Search results

  1. MUSHEKY

    Rais Samia, Soko la Kariakoo halihitaji muwekezaji kutoka nje waachie wazawa wanufaike nalo

    Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada. Imepita zaidi ya mwaka na ushee hivi toka Soko Kuu la Kariakoo ambalo ni kitovu cha biashara katika nchi yetu na nchi zinazotuzunguka kuteketea kwa moto. Sikumbuki kama tuliambiwa sababu ya kuungua soko hili wala hatua zilizochukuliwa kwa...
  2. MUSHEKY

    Ukweli mchungu: Kikwete family ni Royal Family watatutawala milele

    Hao wote ni tenderpreneur Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  3. MUSHEKY

    Sakata la Bandari: Muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Hizi kinga yabidi ziondoke ili hofu ya mali za watu iwajae Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  4. MUSHEKY

    Sakata la Bandari: Muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Acha niendelee kulewa pengine nitakuelewa baadae Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  5. MUSHEKY

    Uzi Maalum wa Kuwakumbusha members walioahidi kuleta nyuzi zao humu JF

    Kuna yule bwana alikula tunda kimasihara aliahidi kuielezea kwa utulivu zaidi pliiiz timiza ahadi yako ndugu kua muungwana Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  6. MUSHEKY

    Sakata la Bandari: Muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Mods tafadhali kichwa kisomeke sakata Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  7. MUSHEKY

    Sakata la Bandari: Muungwana akivuliwa nguo huchutama

    Bila salamu nijielekeze moja kwa moja kwenye mada Kama binadamu (sio robot) leo nimeona nitimize wajibu wangu kuongea machache yanayohusiana na sakata la hizi bandari zetu Kwanza kabisa niwakumbushe watawala wote (hasa wale wa ngazi zinazonyenyekewa) akiwemo Rais wa jamhuri ya muungano wa...
  8. MUSHEKY

    Kigezo cha kuwa Sheikh (Shehe) ni nini?

    We choccobenga Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  9. MUSHEKY

    Othman Kazi: Penati mbili kati ya tatu za Ngao ya jamii zilipaswa kurudiwa

    Kauli yake ni sheria? Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  10. MUSHEKY

    Othman Kazi: Penati mbili kati ya tatu za Ngao ya jamii zilipaswa kurudiwa

    Huyo kazi ndio nani Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  11. MUSHEKY

    Inasemekana bifu zito kati ya Mtendaji wa Shirikisho na Mmiliki wa Tabora United ndio sababu ya kucheza pungufu

    Mpe credit zake oscar oscar haya maneno si yako kayasema yeye Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  12. MUSHEKY

    Uingereza inafikiria kumpa kazi mwanamke kuinoa timu ya taifa ya wanaume

    Machocle kwenye ubora wao wanaweza kuamua lolote Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  13. MUSHEKY

    Balozi Mbelwa Kairuki kwenda Uingereza na Balozi Khamis Mussa Omar kwenda China ni tatizo

    Mtoa mada acha udini jadili hoja "Qmmk'O" Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  14. MUSHEKY

    Ahukumiwa kwenda jela miaka 4 kwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na jirani yake

    Mbona lulu kaachiwa kirahisi vile? Wamwachie mwamba Haki ya maskini ipo mbinguni Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  15. MUSHEKY

    Msikiti kujengwa pale Quran alipochomewa nchini Sweden

    We really respect every single dot of our holly scripts, we dont care whether the word will move on to shit you said or what! One thing you need to know we are not basing on the ACTION they do to the Qur'an we only need to be respected because the question of qur'an in the gadgets is nothing...
  16. MUSHEKY

    Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Tumia akili bwa mdogo bibi yangu kule manyovu kigoma hawezi kuiona wala kuihisi Nitrogen au carbon monoxide basi ndio uwe uthibitisho kwamba gesi hizo hazipo kwenye hewa yetu/mazingira yetu?? Wewe ndio uprove wrong sisi tunaoamini uwepo wa mungu with evidence Sent from my M100 using JamiiForums...
  17. MUSHEKY

    Kama kweli Mungu hayupo, who organized haya mambo duniani?

    Kwa waislam Mungu (Allah) anathibitisha yeye mwenyewe ndiye kaumba huo ulimwengu na sisi walimwengu kiufupi wewe mpinga haya ndiye unatakiwa uje na uthibitisho kwamba si yeye Allah aliyeumba... Na jinsi ulimwengu na walimwengu walivyo systematic ni dhahiri yupo super Engineer (mmoja) aliyefanya...
  18. MUSHEKY

    DOKEZO Biashara ya kuuza mwili imekithiri maeneo ya Singida MC (Mitaa ya Kirima), serikali ifanye kitu

    Habari bila picha ni uzushi Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  19. MUSHEKY

    Ni mbegu gani za mahindi zinafanya vizuri katika mkoa wako?

    Mkuu unaweza ku share na mimi ni kanuni zipi za kilimo napaswa kufuata ili nipate hizo gunia 40-45 kwakua hua napata 10-15 kwa ekari mbegu natumia dk space natumia 75 kwa 30 situmiagi mbolea kwa kua eneo nililopo kuna rutba ya kutosha Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
  20. MUSHEKY

    Mambo ya Nyerere yasiyosemwa

    Alijistukia baada ya kuwapa wagalatia shule zaidi ya kumi za umma kua vyuo vikuu vya kikristo akajipapatua kuwapa waislam majengo kuu kuu ya Tanesco morogoro kua chuo kuhusu makao makuu ya bakwata hakujenga magufuli ni mfalme wa Morocco alitoa pesa yake kufanya hivyo Sent from my M100 using...
Back
Top Bottom