Search results

  1. M

    Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

    Venda thana kubajwa,yan hao ukigusa tu hamna mjadala ula kishi
  2. M

    Ukitaka raha ya ndoa kaoe mpare

    Malaya balaaaa
  3. M

    Huyu mwanaume mimi namwacha

    Huyu malaya huyu
  4. M

    Huyu mwanaume mimi namwacha

    Wewe utakua huna tabia nzuri,sisi tuko kwenye ndoa simu kushikiana ni kawaida tu sasa wewe hutaki kwa nini?Utaishia kibadili mabwana mwisho utapata magonjwa!
  5. M

    Application gani inaweza kudownload video kwenye Android?

    Instadownloder iko google play store
  6. M

    Tecno m3 bado mpya kwa 90,000

    Umetumia mda gani?
  7. M

    Samsung LED flat TV FOR 320,000/ Tsh Only

    ASANTE SANA KWA USHIRIKIANO WADAU....Biashara tayar imeshafanyika kwa mdau humu humu...Mbarikiwe!
  8. M

    Samsung LED flat TV FOR 320,000/ Tsh Only

    Mzigo bado upo wakuu,karibuni!
  9. M

    Samsung LED flat TV FOR 320,000/ Tsh Only

    Nipo Dar Kimara mwisho mkuu...
  10. M

    Samsung LED flat TV FOR 320,000/ Tsh Only

    Picha zinagoma ku upload kwa simu mkuu....Whatsap 0764-468-469 natuma!
  11. M

    Samsung LED flat TV FOR 320,000/ Tsh Only

    Ni pesa nyingi lakini hailipi mkuu,leta 300,000 tumalize,warante card ipo,bado ina function.
  12. M

    Samsung LED flat TV FOR 320,000/ Tsh Only

    Habar wakuu..Nauza Samsung LED flat screen inch 23 SERIES 4 kwa sh 320,000 tzsh..Serious buyer dial 0716-390-337 Dsm..
  13. M

    WAGANGA 3 kienyeji TEMEKE wakutwa na chupi 22 za wateja

    Hahaha siku hiz za kichina 1500 tu bwana.
  14. M

    WAGANGA 3 kienyeji TEMEKE wakutwa na chupi 22 za wateja

    Hao waganga ungewaona ni vijana,usanii mtupu.
  15. M

    WAGANGA 3 kienyeji TEMEKE wakutwa na chupi 22 za wateja

    Sawa mkuu,nimeikuta ikiishia,niang'amua kidogo hayo.
  16. M

    WAGANGA 3 kienyeji TEMEKE wakutwa na chupi 22 za wateja

    Kumbe kinadada wakienda kwa waganga masharti ndio haya?Waganga wenyewe vijana wahuni tu nimewaona kwenye TV.
  17. M

    WAGANGA 3 kienyeji TEMEKE wakutwa na chupi 22 za wateja

    Waganga wa kienyeji DK.NKUBA,DK KALIMWENE na DK. MTIMKAVU wilayan TEMEKE wamekamatwa na chupi 22 za wateja wa jinsi ya KIKE.Walipohojiwa na KAMANDA WA POLISI walijibu kila MTEJA WA KIKE akija basi akipewa tiba huvua NGUO,na baada ya TIBA huacha kabati zao pale.WAGANGA HAWA WAMEKAMATWA KWA...
  18. M

    Mapenzi basii

    Hili linaonekana LICHOYO SANA.Mie mwenyewe mwanaume,ila umezidi.
Back
Top Bottom