Search results

  1. joseph1989

    Ukraine amuomba Roman Abramovic aongoze mazungumzo ya Usuluhishi kati yake na Urusi

    Naona Ukraine hapa kamchagua Roman Abramovic sababu zinaiva na Putini. --- Russian billionaire businessman Roman Abramovich, who owns Premier League football club Chelsea, has accepted a Ukrainian request to help negotiate an end to the war in Ukraine, his spokesperson said. Word of...
  2. joseph1989

    Bomu la US lilolenga wanamgambo wa Taliban, laua wananchi zaidi ya 60

    Habari zilizofika hivi punde ni kwamba, shambulio la anga lililolenga wanamgambo wa Taliban laua raia wasio na hatia zaidi ya 60. ===== US strike targeting Taliban commander causes civilian casualties More than 60 civilians were killed or wounded in a US drone attack targeting a top Taliban...
  3. joseph1989

    IS: Mauaji ya Soleimani ni habari njema

    Source BBC swahili. Uamuzi wa rais Donald Trump wa kumuua Qasem Soleimani, Jenerali wa vikosi vya Qudsi vinavyoungwa mkono na Iran umesababisha msururu wa maafa ambayo yameanza kushuhudiwa. Kwanza ni vita ambavyo havikukamilishwa vya kupambana na makundi ya jihadi. Mara mauaji hayo...
  4. joseph1989

    IS wafurahi Soleimani

    Baba mlezi wa IS awasaidia watoto zake.Alafu kuna watu wanadai US anapambana na Ugaidi.RIP Soleimani. ............................ Uamuzi wa rais Donald Trump wa kumuua Qasem Soleimani, Jenerali wa vikosi vya Qudsi vinavyoungwa mkono na Iran umesababisha msururu wa maafa ambayo yameanza...
  5. joseph1989

    Diamond Platnumz achaguliwa kutumbuiza katika Tuzo za CAF na Tuzo za Kituo cha Nigeria Sound City

    Diamond ana perform ktk hizi tuzo za CAF kwa mara ya tatu. ---------------------------- Diamond Platnumz aki-perform kwenye CAF
  6. joseph1989

    Wasanii wa bongo wapeni haki zao ma-producers kabla hawajafa

    Wasanii wakibongo wengi wamekuwa mstari wa mbele sana kulilia haki zao kuwa wanaibiwa (kweli wanaibiwa sana),lakini hivi nyinyi wenyewe hamuoni mnavyowaibia na kuwadhulumu maproducer.Ukienda mbele mtu kama Swizz ,Dr dree mpaka kesho bado wanakula hela ya nyimbo walizo zalisha lkn kwa bongo...
  7. joseph1989

    Kuna uwezekano Fiesta ikasogezwa mbele

    Hivi jamani mbona katika tafuta tafuta yangu, sijaona hata picha za moshi za hilo jengo likiungua, pale si kuna CCTV camera (refer tukio la makonda) , ila nina taarifa sio rasmi lkn inasemekana lile tukio limetengenezwa ili kusogeza mbele tarehe ya tukio la Fiesta
  8. joseph1989

    HIVI TCU WAMETANUA GOLI

    Hivi na mm naomba mnisaidie, Mdogo wangu ana three ya14 ana DEE, hajafikisha point 4 lkn kachaguliwa bsc in accountancy CBE vipi TCU wameshusha pointi.Mpaka sasa siamini nipo safarini hebu nisaidieni
  9. joseph1989

    NEW SONG; Utaniua by Jux

    Dah bonge moja la nyimbo, sometime hili beef la watu wawili (kiba na mondi) linatuharibia gemu watangazaji na radio nao wamekuwa mashabiki, mpaka nyimbo kama hizi zinakosa airtime
  10. joseph1989

    Msaada version inayo-support MPLS

    Nilikuwa najaribu kuconfigure MPLS network L3 kwa kutumia image ambaye nairun katika GNS3 lakini Kuna baadhi ya command zina kataa, kwa hiyo naomba mnisaidie kama Kuna version ya image nyingine ambaye ina support MPLS, naomba mnisaidie
  11. joseph1989

    Msaada Juniper

    Nilikuwa najaribu kuconfigure MPLS network L3 kwa kutumia image ambaye nairun katika GNS3 lakini Kuna baadhi ya command zina kataa, kwa hiyo naomba mnisaidie kama Kuna version ya image nyingine ambaye ina support MPLS, naomba mnisaidie
  12. joseph1989

    Natafuta nafasi ya internship IP,MPLS,IP/MPLS ENGINEER

    -LAN switching configuration and troubleshooting. -Configuration and troubleshooting of routing protocols (Static route, RIP, EIGRP, OSPF, ISIS, and BGP). -NAT configuration and troubleshooting (Dynamic and Static). - Policy Based Routing (PBR) configuration and troubleshooting. -Routing...
  13. joseph1989

    IP,IP/MPLS and Network enginer

    Nina rafiki yangu ,anatafuta kazi ya kuvolunteer ktk maswala ya network.Ingawa hana certificate kama CCNA,CCNP au CCIE ,lkn yupo vizuri sana hasa upande wa configuration kwa kutumia network simulator kama packet tracer na GNS3 . - LAN switching configuration and troubleshooting. -Configuration...
Back
Top Bottom