Kwa upande wangu, najuta kutozingatia uhalisia wa mahitaji Vs. Ujenzi wenyewe. Naomba kutoa mifano:
1. Umuhimu wa swimming pool Vs. Uhalisia. Vilinganishi vya uhalisia:
a. Utitiri wa swimming pools, at your own choice,
b. Privacy, swimming pools za nyumbani ni changamoto hasa kama una familia...
Nafikiri ni kama seasons nne au zaidi. The good thing wameigiza tukio ambalo lilitokea kweli. Kingine ni element ya ufafanuzi kuhusu kinu cha nuclear kinavyofanya kazi.
Ili kulielewa suala hili, ni vyema ukachagua approaches mbili (labda mjongeo wa kifikra):
1. Haki za wanyama.
2. Haki za binadamu.
Ukweli ni kwamba msingi wa Sheria ni mahusiano baina ya mtu na mtu. Mtu anaweza kuwa mtu halisi au mtu kisheria: mfano: kampuni nk. Mtu anaweza pia kumaanisha...
Usijichoshe baba. Issue ni: kweli kwa umri wako na matukio uliyopitia unaweza bado kuwa ni mitazamo ya ki sirisiri kwenye maandiko yako?
Hivi kweli bado hujafahamu kwamba unaeneza chuki?
Ishi uzee mwema. Wape watu faraja badala ya chuki.
Baba, soma tena post zako. Ukizisoma nakushauri uchukulie wewe si Mohamed Said chukulia wewe ndio George Dalali.
Utapata tunachokisema. Aidha labda kwa bahati mbaya au kwa kukusudia, binafsi nakuona unalengo la kueneza chuki.
Mzee wangu,
Unajua ni kwanini hata tukilalamikia mchanganyiko wa mitazamo yako ya kidini kwenye maandishi yako bado tunayasoma?
1. Tunajipa kazi ambayo wewe ulitakiwa kuipunguza kwa kusimamia facts tu. Kutenganisha emotions na facts.
Sehemu ya maandishi yako ni matokeo ya utafiti. Kinacho...
Uamuzi huu unahusu admission and authenticity of electronic evidence.
Ubora wa uamuzi huu:
1. His Lordship Mwambegele J amejitahidi mno. Uamuzi umekuwa very authoritative kutokana na Utafiti mkubwa alio ufanya yeye mwenyewe kama Jaji na Mahakama.
No wonder, alirusha ka kijembe kadogo kwa...
Tafadhali ridhia tuvuruge kidogo break yako kidogo:
Madhara ya makosa ya mchapaji wa hukumu and Mahakama.
Pata saga ya story:
Mh Judge wa High Court aliamua kwamba Appellant hana hatia na anatakiwa kuachiwa huru.
Appellant hakuachiwa huru na aliendelea kutumikia kifungo. Sababu?
(let the...
Binafsi the Court imenichanganya kwenye uamuzi huu.
Ukiusoma uamuzi Appellant alifile petition of Appeal High Court dhidi ya uamuzi wa Assistant Registrar of title of Dodoma (rejea quotation ya petition of appeal).
Katika ground za Appeal alieleza kwamba Registrar huyo hakuzingatia kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.