Search results

  1. bagabe

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Una ngapi nikupe contact yake leo leo ukale marinda
  2. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Ujumbe wako mzuri mno..nimekuelewa mkuu na nauzingatia kuanzia sasa
  3. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Nishampa capital ya kutosha tu na anafanya biashara yupo makini mno sijagundua udanganyifu bado mwaka sasa
  4. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Najua ila nataka wewe uniambie labda naelewa tofauti
  5. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Hana kasoro yoyote mkuu ni pisi ya kwenda
  6. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Kabisa mwanangu..nitupie basi mtoto mmoja inbox[emoji23]
  7. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Fanya unipe hata moja ya uhakika iwe mchepuko wangu nipunguze stress,na mimi nikupe moja imenyooka
  8. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Usicheke mkuu..unajua ujana huu sometimes,mimi na wewe wote ni mende nadhani unaelewa
  9. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    UPDATES; Nimeongea nae kuhusu kuachana nae kwa namna fulani ya masikhara japo nilikua namaanisha..Akasema hawezi kuwa mbali na mimi maana tumetoka mbali na nimemtumia vya kutosha iweje akaanzishe maisha na mtu mwingine.Kama ninataka iwe hivyo basi nimtafutie sehemu nyingine ya kukaa na nimpe...
  10. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Hajawahi nikosea ila nadhani ni hali tu imetokea ila kumpenda nampenda
  11. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Wanampenda sana..mama aliwahi kusema nisije kufanya kosa la kumuacha huyu mwanamke sitopata mwingine kama yeye
  12. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Wengi wanawahurumia zaidi wanawake kuliko sisi
  13. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Tunaendelea mkuu
  14. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Tunaendelea mkuu
  15. bagabe

    Nataka kumuacha lakini sina pa kuanzia

    Hela natafuta sana mkuu labda sema hazitoshi
Back
Top Bottom