Search results

  1. babatovu

    James Mbatia (NCCR-Mageuzi) na tukio la Lissu kupigwa risasi...

    In the left side of your brain there is nothing RIGHT, and in the right side of your brain there is nothing LEFT
  2. babatovu

    Hii ndiyo sababu kuu ya wana CHADEMA wengi kuhamia CCM

    Wanachagua au wanateua? Rejea uchaguzi wa marudio
  3. babatovu

    Serikali yatishia kuzifuta Taasisi za dini zinazokiuka misingi ya kuanzishwa kwake

    Mfalme Nebukadreza alijaribu kuwashurutisha wananchi wake waiabudu sanamu y'a dhahabu ambayo ilikuwa ndio mungu wake, lakini walikuwpo wale wale walomjua Mungu wa kweli wakagoma
  4. babatovu

    Rugemalira aibua mapya, anataka kumtaja mwizi wa fedha za Escrow

    Mpaka hapo kesi imeisha kufa kama ilivyo kufa ya Sepetunga
  5. babatovu

    Zitto Kabwe na Freeman Mbowe wakutana na kuzungumza kuhusu uchaguzi wa marudio

    Umoja ni nguvu, tuunganishe nguvu na tuseme hapana dhidi ya udhalimu wa ccm
  6. babatovu

    Makamu wa pili wa rais Zanzibar asema rais kuongezewa muda ni suala zuri na linazungumzika

    Hivi hawa viongozi wetu huwaga hawajifunzi kwa nchi nyingine? Kweli kipato huleta majivuno
  7. babatovu

    Spika Job Ndugai amefunguka na kusema atakwenda jijini Nairobi nchini Kenya kumuona Tundu Lissu

    Miongoni mwa watu wa mwanzo kabisa kwenda kumjulia hali TL speaker alipaswa awemo. Too late, aibu tupu, as a manager mfanyakazi wako anapata ajali mbaya anakimbizwa hospital ICU na yupo huko miezi mitatu eti umekosa hata siku moja ya kwenda kumjulia hali?
  8. babatovu

    Leo hii Wema Sepetu wa kumuita Makonda "Le Brother"?

    Duuuh....!!!! Full maigizo
  9. babatovu

    Ni udhaifu mkubwa sana Man Utd kupaki basi dakika 80 nzima.

    Nyie endeleeni kufurahia burudani sisi tunasonga mbele
  10. babatovu

    Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa wilaya ya Chato mkoani Geita

    Namimi nasubiri majibu
  11. babatovu

    Spika Ndugai: Wabunge fungukeni, acheni kuunga tu mkono kila kitu

    Siasa siasani, lengo ni kuwafunika hao walio funguka kabla ya hiyo kauli ya sub -woofe
  12. babatovu

    Ujenzi wa Uwanja wa Ndege Chato: Constructive criticism

    Huku kusini na hasa Mtwara, ni wazalishaji wakubwa wa zao la korosho ambalo linaliingizia Taifa fedha nyingi. Kuna barabara inayo unganisha Wilaya za Tandahimba, Newala na Masasi. Ni ukanda wa kiuchumi, barabara hii kipindi cha masika inapitika kwa shida sana. Kila mwaka wanadanganya kwenye...
  13. babatovu

    Lema: Bonde la uvuli wa mauti - Mkakati umepangwa nikamatwe na Jeshi la Polisi leo, maelekezo yameshatolewa

    Our Prophets will be killed, it is a part of fulfilling the book. But we have no fear for the atomic energy coz non of them can stop the time.
  14. babatovu

    MAJANGA: Tanzania kuilipa kampuni ya KONOIKE zaidi ya Sh. Bilioni 133 baada ya kushindwa kesi mahakamani!

    Sijui Accacia nao wataibukaje Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom