realoctopus

    Ukimya huu si wakawaida

    Wapendwa nikiendelea kuzihesabu siku, leo ni kama siku ya sita kama sio wiki sijaona michango ya kimijadala kutoka kwa vijana wa Lumumba kulikoni,au nao washachukizwa?
  15. realoctopus

    Fedha zangu kwenye account ya benki

    Wakuu,kabla ya tarehe 1/9/2016,(siku ambayo mabenki yangeanza kutoza kodi ya ongezeko la thamani) nilijaribu kuwaza na kutafakari kwa kina juu ya fedha zangu nilizokuwa nazo benki kiasi cha kama bilion 1.4 na ushee hivi,lakn sijapata jawabu ya maswali yangu,naombeni msaada wa ushauri maana mi si...
  16. realoctopus

    Zoezi la Simu feki limeishia wapi?

    Hivi lile zoezi la uzimaji simu feki lilisha kamilika?au ndo tisiraeee wamesha sahau kwamba kuna tamko kama hilo walisha wahi kulitoa? Maana simsikii hata mtu mmoja akidai simu yake imekata mawasiliano. Simu zinaendelea kuuzwa madukani kama kawaida,stock sioni kama zimepungua,sababu kama simu...
  17. realoctopus

    Matapeli ya burungutu Moshi yataacha lini huu utapeli uliopitwa na wakati?

    Leo asubuhui nikiwa najipitia zangu hapa mjini Moshi nimeshuhudia jambo la ajabu sana,yaani kuna watu wazima na familia zao kabsaa,eti wanafanya kazi ya kutapeli kwa aina hiyo. Kwa jinsi walivo ji target,ni kama wahanga wao wakuu ni wanafunzi,wadada wanaotumwa kufanya shopping za nyumbani na...
Back
Top Bottom