Search results

  1. Jacbest

    The donkey theory- very interesting

    Theory nzuri tu !!!!!!!!!!!!!!!!!! kwa wote.
  2. Jacbest

    Kuna Haja Gani Ya Mtu Kudanganya Umri?

    Ni hulka ya mtu tu. Wengi hawataki kuonekana wazee ili wasikose starehe za ujanani. Hawajui kuwa ''Old is Gold''. Dawa yao ni kumwabudu Mungu tu.
  3. Jacbest

    Nawatafuta Genius, WAPO?

    Hongera, upo juu!
  4. Jacbest

    Nawatafuta Genius, WAPO?

    Kuna kamchezo kazuri hapo. Awezae kumaliza chini ya dakika 3 ana IQ ya juuuuu! Jaribuni!!!!!!!!
  5. Jacbest

    Mke anakwepa sana tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Fanya urafiki kwanza na mkeo. Upendo wa dhati utakuja tu utakapo focus kwenye mambo madogodogo yanayomhusu, km kumpa pole , kusema asante, kumtoa vichunusi, kumletee vizawadi na kuwa involved ktk mambo yake. Usimwone kama chombo cha starehe bali mwenzi wako. Baadae utashangaa atakavyobadilika !
  6. Jacbest

    Picha yangu ya harusi

    Mnapendesa saaana, Hongereni saana. Mungu awape maisha mazuri.
  7. Jacbest

    April Fools

    KWANI UJINGA NI NINI? :rolleyes:
  8. Jacbest

    ooooh my ni ngumu kuamini lakini.....

    Ni vema kumwabudu Mungu ili kukwepa tamaa za Ibilisi kwani bila Mungu hata ukipata mademu woooooote hutoridhika!
  9. Jacbest

    Jamani ZAIN challenge!

    Naona Tuwe tunajitoa mapemaaa ili kukwepa hii aibu. Inatoa picha mbaya kwa Taifa kwa ujumla. Wanapoenda intaneti waangalie websites za elimu na general knowledge, sio kutizama picha za NGO + NO!!!!!!!!
  10. Jacbest

    Jamani ZAIN challenge!

    Wanajisomea magazeti ya udaku ndo maana wana knowledge za kiu:wink:dakudaku! Zero kabisa!!!!!
  11. Jacbest

    Mpenzi wako akifanya kama hivi utamuuliza? Utaanzaje kumuuliza?

    Mwache for good, ana tamaa, jitafutie mwingine.
  12. Jacbest

    Naomba unitumie vocha ya voda 500

    Nibeep, nitakutumia. Mpende jirani yako kama...........
  13. Jacbest

    Kibaka anapochomwa moto - VIDEO

    Du! Polisi hawezi kumwokoa kibaka au naye alishiriki?
Back
Top Bottom