Search results

  1. M

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Asante, ila hii nilishajaribu bila mafanikio.
  2. M

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Thanks Preta, nimeigoogle nimepata maelezo yake, nitaitafuta next week nikija jijini maana huku nilipo hamna pharmacy kubwa. Ubarikiwe. Hope itanisaidia
  3. M

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Asante, naomba maelezo zaidi, huomukoko wa ugali unautumia vipi?
  4. M

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Shukrani, ila sidhani kama hii teknolojia imeshaingia huku kwetu. nitajaribu kufatilia
  5. M

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Asante, hii nilishajaribu bila mafanikio
  6. M

    Kunuka kikwapa: Fahamu chanzo, tiba na namna ya kuepuka tatizo

    Heshima kwenu wana JF. naombeni msaada wa mawazo jinsi gani nitaweza kumaliza tatizo la jasho. mimi ninatokwa na jasho jingi sana makwapani yaani hadi nakosa raha. Sina uhuru mwenzenu ikiwa ni jua, baridi, asubuhi au usiku ni jasho tuu..Kazini ndio kabisa yani lazima nivae dark colours kuficha...
  7. M

    mshukuru MUNGU kwa kila jambo:

    ha ha kazi sana
  8. M

    End of the World: Nostradamus 2012, December 21 - Mayan Prophecy

    mh, sidhani, mambo kama haya yalishawahi kusemwa sana huko nyuma lakini hayajatokea. na kwa imani yangu mimi hakuna binadamu anaeijua siku ya mwisho isipokuwa Mola pekee, hizo ni propaganda!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom