Salaam,
Kipindi hiki cha likizo ya miezi mitatu ya wanafunzi kukaa nyumbani ndipo wazazi nadhani mmeonja chungu-tamu ya malezi kwa watoto wenu. Lakini sambamba na hilo bado mmefeli haswaa kwa watoto wa kike; mimba hizo zilizoko mashuleni hasa sekondari ni hatari.
Nilikua naongea na baadhi ya...
Hey brothers and sisters nilikua na wazo kwa kua tuko mwishoni mwa mwaka na tunaanza 2020 naomba tutoe shukrani kwa Mungu kwa kurudisha tulichokipata hata km kidogo kwa mwaka mzima na huku tukiwa mbioni kuanza mwaka mwingine.
Kuna mengi tumepitia makubwa na madogo, shida na raha lakini Mungu...
Habari zenu
Nahitaji msaada wenu km kuna mtu anamfahamu huyo mtu amesoma Azania O level, A level Pugu (PCM) then akaenda UDSM kusoma Engineering (sijui aina gani ya injinia)alimaliza 2009 akaajiriwa Tanga kama sikosei. Alikua anakaa mbagala mwanamtoti Mwenye kumfahamu anisadie tafadhali au...
Asili ya mwanamke ni pambo za tabia njema,uadilifu na uaminifu toka enzi na enzi ,mwanamke akibeba zege watasema kama dume vile ila mwanaume akipika hawasemi kama mwanamke vile
Wanawake baadhi wa sasa hivi kwa kweli sijui ni wa sayari gani,kwa sababu tuna hulka mbaya mbaya ambazo ukiambiwa...
Naomba msinisute huo ndo ukweli sema kinachoua soo..ni kua inakua makubaliano yenu wawili kati ya mke na mume kwa kuhofia aidha km mna mtoto mdogo au hamko tayari kupata mtoto kwa wakati huo
Nna ushahidi japo wa ndoa zinazonizunguka kila mmoja kashapanchi aseehh!ukiuliza wanakuambia kwani si...
Habari zenu, sihitaji kashfa wala matusi hapa maana kuna watakatifu humu koo zao hazina singo mama wala walioachana..
Jf wanapita watu wengi mnoo!!! waliojiunga na wasiojiunga naomba kuuliza hivi singo mama siku hizi imekua ulemavu, kosa, dhambi au fursa!
Mimi sielewi maana naona Mara...
Habari za jioni wapendwa wana jf !!!!Leo ndo kilele cha usiku wa tuzo za films zinazofanyika na kuonyeshwa live Kupitia Azam TV ambalo ni mwaka wa pili tangu kuanzishwa kwake hapa nchini kwetu...!!
Kuna filamu mbalimbali zinashindanishwa kutoka kwa wasanii wetu hapa Tanzania na pia wasanii...
Ever since I met,I've become the part my of life,friend the closest one...I never thought I will have a great time,happy and comfortability whenever were a together via phone or any means!!!!
Nafurahi kukufahamu japo kwa uchache tu toka tumejuana kuanzia Jf mpk nje jf...
Nashukuru kwa kila...
Ngoja nipunguze stress za kupotea Mo dewji (nampenda sana huyu jamaa)na kuuguza miye humu jf
Aliachwa Aunty,Akala Wema mahaba yakawa km yotee wakagombana akaenda kutoka na jokate enzi hizo Wema na jokate mashosti,ushosti ukaisha....mpk akaenda kumchamba Jokate kwa Zamaradi Wema alienda na Uwoya...
Mambooozzz!!unajua katika maisha waweza pitia mambo mengi kutana na vingi...jf imekua sehemu ya maisha yangu mmepata marafiki humu,maadui humu n.k
Binadamu lazima awe na mapungufu yake kulingana na asili yake...kuna muda naweza kua nimemkosea either kwa kudhamiria or kutodhamiria kumkosea mtu...
Huyu kaka hapana aiseehh!!naona kwa sasa anajaribu kumpaisha Irene aka officiallyn ili aje kulingana na wanawake waliopita kwake na mama watoto zake...
Siku za hivi karibuni amekua na mahusiano na Irene mtoto wa buguruni...na Mara kwa Mara wanakua pamoja km bebi wake mpyaa!!!
Jana ulikua bday...
Sijui tatizo nini wadada wa mjini bongo wanalo...aiseehhh!!hata mtu unaemuona wa maana nae anakua mswahili mswahili kuendeleza vitaa..
Ishu ilianza miss Tanzania baada ya wolper kuliponda hadharani gari la zawadi ya mshindiwa shindano hilo la 2018 kitendo kile Basila hakufurahishwa nacho toka...
Sio wote baadhi yao haswaa vijana wengi wadangaji hata humu waweza kua wapo..
Hayajanikuta ila yanawakuta watu,vijana wa siku hizo wadananda...chakla wanapenda slopeee...kama zote!!hawataki kubeba zege wanauramba mkanda chini ajira hakuna sawa umesoma ili uelimike au uwe na elimu?
Komaa maisha...
Mnisahihishe kizungu hapo kwenye heading km mmekosea mana lugha ya malkia hii!!
Tusiandike mabaya yake pia na mema tuyaone pia!! Hamissa na deo kithama watakua wao ndo ma host kwenye Miss Tanzania 2018 pale DICC...
Karibuni wote watanzania....!!!Uchawu naona unalipaa[emoji23] [emoji23]...
Kazi kweli mjini hapa zimevuja voice notes za Hamisa akiongea na mganga amroge Diamond na wazazi wake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila kwa akili yangu fupi sauti sio kabisaa ya Hamisa yaani wamejitahidi kuipindisha kweli kweli ionekane kuwa Hamisa ndo alompigia simu mganga...
Kwanza ingekuea mchanganyiko wa girls and boys!!
Ingekua Kuanzia O level hadi Advanced level
Kungekua na comb zotee kwa advance
Mabweni yangekua kama yotee..
naomba nipange safu ya viranja..
Mamods wote wangekua viranja wakiongozwa na invisible kama head prefect na Asha Dii kama head...
Mnalalamika sana humu majukwaani kua tunafunga PM au mkija hatuwajibu,ndiyo wengine wamefunga PM wengine mkija hatuwajibu kwa sababu kuu zifuatazo;
Kabla ya kutoa sababu mods huku ni chitchat bwanaa...!!punguzen ban jamani kaah!hapa stori tu no matusi tafadhali;
Haya naendelea;
Hatuwajibu kwa...
Hey members wa MMU...
Nikizungumzia maisha ya uswahilini nazungumzia wakazi wenye vipato vya kati na chini...wengi wao wakiwa katika maeneo ya nyumba zenye msongamano mkubwa,vurugu za kila aina,misongamano ya aina zote full burdaaan!
Kwa hapa DSM maeneo ya uswazi baadhi ni magomeni,Kinondoni...
Habarini za asubuhi wapendwa
Hivi nyie wanaume wa sasa mbona mwajidhalilisha hvi jamani,hiv mwanaume mzima unaoa mke tena wa ndoa takatifu kabisaa...unaishi nae,anawezaje kurudi saa saba usiku au alfajir weye umelala ndani na bado wamtazama tu!!hufanyi lolote....
Hivi nyie wanaume wetu...
Leo nataka niongee na wadada na wakaka msiojiamini kama mnaoga nje...kwenye kila kitu mwajishtukia!
Jamani hakuna kama wewe,wewe ni wewe na utabaki kua wewe!Amini wewe ni kisura kama mwanamke na wewe ni mwanaume wa kweli kwa wanaume...
Kwa nini kuanza kujiona hufai au labda weye hustahiki kua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.