Search results

  1. Escardo-bird

    Tupeane Taarifa benki zinazosuasua ili tutoe fedha zetu kabla hazijatangazwa mfilisi

    Serikali inatakiwa iangalie sana hili vuguvugu la mabank uchumi wa nchi yoyote unaendeshwa na banks sasa naona hapa watu wanataka waaminishwe kuwa tz ni banks mbili tuu ndo Zina faa nyingine hazifai it's not right kabisa serikali isipo angalia vizuri tutapata shida kiuchumi hata hizo banks...
  2. Escardo-bird

    Hili tangazo la NMB la Magufuli lipigwe stop

    Kama bank from the start ilikuwa na support kutoka serikalini why not isiwe na faida na network kubwa? imagine taasisi zote za serikali zina account hapo pamoja na watumishi wote accounts zao za mishahara zipo hapo na mikopo yao pia, bank ina cheap deposits kutoka serikalini ndo mana mikopo yake...
  3. Escardo-bird

    Series (Special thread)

    Aiseeeeeeee 24 legacy ni noumeer, nimecheki hii episode ya kwanza kwakweli hawajakosea dogo Carter yupo vizuriiiii
  4. Escardo-bird

    Series (Special thread)

    Jamani msaada jinsi yaku download maana siku hizi kila napotaka kudownload naambiwa ni hide my IP address natumia utorrent na site nazopendelea ni the pirate Bay, kiackass Sema hii nayo siku hizi Naona haipo updated Sijui ishafungwa, Kuna eztv etc Yaani zote hizi nikiingia ni hide your IP...
  5. Escardo-bird

    Yaliyojiri Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam: Maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara

    Hawa nao wanacheza ngoma zakitamaduni wakati wamevaa mawigi
  6. Escardo-bird

    Why TPDF should be prepared to replace KDF in Juba

    Washkuru wamepata excuse yakutoa majeshi yao huko coz walikuwa wameshindwa game kitambo tuu wakawa hawajui watoke vipi.
  7. Escardo-bird

    Makapuku Forum

    Waacheni watoto wadogo waje jf msiwazuie maana smartphones nao wanazo.
  8. Escardo-bird

    Tofauti 10 kati ya wanawake wanene na vimbaumbau hizi hapa

    Ukitaka kujua maana ya IQ ndogo refer uelewa wako wa kupambanua mambo ndo utajua maana yake.Coz post yangu sijaongelea habari za kuishi uswahilini lakini ushaziingiza.
  9. Escardo-bird

    Tofauti 10 kati ya wanawake wanene na vimbaumbau hizi hapa

    Wanaume wanaopenda vimodal wengi wao ni wasomi wenye IQ kubwa na wapo updated(siyo washamba) wale wanaopenda vibonge ni wale wa uswahili uswahili.
  10. Escardo-bird

    Twiga albino waonekana Hifadhi ya Tarangire, Tanzania

    Yaani huyo mzungu ndo kaharibu kabisaaa kumtangaza. Masikini twiga wa watu hamalizi mwaka hajakwea pipa.
  11. Escardo-bird

    Best of cold play

    In my place
  12. Escardo-bird

    Hapa kazi tu: Tutalia na kusaga meno, a short time to come

    Si mlimchagua wenyewe tena kwa demokrasia. HAPA KAZI TUU
  13. Escardo-bird

    Ni Nyimbo ipi Bora Zaidi toka Kwa Yvonne Chakachaka

    Mi naipenda "Let him go" Angalizo: kama wewe ni mchepuko kwa mme wa mtu basi usiusikilize coz maneno yake yanachoma sana
  14. Escardo-bird

    Huwezi kufuta uchaguzi Zanzibar ukaacha Bara

    Ni nyie tena mnaukataa muungano wa ile katiba yenu pendwa:sly:
  15. Escardo-bird

    Simshauri mtu yeyote kuweka fedha benki kwa Tanzania ya sasa, ni hasara sana!

    Hakupata elimu tosha ya akaunti gani afungue. Kuna akaunti za watoto huwa hazina charges acheni kudanganyana huko mtaani.
  16. Escardo-bird

    Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

    Bora sisi tumepotea lakini tutapata njia oct 24. Kuliko nyie mlio laaniwa na vizazi vyenu vyoooote hata hamjielewi
  17. Escardo-bird

    Yaliyojiri Tunduma: Mikutano ya Kampeni ya Mgombea Urais, Edward Lowassa - Oktoba 17, 2015

    Shughuli ni watu. Na watu wenyewe ndo hao. Nyie magamba hata wakufunga maduka tuu siyo kukesha, mnaooooooooooo:sly::sly:
Back
Top Bottom