Search results

  1. mwanzo wetu

    Jimbo la Buhigwe linaliwa kama mchwa

    Habari wakuu,. Poleni na majukumu , Nianze Kwa kusema kuwa Jimbo la Buhigwe ni Moja ya Jimbo ambalo linapokea Miradi mingi ya maendelo Kuliko wilaya nyingi za hapa Tanzania, na Hii ni kutokana na Jimbo Hilo kuwa eneo analozaliwa makamu wa Rais hivyo Hii imechangia sana kupata maendeleo haraka...
  2. mwanzo wetu

    Huu ndio Usalama wa mwanaume

    Habari vijana wenzangu pamoja na wanajukwaa Kwa ujumla.. Na tumai mko salama wote , Jambo kuu ni kwa wapenda sketi hasa vijana. Vijana Sasa hivi tunakumbwa na magonjwa mengi hasa yanayotokana na kufanya ngongo isiyo salama. Kuna Kila sababu wanaume kujali sana afya zetu Ili tudumu Kwa mda...
  3. mwanzo wetu

    Hajui private love Sasa ni msala.

    Habari wakuu, ndugu zangu naombeni ushauri, mm Kuna familia tunaishinao kama ndugu ila kimsingi siyo ndugu zangu just kukutana katika jumuiya za kanisani kusali, na nimekuwa ni kiwatembelea kwao. Katika familia hiyo kuna Binti wawili, tumekaa na hii familia kama miaka minne na nikiwa naogopa...
  4. mwanzo wetu

    Sasa mambo shwari

    Habari wanajukwaa, poleni na heka heka za kusaka shekeli. Ndugu zangu na wanafamilia katika jukwaa hili nipende kuwashukuru Wote mlionitia moyo kufuatia changamoto ya Fangasi waliokuwa wananisumbua, Kuna ambao mlinifuata inbox kunipa ushauri mbalikiwe sana, na wengine waliniambia dawa mbali...
  5. mwanzo wetu

    Miezi sita sasa natumia dawa za fangas ila siponi

    Ndugu zangu habari za Wakati, poleni na majukumu ya kujenga Nchi n.k. Mimi na tatizo naombeni msaada hasa Kwa wale wajuzi wa mambo. Mwaka jana nilifanya mapenzi na mdada mmoja, Baada ya kuwekeana vidudu nilianza kuwashwa sana uumeni na ktk pumbu zangu, Ile hali iliendelea Kwa mwaka mzima na mm...
  6. mwanzo wetu

    Nasoneshwa na Ugonjwa nisioujua

    Ndugu zanguni naombeni ushauri wa kitalamu... Mimi namawazo sana nikipima sina UTI ila nikifanya Mapenzi kwa mwanamke yoyote nikimaliza tendo lazima mwanamke alalmike kuumia tumboni au maumivu, huu ni mwezi wa sita sasa na jikuta nawaza sana tatizo itakuwa nini? Naombeni msaada.
  7. mwanzo wetu

    Jambo hili nililofanya linaweza kunisababishia maambukizi ya HIV?

    Ndugu zanguni habari, Mimi nimekutana na mdada ila ktk purukushani nikawa namnyonya maziwa, gafla akaniambia ameathirika na hapo nilikuwa sijamfanya ila nimemnyonya na kumshika ukeni kwa mkono means na vidole vimeingia kama vitatu ktk kumshikashika ndio akaniambia hivo kuwa ameathirika...
  8. mwanzo wetu

    Vita ya ujirani wa mapenzi

    Wakuu habari. Naombeni ushauri ndugu zangu, mimi na familia fulani tuko marafiki wa muda mrefu, kuanzia baba wafamilia husika na vijana wa familia Hiyo tunaishi kama ndugu. Kijana mmoja wa familia Hiyo ana mke na mke Huyo amefanikiwa kuzaa binti, Tatizo limeanzia hapa saaa, Huyo binti...
  9. mwanzo wetu

    Nina siku moja tangu nimemaliza dawa za UTI naweza kunywa pombe?

    Mimi na siku moja nimemaliza dozi za UTI , sasa leo nimejikuta na kunywa pombe ,naomben ushauri je nimekata dozi , na weza kuanza upya? Nawaza sana naomben ushauri ndugu zangu.
  10. mwanzo wetu

    Je, ni kawaida kufanya mapenzi bila kufika kileleni au ni tatizo?

    Waheshimiwa habarini za wakati, Naomba kujua huenda ni kawaida au siyo Hali ya kawaida. Mimi napoanza tendo la ndoa naanza kwa furaha ila nikikojoa Mara moja kimsingi huwa sijui kuunga huwa lazima nipumzike walau dakika 15 kama munavyojua penzi ni sitarehe pia ni afya. Sasa shida yangu...
  11. mwanzo wetu

    Msaada: Mwanamke wangu anaingia hedhi kwa siku 7 au 8

    Habari wakuu, Mimi nina mwanamke ambae nahisi moyoni anafaa kuanza familia na mimi. Ila anatatizo la kuingia blidi siku 7 Hadi nane je! Huu ni ugonjwa au nini? Maana mm nahis tofauti labuda huenda anaumwa magonjwa mengine, naombeni ushauli wa kitalamu je hili swala likoje? Nawasilisha wakuu.
  12. mwanzo wetu

    Kuna ukweli gani juu ya mbegu za kiume kitalamu

    Habari watalamu.... Mm naomba ufahamu ktk hili ,hivi mbegu za kiume hata tone zinafaa kumpa mimba mwanamke? Au nikiasi gani Cha mbegu kinatosha kubebesha mimba, je Ni mbegu zile za kwanza au hata zinazokuja nyuma baabada ya zile za kwanza kufyatuka hizi za nwisho mwisho zinazoishirizia ukiingiza...
  13. mwanzo wetu

    Wanawake jihadharini Mwanaume hajaribiwi

    Wakuu tumaini langu najua mko wazima wa afya na kwa wagonjwa Mungu awape ahueni ili muwe wazima hatimae muendelee kujitafutia Ridhiki. Niende moja kwa moja katika mada hii ambayo nimeona kwa wadada ili wajifunze Jambo pengine. Wadada msipende kuwajaribu wanaume wakati vyumba vya mioyo yenu...
  14. mwanzo wetu

    Kuchumbia kunanipa changamoto sana kwa wakati huu

    Habari wakuu.. Mimi ninakutana na changamoto kubwa Sana ktk swala la kutongoza, ..Kama munavyojua shida iliyoko mtaani hasa kwa wale tuliomaliza vyuo ajira ikawa shida kimsingi tunaendelea kuparangana mtaani kusaka mkate wa kila siku vurugu mbalimbali na kimsingi wengi wetu maisha hayajakaa...
  15. mwanzo wetu

    Kumbe ukifikia kiwango hiki ndio unaitwa Malaya?

    Habari wakuu pole na majukumu ya uzalishaji. Leo Mimi nimeshangaa Sana kukutana na wadada wa wili, mmoja nimemtafuna saa nne asubuhi na mwingine akaja Geto pia saa saba mchana na wote nikawatafuna kwa kiwango sahihi na ni kawa na perfomance nzuri tu.. hivi sitayari kiwango hiki ni chakuitwa...
  16. mwanzo wetu

    Nimekutana na Serengeti National Park

    Habari wakuu, Mimi toka nifanye mapenzi leo nimekutana na kitu cha tofauti msitu siyo msitu ila wenye kivuli cha tofauti. Kuna ka mdada na siku kama nne na katongoza, kamemaliza form six mwaka Jana ila Bado kapo hm tu na ni majirani na niliko panga nikomaa nako sana ila kakawa kanadengua muno...
  17. mwanzo wetu

    Mama ni mama, vyovyote alivyo hapaswi kusemwa vibaya za ya kumuombea

    Habari za wakati wanafamilia. Nianze kwa kusema kuwa ni mda wa kukaa pamoja Kama Taifa bila kuangalia itikadi zetu za vyama. Niwapongeze pia wapinzani kwa asilimia 💯 wameonesha ustarabu mzuri kwa kuwa wakimya najua wamezingatia kauli mbiu ya mama ni mama hivyo Mungu awasaidie waendele kutulia...
  18. mwanzo wetu

    Kakimbia bila viatu kwa kuogopa kupima

    Habari wataalamu, na tumaini ni wazima wa afya. Leo nimeona kituko na nilikuwa sijajua Kama wadada au watu ni waoga wakujua afya za au kupima HIV. Kimsingi kujuana afya wapenzi inapendeza Sana, hasa mda huu ambapo vijana Dunia imetuamini sana hivyo lazima na sisi tujiamin kwa kila Hali na njia...
  19. mwanzo wetu

    Jimbo la Buhigwe lageuka kitendawili baada ya Dkt. Philip Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Nianze moja kwa moja kusema kuwa siasa Sasa imegeuka kuwa bidhaa Bora na biashara Bora katika maisha ya viongozi wengi hapa duniani hasa Tanzania Bila kuwaza kuwa watanzania wanahitaji maendeleo kupitia wawakilishi wao ila zaidi kujineemesha pekee. Kufuatia mh. Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa...
  20. mwanzo wetu

    Tonge dogo laelekea kuchachisha tonge kubwa

    Jaman habari za wakati, Kwanza wote polen na kuondokewa na kiongozi wa Kitaifa. Mimi Nina mchumba kabisa kabisa. Ila wandugu yamenikuta leo. Nimevusha kadogodogo furani na nikafanikiwa kukimbiza mwenge mbio moja nikiwa ktk hatua nyingine ya kuwasha kiki ili niondoke nje ya nchi, gafla mlango wa...
Back
Top Bottom