Search results

  1. mazeea1

    Muhimbili madaktari watimuliwa

    wewe ***** kweli! unafikiri Intern hawezi kwenda kufanya internship botswana na akalipwa kama intern wa botswana? kwa taarifa yako hapa tanzania maintern sio wote raia wa tanzania, lakini wote wanalipwa sawa na serikali yetu, ndio utaatibu wa kila sehemu!
  2. mazeea1

    Serikali yaomba madaktari nje ya nchi, BILIONI 200 ZATENGWA KUWALIPA

    UZURI WA HAYA MAMBO HUA YANAKUJA KUONYESHA NI JINSI GANI SERIKALI YETU INATHAMINI WATU WAKE! YAANI KAMA WEWE NI MBONGO TU, BASI MBELE YA SERIKALI MAISHA YAKO HAYANA THAMANI! VIONGOZI WETU WAKO TAYARI KUTUMIA MABILIONI YA MAPESA KUWALIPA WATU WA NJE, ILA KUKUBALI KUWA WATAALAM WETU NA MAZINGIRA...
  3. mazeea1

    Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana...

    Story za vijiweni! WHERE IS THE EVIDENCE?
  4. mazeea1

    Mgomo wa Madaktari ni Uhaini

    Huna jipya! Tushayasikia hayo toka migomo iliyopita! Kuwa mbunifu basiiii!!!
  5. mazeea1

    Fresh news: Ukweli kuhusu mgomo wa madaktari - part II

    ****! Kaa, uangalie mgomo huu, ujifunze WEWE, sio ujaribu kuwafundisha wao (madaktari). Huu sio mchezo, sio mambo ya kufuata sheria zilizowekwa na huyo ambaye unamgogoro nae. Hii ni REVOLUTION!
  6. mazeea1

    Fresh news: Ukweli kuhusu mgomo wa madaktari - part II

    haina shida mkuu! everyone is entitled to his opinion even though he/she might be a fool! elewa kwanza system nzima ya afya, ngazi za wafanyakazi na kila ngazi inafanya kazi zipi..... Assistant Medical Officer ni mtu ambaye yuko traine kumassist Medical Officr (MO) ambaye ndio anajua jinsi ya...
  7. mazeea1

    Siungi mkono mgomo wa madaktari...

    hakuna lolote! serikali yetu inatumia silaha ya kuwa kama huwezi kugoma then hawana haja ya kukusikiliza! madaktari hawana option nyingine kwa sababu wanakabiliana na serikali hii ambayo inaweza kuexist kwa sababu ya watu wenye akili kama zako gimmy's! waache wagome, kwani watanznia wataofaidika...
  8. mazeea1

    No half Revolutions: Resignation or dissolution is not enough; The parliament should go too

    binadamu anayeishi kwa ajili ya leo hana mipango ya kesho wala keshokutwa, akipata kipande cha mkate leo, anatafuta pa kulala! je watoto wake pia watakuwa kama yeye kwa makosa yao au ya kwake yeye mzazi wa leo ambaye anangngania mkate wa leo tu?
  9. mazeea1

    Zitto aomba Bunge la dharura kumjadili Pinda

    tehetehe tehetehe! na wewe je hujihurumii?
  10. mazeea1

    Lowassa anaruhusiwa kusaini Petition ya Zitto?

    pole sana sana! CCM wote mafisadi? basi ukiwa nje ya nchiunaweza sema watanzania wote ni wezi! ufikirie kabla ya kuandika jaman! mambo hayani mazito... yanaeda mbali kuliko uanachama wa kisiasa, ni mambo ya kitaifa!
  11. mazeea1

    Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari

    a very very good question indeed!
  12. mazeea1

    Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari

    kazi kweli kweli! hivi mnafikiri kuwa madaktari wamezagaa zagaa mtaani wanatafuta ajira? guys, remember one thing, these are highly qualified proffessionals! tushukuru mungu safari hii kwenye mgomo wao hawana mpango wa kuondoka nchini waende nchi zingine kufanya kazi (eg. Rwanda tu wanapewa...
  13. mazeea1

    Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari

    huyu ni ***** tu! hata kingereza chake ni broken, anatuletea sisi watu wazima hapa! (huwezi kusema intellectual yao ukitumia simple grammar, aende akarudie madaftari yake ya shule ya msingi kabla ya majigambo na kingereza chake cha ugoko!)
  14. mazeea1

    Waziri Mkuu: Tumejiandaa vema kupambana na mgomo wa madaktari

    kama wana hizo pesa za kuwalipa hao madaktari wa Russia (ambao kipato chao ndani ya Russia ni kikubwa kuliko cha madaktari wa Tz, pia mazingira yao ya kazi ni bora zaidi.... Take it from me!) pamoja na hao wa Cuba, kwa nini wapoteze hizo pesa? kwa ajili ya thamani kubwa sana ya Mponda na Nkya...
  15. mazeea1

    Insights muhimu kuhusu mgomo wa madaktari leo 7/03/2012

    i deslike your post because it is a LIE! yaani watanzania kudanganya tunaona kudanganya ni kitu cha kawaida sana, hata kama kinaweza kumcost mtu maisha yake, alimradu tu wewe upate maslahi yako! mweeee! nakuonea huruma salas, people like you are worthless!! MGOMO UPO, nimeushuhudia mwenyewe leo...
  16. mazeea1

    Insights muhimu kuhusu mgomo wa madaktari leo 7/03/2012

    hiloooo!!! liongo hilooooo!!! hata haya hauna maskini wewe!!!
  17. mazeea1

    Mgomo wa madaktari - Updates

    huyo silent burner naona anaongea kama kasuku! hivi hujui kuwa nchi jirani ndio zinazoongoza kwa kutuibia madaktari wetu kwa sababu wao hawana madaktari wa kutosha? sasa hao wa kutoa huduma za dharula watoke wapi? na huko kwao atabaki nani wa kuwatibia wananchi wao? u r full of ****! mambo ya...
  18. mazeea1

    Mgomo wa madaktari - Updates

    huyo silent burner naona anaongea kama kasuku! hivi hujui kuwa nchi jirani ndio zinazoongoza kwa kutuibia madaktari wetu kwa sababu wao hawana madaktari wa kutosha? sasa hao wa kutoa huduma za dharula watoke wapi? na huko kwao atabaki nani wa kuwatibia wananchi wao? u r full of ****! mambo ya...
  19. mazeea1

    Mgomo wa madaktari - Updates

    shushushu mkubwa weee!! na ukome! nimetoka hospitali muhimbili muda sio mrefu, mgomo upo! nyangau weee!
  20. mazeea1

    Mgomo wa madaktari - Updates

    hivi wewe una akili timamu ama ndio makasuku mliogundua kutumia internet juzi juzi? kabla hujacomment kwenye mitandao ya kiutu uzima uwe unafanya research ya kuendeleza upeo wa akili yako! hivi unajua katiba imempa nani dhamana ya afya ya mtanzania? kasome katiba ndio uje useme nani anatakiwa...
Back
Top Bottom