Search results

  1. L

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    nimeumia sana Ni kama nimepoteza ndugu wa damu.Naamini utarudi kwanjia nyingine
  2. L

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Naendelea kutoa masikitiko yangu kwa chadema kwa kuwabeba baadhi ya wagombea wasio kubalika. Hivi ni kweli wanampango wa kuwashinda CCM ama ni usanii tu.Mfano mzuri ni jimbo la Muleba kaskazini ambapo wamemteua Ansbert Ngurumo kusimana kuwa mgombea ubunge licha ya kwamba alishika nafas ya 5...
  3. L

    Orodha ya majina ya wanachama wa CHADEMA walioteuliwa kugombea Ubunge 2015

    Kwa kweli jimbo la Muleba kaskazini wamembeba sana Ansbert Ngurumo. Naelewa alianza kujiandaa mapema lkn hajakubalika zaidi huko.Miaka mingi amekuwa nje ya Muleba, mm binafsi nadhani wamepunguza nguvu ya kuing'oa CCM jimbo hilo. Tunote tusubiri oktober 25. Tujifunze kuacha kuwabeba watu
  4. L

    Mbowe: JWTZ imepeleka Wataalamu wa IT NEC

    kajifunze kwanza kiswahili. kisha urudi kuandika.Maelezo yako ya kilevilevi
  5. L

    Prof. Lipumba arejea nchini

    wasomi ndo wameturudisha nyuma kwenye kila jambo hapa tz
  6. L

    Dr. Slaa aikana akaunti ya Twitter, asema imegushiwa

    tusubiri mtu apewe za uso hapa kama ilivyokuwa kwa Yericko mapropaganda
  7. L

    Dr. Slaa aikana akaunti ya Twitter, asema imegushiwa

    nasubiri kuona mtu anapewa za uso hapa na dr mwenyewe
  8. L

    Kwanini jina la Apson Mwangonda?

    huyu anaendlea na kazi yake kama kawaida,hasa kuhakikisha Lowasa haingii ikulu,anatoa siri zote zinazohusu mipango ya Lowasa
  9. L

    Lipumba: Umechelewa japo sio sana (someone has written it somewhere)

    mawazo negative.Watu wa hivi hata maendeleo ni shida kuyapata.Na walivyofanya ukawa ni jambo jema na wachache sana wataelewa sasa
  10. L

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    subirini dr amzodoe mtu hapa.Hii article ni ya Yericko
  11. L

    Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

    kumbe unaamini fix hzo juu
  12. L

    Wazee wa CHADEMA wakutana na Dr. Slaa leo

    bavicha kwa uongo na kufuata mkumbo mnatisha
  13. L

    VIDEO: Nape akiongelea hatua ya Lowassa kuhama Chama

    anasematutawagaragaza????mmmh mwaka huu kazi ipo
  14. L

    Dr. Slaa: Natishwa

    Dk. Slaa: Natishwa ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Wilbrod Slaa, ambaye tayari amekwishakujivua uanachama wa chama hicho, amesema maisha yake binafsi pamoja na ya familia yake sasa yapo hatarini. Hatua hiyo ya Dk. Slaa kufichua hatari hiyo...
  15. L

    Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

    tunaposema wazushi hawa wanawadanganya wasiojua kufikiri mnakataa,yuko wapi,kikao kinaendelea na hajaonekana
  16. L

    Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

    hajakosea,ilikuwa ni vigumu kurejesha akaunti yake ya awali,vijana wamei hack
  17. L

    Maandamano kumtaka Dr. Slaa aseme kilicho myoni mwake

    ntaandamana na mke wako
  18. L

    Maandamano kumtaka Dr. Slaa aseme kilicho myoni mwake

    hizo tunaita kura za wajinga,wasiojua hata thamani ya kura
  19. L

    Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

    akisema mwenyewe ama mushumbusi Josephine ntakubali lkn sio uongo wenu tena akijua umeandika hapa atakuzodoa
  20. L

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    unaaminika kivipi wakati hata post yako haiaminiki
Back
Top Bottom