Search results

  1. covid 19

    Ubaguzi ninaoupata Zanzibar, wakija Dar nitawapa haki yao

    hivi ulishakaa zanzibar wewe unajua gubu la wapemba lakini.. ukiambiwa ubaguzi ni ubaguzi kweli hawatanii hao wanaweza kukutoa kafara kama yesu
  2. covid 19

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

  3. covid 19

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nairobi city today ..acheni kugombana humu nendeni mkaokoe nyanya zenu huko wanakufa..
  4. covid 19

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Hakuna jinadamu anapenda kulipa kodi isipokuwa serikali iset system itayohakikisha kila mtu analipa kodi kwa kazi anayofanya..
  5. covid 19

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    Sasa na wewe uoni aibu a third world country kuifananishabna first world country alfu sasa hiyo first world country inawatu billion 1.3 zidi ya watu million 60.. Duh..
  6. covid 19

    Umejifunza au ulijifunza jambo gani kipindi unapopitia au ulipopitia nyakati ngumu maishani mwako?

    Nilitumia nguvu, akili, pesa kujenga maisha ya ndoto yangu familia ya ndoto yangu.. Nilipo pita Nyakati ngumu kila kitu nilichokuwa nacho kilipotea kuanzia mali, mke na watoto. Inauma sana.. Sasa nipo peke yangu nimerudi kukaa gheto walah kutoka nyumba zima self.! Kwangu maisha hayana maana...
  7. covid 19

    Ushawai kufanya interview vibaya lakini Bado ukaitwa kazini

    Mm nilishafanya nikapiuiwa na simu kuwa nimefanya vizuri then nikaambiwa subiri tutakujulisha muda wa kuriport basi toka 2020 hadi leo nasubili jaman🤣🤣🤣🤣 Wewe uliyenipiga tikitaka kwenye hiyo position pale utumishi mungu anakuona mm bado najitafuta hadi sasa.
  8. covid 19

    Tujifunze kuambizana. Hata kama kwa uchungu

    Wapo wazee wengi tu walienda huko na wala si walevi wengine hawagusi pombe kabisa.
  9. covid 19

    Dar: Barabara ya Jangwani imefungwa kutokana na mafuriko

    Kuna wengine wanataka kujenga uwanja hapo...🤣🤣🤣🤣 Akiyanani wanataka kutoa watu kafara..
  10. covid 19

    IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

    Gdp yetu imeshuka si ilikuwa 85.. Alafu kwanini Ethiopia gdp yao inakimbia sana wameshafika 205.. juzi tu walikuwa na 185 kitu gani kinawang'arisha hivo..
  11. covid 19

    Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    idadi nimekupa ndogo alafu hakuna kampuni kubwa itakuuzia sms 1000 au 500 iyo bei ni utapewa sms kuanzia million 2 sasa wewe unaweza kununua sms million 2??
  12. covid 19

    Ongeza thamani kupitia SMS Marketing uone maajabu kwenye mauzo ya biashara yako au michango ya sherehe yako leo

    Utofauti upo angalia mfano wa sms nilioweka hapo.. Wewe ukijiunga utatuma sms kwa no yako tu mimi natuma kwa send id ya jina la biashara yk. Mfano sms za promotion unazopata kwenye simu yk.
  13. covid 19

    Hali ilivyo soko la mabibo inasikitisha sana serikali fanyeni jambo hapa

    Vitu vya ovyo kabisa vinaaibisha utu wetu sana.
  14. covid 19

    Michezo haramu katika mikopo chechefu. Je, Martin Masese anapata wapi taarifa nyeti kama hizi?

    Inasikitisha sana watanzania wengi tunatumia akili sana kudhulumu au kuchukua pesa isio halali ila hatutumii akili hiyohiyo kujiletea maenddleo km nchi Sijui nani ametuloga isee!
  15. covid 19

    Aliyemtuhumu Mbunge wa Singida Magharibi Elibariki Kingu kumshambulia adaiwa kufariki

    Hakuna mwansiasa mlokole ni waigizaji.
  16. covid 19

    Mkuu wa Idara ya Ujasusi ya Jeshi la Israel ajiuzulu

    hawana njaa wanauhakika na maisha. hata hapa tukiboresha maisha ya watu kukawa na uhakika wa maisha basi kuwjibika ni dakika 0
  17. covid 19

    Kwa hii Video, Abiria wa Kimara wana Midomo michafu sana Madereva naanza kuwatetea

    "Ukipata jimama likomoooeeee..." Kwahiyo mkaamua kumkomoa kweli aya bhana..
Back
Top Bottom