Search results

  1. Mchapaji

    Ni rekodi gani iliyompandisha chati Kikwete kiasi kile mwaka 2005?

    Mnaikumbuka sera ya; HARI MPYA, NGUVU MPYA na KASI MPYA? Na Je, Swala la Ajira Nyingi kwa Vijana?. Na ss, juzi tu serikali imeruhusu wananchi wa Afrika Mashariki kuja kufanya kazi ktk vyuo vya binafsi.... Kazi ipo. Vipi, sera imekidhi haja ya Wa-Tz wengi?
  2. Mchapaji

    Fahamu kuhusu Mnyama Panya

    Rats are very easy to breed. In fact, many people end up with unplanned baby rats! Rats can reach sexual maturity at 5 weeks of age, so the sexes should be separated prior to this age. Rats do not recognize incest, so brothers and sisters and even mothers and sons must be separated. Rats do not...
  3. Mchapaji

    Fahamu kuhusu Mnyama Panya

    Panya wana sifa ya kuzaliana haraka. Katika miezi 18, jike huzaa watoto wanaofikia milioni moja (1). Kazi kwelikweli. ==================================== Kuna aina tatu za panya nazo ni: 1. Panya aina ya kwanza ni wale ambao wenyewe wakiwa ndani ya nyumba huwa wanakula vyakula mbalimbali...
  4. Mchapaji

    Kifo cha kampuni ya mabasi SCANDINAVIA EXPRESS

    Walianza kwa kufunga ofisi zao za Kampala, wakaja za Nairobi then wakahamia za TZ huko Dodoma, Morogoro na Mbeya juzi juzi na final Zambia. Wale wa Dodoma wanadai kampuni imeuzwa na mnunuzi ana mpango wa kubadili jina... Hivyi ni kweli? dah! Nitayamiss sana mabasi yale coz ulikuwa usafiri...
  5. Mchapaji

    JK anasa Marekani!!

    Ha ha haaaaaaaaa! NO HURRY IN AFRICA....
  6. Mchapaji

    Je uliya jua haya kuhusu Clouds Media?

    Ha ha haaaaaaaaaaaaa! Usistern du na ubrazamen tuuuuuuuuuuuu....
  7. Mchapaji

    Adhabu ya kifo ifutwe TZ?

    Mhh! Kazi ipo then... Usemayo ni sahihi mkuu
  8. Mchapaji

    JK anasa Marekani!!

    Duh! hii kali...
  9. Mchapaji

    JK anasa Marekani!!

    Siamini kama hiyo ndiyo sababu kwa sababu kwanza ana ndege yake na pili Ice land iko mbali sana na Marekani. Msimamo ni ule ule, labda ana deal lengine... Huenda anataka kuenda nchi za ulaya juu kwa juu ili hali huku JAM IMEKUWA NDY ORDER OF THE DAY...
  10. Mchapaji

    Kwa nini lakini kampuni ya Coka Cola...!!!?

    Wadau, ni matumaini yangu mnaendelea vyema na majukumu. Nachukuwa nafasi hii kueleza kile kinachonishangaza. Hivyi karibuni kiwanda cha Coka kupitia vinywaji vyake walitangaza zawadi mbalimbali za kujishindia pale utakapotumia moja ya vinywaji vyake... Cha ajabu namalizia kreti ya tatu hapa...
  11. Mchapaji

    Clouds FM yaishambulia JamiiForums

    Aaah! mkuu wale Clouds huwa wanachukuwa tu... ukiangalia wafanyakazi wao wote ni blaa blaa tu... As long unajua kubwabwaja basi... Sidhani kama wamesomea uandishi wa habari... Ndy maana kina Fina Mango waliamua kutimua coz hamna kitu pale... Hata Masoud Jipanya alishawahi kusema pale aliingia...
  12. Mchapaji

    Sophia Simba: Sigombei ng'o

    Wadau, jana nilikuwa nikisikiliza kipindi cha JAHAZI, Clouds Fm na ndipo nikapata nafasi ya kumsikia Sophia Simba akihojiwa na Kibonde kuhusu swala la yeye kugombea mwaka huu.... Mama huyo alisema, hatagombea ubunge sehemu yoyote ile ila atakuwa mpiga debe tu kwa wanawake watakaojitokeza...
  13. Mchapaji

    Did U know...!!?

    Aiseeeee.....
  14. Mchapaji

    How to make love

    Ha ha haaaa
  15. Mchapaji

    Kuwaza ngono kunapunguza miaka?

    Aisee... safi sana. Kuhusu ugonjwa ndiyo anavyodai Dr. yule...
  16. Mchapaji

    How to make love

    HA HA HAaaa
  17. Mchapaji

    Kuwaza ngono kunapunguza miaka?

    [/COLOR] Anapona na nini?
  18. Mchapaji

    Kuwaza ngono kunapunguza miaka?

    Za asubuhi wadau? Jana nilikuwa naangalia marudio ya kipindi cha Dr. Ndodi kinachorushwa na Star Tv... Katika mada alizozungumzia, moja wapo ilikuwa kula vyakula vilivyokobolewa vinapunguza akili. LAKINI topic iliyonigusa ni ile ya kufikiria ngono kila wakati anadai kunapunguza maisha na pia...
  19. Mchapaji

    Wanafunzi IFM wanatarajiwa kuandamana leo

    Thursday, March 25, 2010 10:52 AM IMEDAIWA kuwa zaidi ya wanafunzi 300 wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), leo wamepanga kuandamana kutoka chuoni hapo hadi Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HELSB) kufikisha kilio chao cha kupandishiwa ada.Hatua hiyo imefikiwa na wanafunzi hao baada...
Back
Top Bottom