Search results

  1. Mchelle

    Ndoto tunazoota na tafsiri zake

    Karibuni niliota napanda mlima mkali sana kwenda juu, ubaya zaidi hata ile miti ya kushikilia nikakosa kabisa. Nikawa nashika nyasi chache zilizoota kwenye mlima huo. Nilipoota hakukuwa na eneo lingine la kupita zaidi ya hapo. Nilibahatika kufika kileleni ila sikuwa na viatu, nikatembea peku...
  2. Mchelle

    Kutoka mimba

    Hebu nishauri kama naweza kupata msaada
  3. Mchelle

    Kutoka mimba

    asante bandugu. ilitoka kwa bahati mbaya sana kwani tulikuwa tukitarajia kupata mtoto wakati tuliohitaji
  4. Mchelle

    Kutoka mimba

    Naomba msaada wenu wajameni, mke wangu amepata bahati mbaya mimba imetoka kwa hiyo baada ya kusafishwa hospital. Baada ya muda gani ataweza kuanza kutafuta ujauzito?
  5. Mchelle

    Greetings

    Happy New year 2019 people Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mchelle

    Greetings

    Happy New year2019 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mchelle

    Mabinti wa kilokole wengi ni waigizaji tu

    Mnhuuuu!!!!!! yapo makubwa sana humu jamvini kumbe, yetu macho nitakuja kuyasoma maoni yeenu
  8. Mchelle

    Tetesi: Tawi jipya la CRDB Chato, Idadi ya wateja inadaiwa ni ya kuvunja moyo

    Haya tusubiri kuyaona, yapo mengi sana yanakuja, tupo tushuhudie, Mungu atulinde salama
  9. Mchelle

    Umuhimu wa kusoma vitabu

    Good idea, naungana na mtoa mada
  10. Mchelle

    Siamini naanza kuacha uhuni, umalaya, ubazazi na ubaradhuli. Huyu mtoto nimemuibua humu humu JamiiForums

    Vizuri kwa kutujulisha ila weka na kapica tushuhudie gudume
  11. Mchelle

    Orodha ya biashara kwa mtaji kiduchu zenye uhakika wa kukulipa awamu hii ya tano

    Tread iko poa sana ila inahitaji elimu zaidi juu ya kodi TRA, mambo yamekuwa magumu kwa wafanyabiashara kwenye hilo. Hayo madini tumekuwa tukiyakosa siku nyingi, tuendelee kukaribisa wengine wenye great business ideas ili wote wapate kujua pa kuanzia na sio kila siku kulalamika kama kawaida ya...
  12. Mchelle

    Kwa wale wanaopenda kufanya mapenzi kwa njia zisizo rasmi pitia hapa

    Ngoja waje wenyewe watakujibu maswali yako, napita tu nitakuja kusoma comments
  13. Mchelle

    Uchi wa mbuzi

    Hayo ya mbuzi na mbuni ni mambo yanahitaji weledi wa tafakuri
  14. Mchelle

    Kutoka Uamsho hadi kupinga uhalali wa Muungano mahakamani. Nani yuko nyuma yake na kwanini?

    Muungano una faida sana kwa wa-zanzibar haswa kuliko sisi wa tanganyika, ila wao hawaoni hilo. Ukivunjika sasa wote wataathirika ata wewe unayehisi hauna faida nao.
  15. Mchelle

    Mbinu ya kuwararua masistaduu kirahisi kwenye jumuiya

    Kuna watu wenye vipaji nchi hii, ila Mungu katunyima akili ya naendeleo tu, mengine wote wananchi wa Tz wana PHD
  16. Mchelle

    Mchango wa dini katika kutetea haki za kiraia: Mohamed Said yeye ni kushutumu Wakristo

    Tusijadili udini humu tujadili maendeleo, na yeyote anayejadili udini asipewe nafsi
  17. Mchelle

    TAFAKARI: Tawi jipya la CRDB Chato, je ni uwekezaji unaolipa?

    tuwekeeni picha nyingi sana za chato, tujiridhishe na uwekezaji uliokuwepo
Back
Top Bottom