Search results

  1. Payer

    Nashindwa kuelewa akili ya Magufuli inafanyaje kazi

    Wakati huyu jamaa anajipanga kiasi hiki ktk chama hakumuona?
  2. Payer

    Chinese Government Scholarship kupitia MOE

    Aaah Mkuu sina hasira, mie nilibanwa mbavu heslb na sikumaliza application (haikupokelewa wizarani). Ila kuna nyingine iliyokuwa chini ya mofcom (ministry of finance - China) niliomba. Ndiyo naisubir. Haikupitia wizarani.
  3. Payer

    Chinese Government Scholarship kupitia MOE

    Zile za mofcom nazo wametoa?
  4. Payer

    Chinese Government Scholarship kupitia MOE

    Ile ofisi ina njaa hata kwa kutazama tuu..... Yawezekana kauli yako ikawa na ukweli
  5. Payer

    Chinese Government Scholarship kupitia MOE

    Ni email au sms? Imetumwa lini?
  6. Payer

    Chinese Government Scholarship kupitia MOE

    Imetumwa lini? #Mr Kiroboto
  7. Payer

    Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Uhamisho wa dharura hauna tofauti na huu wa kawaida, ukielewana kisababu na afisa elimu wako basi anakuombea. Taratibu za ruhusa ya kusoma nadhani taratibu zake ziko wazi. Serve for at least 3 years then apply for the opportunity for.
  8. Payer

    Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Waweza omba uhamisho wa dharura, huo unatoka muda wowote unapokamilisha maombi. Sio lazima July au January tuu
  9. Payer

    Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Uhamisho wa ndani upo handled ndani na sio tamisemi. Huo bila shaka utakuwepo
  10. Payer

    Njia za asili za uzazi wa mpango(Natural birth control methods)

    Usharati ni nini? Wanandoa wako tayari kuzaa kila wakati wanapokutana?
  11. Payer

    Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Baadhi ya halmashauri barua zilishafika. Fuatilia huko kwako upate ukweli wa hali ilivyo.
  12. Payer

    Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Barua nenda masijala ya ulipoajiliwa, zitakuwepo. Maeneo mengi zimeshafika
  13. Payer

    Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Mara nyingi ni baada ya wiki 2 tangu majina yatoke
  14. Payer

    Uhamisho kwa watumishi wa Serikali za Mitaa, July 2015

    Hongera pia mkuu na majukumu mema uendako kulitumikia taifa
Back
Top Bottom