Search results

  1. blakafro

    Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

    Website haipatikani boss, Hivi mnatoa huduma ya Transportion from Japan to Tanzania hata kama nimenunua spare parts kwa supplier mwingine? If yes gharama zenu mnacharge vipi?
  2. blakafro

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Redmi Note 12 Pro+ Color: Blue RAM: 8GB Storage: 256GB Network: 5G Price: Tsh 750,000 Location: Kijitonyama Brand ipo sealed kabisa Whatsapp: 0714812151
  3. blakafro

    Phone4Sale Brand New Redmi Note 12 Pro+ 5G

    Redmi Note 12 Pro+ Color: Blue RAM: 8GB Storage: 256GB Network: 5G Price: Tsh 750,000 Location: Kijitonyama Brand ipo sealed kabisa Whatsapp: 0714812151
  4. blakafro

    Site ya kudownload movies

    Karibu sana mkuu
  5. blakafro

    Ombi kwa Serikali: We need Paypal

    Sio viongozi tu hata baadhi ya watendaji wao ni wazee na hawana customer care nzuri hata kidogo ndio maana shirika lipo lipo tu. Wiki iliyopita kwenye moja ya branch yao hapa hapa Dar nimeshangaa mteja nagombezwa na Bi Mkubwa mmoja hivi sijui ndio cashier wao ili nilipe line haraka ili tu eti...
  6. blakafro

    Ni wakati wa kuyashitaki makampuni manne ya simu

    Ila swala la gharama za vishurushi hawajaligusia kabisa.
  7. blakafro

    Ni wakati wa kuyashitaki makampuni manne ya simu

    Tunasubiri kauli ya Waziri, alituambia jana mwisho wa Mwezi Tarehe 28 Feb watatoa kauli ila kimya kimetawala.
  8. blakafro

    Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Mkuu Behaviourist umeona chuRa hiyo 😊😊
  9. blakafro

    Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?

    Kama Dini inakuruhusu Fuga Nguruwe "KIBIASHARA" bwashe hutojuta.
  10. blakafro

    Vunja Bei wameanza utapeli

    Siku nenda Woolworths hutojuta mkuu 😊. Utapata customer care nzuri toka kwa totoz pia utapata vitu very quality.
  11. blakafro

    Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

    Itafute mkuu hutojuta kabisa.
  12. blakafro

    Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

    Lang Mei bonge moja la movie aise 😊😊
  13. blakafro

    Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

    Labda alimaanisha hiyo part 2 mkuu. Tafuta Annabelle nazo zipo 3 hutojuta. Annabelle 2014. Annabelle: Creation 2017. Annabelle Comes Home 2019. Ngoja nikupe plot kidogo ya hiyo Annabelle Comes Home ni inamhusu mtoto wa Edd na Lloraine ambapo anajikuta matatizoni baada wazazi wake kusafiri...
  14. blakafro

    Kuna movie inayotisha zaidi ya 'The Conjuring'?

    Inatoka mwezi wa 5 mkuu labda kama ulimaanisha Conjuring 2 ya bwana "Eddy" 😊😊
  15. blakafro

    TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    Mweeh Kijazi wa watu. Moja ya viongozi niliokuwa nawaelewa. Kwa kweli hali inatisha sana. RIP.
  16. blakafro

    TCRA yazipiga faini ya Sh38.1 bilioni kampuni 6 za simu kwa kosa la kutofikia viwango vya ubora wa huduma

    Mmmmh sio Tanzania hii. Labda itakuwa nchi ya ahadi ndio tutapata vifurushi hivyo.
  17. blakafro

    Mtandao gani nitapata GB 1 kwa Sh. 1000 kwa wiki?

    Zamani ilikua 2GB kwa buku ikaenda wee wakaona tunafaidi wakashusha ikawa 1GB imeenda bado wameona tunafaidi sana sasa imekua MB500 kwa buku. Mshahara haujapanda mwaka wa sita huu huku gharama za maisha zinapanda daah. Manung'uniko yanaishia moyoni wa kutusikiliza hayupo.
Back
Top Bottom