Search results

  1. singsong

    Abdul Mwinyi kumng'oa Dr Faustine Ndugulile Kigamboni

    Wana Ccm acheni kuangalia hela Munge wenu anawapigania hivyo mumwache kwa sababu ya hela? Mkampe mzanzibari? Eti 50.000? Aibu chukueni hela ill kura elekezeni kunako mtu wenu. Acheni ubwege
  2. singsong

    Wana ukonga list ya wabunge hiyo

    Mzee wa ukweli nakuunga mkono mtu anapouliza aliyoyafanya mama mwaiposa unayaona wewe tu si afuatilie kuona kama ni kweli ? Acha bangi za vijiweni nenda kulikotajws ukaone kama ni ndo uje na fact humu. Acha fitina za kiuni udhani kazi ya mbunge ni kukuletea fedha kijiweni. Acha ufala usipokuwa...
  3. singsong

    Wana ukonga list ya wabunge hiyo

    Semeni lingine na tutakutana humu humu Ukonga ameiweza Mwaiposa peke yake. Chuki zenu binafsi acheni Majohe kawatengenezea bars ya kutoka Pugu majohe viwege ilikuwa haipitiki na toka toka majohe kutokezea pugu relini . Nyie acheni huyu mama miaka minne kafanya mengi Tuambie Waitara...
  4. singsong

    Wana ukonga list ya wabunge hiyo

    - Mama Mwaiposa kasema yumo, - Meya was ilala naye anasema kata imemshinda wapinzani wamezonga aka fie mbele - Ramshi Patel naye mimi iko taka jaribu tena Wapo wengine ni vishoia hawafai hata kutajwa humu. Hapo tubakwenda na nani mimic binafsi nasema afadhali zimwi likujualo mama bado...
  5. singsong

    Meya wa Ilala aikimbia kata ya Gongo la Mboto

    Hongereni wana ukawa kwa kazi kubwa mliyofanya Ukonga. Mmemkomesha msanii Jerry Slaa kwa kumweka chini ya mwenyekiti wa serikali ya mtaa toka Ukawa. Mh Slaa ajifunze kuwa siasa za sasa wa hawajali fedha ,wanakula na wanakumimina pia. Kesho fanyeni tena mtaa wa GONGOLAMBOTO na Ulongoni...
  6. singsong

    Jerry Slaa acha Usanii

    Hawa CCM mimi nawashangaa wanadhani watanzania wa leo ni sawa na wa mwaka 47. Eti anakuja kuzungumzia barabara ya Ukonga Moshibar leo mara ya tatu . Nani asiyejua kuwa unataka Ubunge ? Mbona mwaka jana walipotengeneza pale mwanzo hukuja? Acha kutaka vya dezo tunajua na tunatambua ujanja wako...
  7. singsong

    Machinga msikumbali Jerry slaa

    Mimi nawaomba wafanya biashara ndogondogo Gongolamboto tuungeni mkono msimkubali diwani wenu maana ni mtu anayependa fedha kama alivyotudhulumu hapa machinga complex tunahakikisha tunamburuza kotini.
  8. singsong

    Uwanja wa Yanga: Ilala yamtwisha mzigo Rais

    Mmmm! Yanga toeni kitu kidogo kwa hako kabwana mdogo atawapa wala kwa rais isingefika.huyo bila hicho mnajisumbua
  9. singsong

    Jerry slaa mmmh

    Mimi sipo Chakula !!!! kwani kuna shida gani mbona mna wivu.kwani mmekatazwa?
  10. singsong

    Mwigulu Nchemba Utawaua bure Maafisa ktk Halmashauri mbalimbali hapa Nchini

    Jemeni hamjui kuwa jamaa anataka urais ndio mpango wenyewe huo
  11. singsong

    Wanawake wengi wamefanya vizuri hadi sana

    Nilikuwa najaribu kufanya utafiti mdogo kw wamama walio na nafasi na kukuta wamejitahidi sana. Mfano : - Mdee amechakarika - Naibu waziri Anjela - Mwaiposa Ukonga pamoja na changamoto katika jimbo lake kachacharika sana. - Asunta Msama naye kapigana Hiyo ni mifano michache sana Ukweli...
  12. singsong

    Kinana aendelea na ziara mkoa wa Pwani, leo alikuwa jimbo la Kibaha vijijini

    Wewe ita majina yote lakini mtaniambia 2015 ccm itapeta.
  13. singsong

    Ukonga tusidanganyike Jerry Slaa hafai

    Alikaa miaka 5 diwani ukonga na alikuwa naibu meya tulikuwa tunaogelea kwenye matope kuanzia ukonga afadhani sasa mbunge kaipigania inapitika kwenye mkutano wa moshibar mbunge aliahidi kuweka lami .Kama hataweka lami naye baibai 2015
  14. singsong

    Mh Mwaiposa nakukubali

    Wewe acha viroba najua umeshakunywa asubuhi hii CDM mafisadi kwa lipi . Unaoneka uko kichama zaidi na siyo FACTS
  15. singsong

    Diwani wa Kivule unatuchanganya kuhusu barabara ya njia sita

    Hivi mzee hayo Nyansika unamzungumzia unajua shule yake. CCM wanampa uongozi hata kichaa
  16. singsong

    Mh Mwaiposa nakukubali

    Nimekuwa nafuatilia mikutano yako mingi nitaje michache ya hivi karibuni wa Kivule moshibar , Kitunda na Ukonga .Ni mara chache wabunge , madiwani wa CCM wanaruhusu maswali kwa wananchi katika mikutano ya hadhara lakini mikutano ya mwanamama huyu yote anatoa nafasi kubwa kwa wananchi kuuliza...
  17. singsong

    Mbunge yupi kupoteza jimbo lake 2015?

    Ontario la huyo mama yetu Mwaiposa wa UKONGA usiniambie sikuungi mkono .Huyo ni kipenzi chetu hakuna mbunge anayefanya kazi na wananchi kama yeye . Hatumwachi tutampigania. Kama hagombei tutamshawishi. Tena Acha upimbi wako usio na utafiti.
  18. singsong

    Mwaiposa tunakupongeza wanamsongola

    Mama yetu tunakupongeza kwa mambo mawili makubwa. 1. Kutulia u meme msongola na juzi tumeletewa nguzo nyingi sana eneo la mvuti. 2. Maji kisima Kirefu na matenki ya maji pamoja na kutuwekea umeme wa sola katika zahanati za mvuti na msongola. Umefanya mengi lkn hayo yalinikuna zaidi. Bado...
  19. singsong

    Weusi makwapani sio asili ni uchafu

    Swala la usafiri ni la kila mmoja tena wanaume ndo wachafu balaa. Kwapa jeusi tofauti na maeneo mengine ni uchafu. Sugua Kwapa kaushavizuri na Taylor kisha paka mafuta kama sehemu nyengine.
  20. singsong

    Wanawake kwenda haja ndogo kichakani

    Sijafurahi wazo lako lazima wewe utakuwa mdhalilishaji . Hivi katika akili yako umekosea topic kabisa acha upimbi bwana . Hivi kwa akili yako vinyu uliyoyafanya nayo binadamu bila kuja ni Mwanamke ua mwanaume huendi kuja saidia kwa kutaka? Je huyu binadam mwanamke akibanwa na haja na yupo...
Back
Top Bottom