Search results

  1. tahan96

    Kubadili fedha za kigeni Arusha

    Kwa wakazi wa Arusha wapi naweza kubadili fedha za kigeni za Israel, ma benki ni changamoto.
  2. tahan96

    Utumishi wako fair

    .
  3. tahan96

    Namna ya kupata case files (PDF)

    Habari wana Jf, Kwa anae weza nisaidia upande wa mawakili au anae jua mambo ya mahakama, je ni kwa namna gani naweza pata pdf za hizi case files. Kwa mfano ile case ruling ya Bilionea Msuya ya 2018? Kuna namna naweza access hizi files?
  4. tahan96

    Nafasi kazi ya Salon

    Wanahitajika wadada 3 kwa ajili ya kazi kwenye salon za kiume. Qualities: Wawe smart na presentable. Age ni 20-27. Salon ziko Musoma, so anybody yuko willing kufanya kazi au anajua mtu yoyote anae weza fanya kazi hit my dm.
  5. tahan96

    Usaili Utumishi

    Habari wana JF Samahani ningependa kuuliza kwa mwenye taarifa zozote kuhusu hiki kitu, Who has the upper hand kwenye kutoa final candidates wa ajira husika katika hizi taasisi zinazo fanya usaili kupitia utumishi? Je utumishi wana control kila kitu kuanzia written exam mpaka oral na final...
  6. tahan96

    Nimesahau smartkey ndani ya gari nifanyeje?

    Habari wana jf, Katika hali ambayo sikutarajia nimejikuta na fungia ndani smartkey ya gari aina ya Mark X na hivyo gari imejilock na sina namna ya kuifungua maana sina spare key plus nilikua na wahi mahala nimefungia vitu muhimu ndani ya gari Any suggestions nifanyeje hapa? === MREJESHO...
  7. tahan96

    Fani ya Wildlife Management & Tourim

    Deleted.
  8. tahan96

    Naomba kujua kuhusu usaili Utumishi

    Samahani wadau, Nimeitwa kufanya usaili TANAPA tarehe 21 ila sijawahi kuhudhuria Interview yoyote ya serikali kama kuna tips zozote muhimu unaweza kuniachia hapa chini itakua vyema. Kuelekea kufanya usaili wa kwaza wa mchujo vyeti huwa vina kaguliwa kabla ya kuingia kwenye chumba cha mtihani...
  9. tahan96

    Bitclub Advanatge.

    .
Back
Top Bottom