Search results

  1. M

    Hivi nchi yetu ilishawahi kunufaika na Chama chochote cha Upinzani?

    Yaani pumba zingine, nchi iongozwe na ccm halafu wewe uwalaumu upinzani? matatizo yote ya Tanzania ni kwasababu ya uongozi wa ccm.
  2. M

    TACAIDS: Wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya UKIMWI wamejitoa

    Summary Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya Ukimwi wamejitoa. By Janeth Joseph Moshi. Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) imesema wafadhili wa dawa za kupambana na kuzuia magonjwa nyemelezi ya Ukimwi...
  3. M

    ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    ICC wanapokea ushahidi wowote. Nara nyingi Waandishi wa habari ndio source ya ushahidi huo. Magufuli ajiandae tu.
  4. M

    ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    Amsterdam bado haja peleka. Document ya Amsterdam itakuwa more detailed maana anaiandaa kisheria zaidi.
  5. M

    ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    Hiyo ni stage ya kwanza kwenye masuala ya ICC. Mwaka huu kuna ushahidi wa kutosha . Jiandaeni tu hao majizi ya kura na wauaji kufunguliwa kesi.
  6. M

    "Mabeberu" Marekani waanza mbinyo kwa Tanzania. Washawishi Serikali yao na Jumuiya ya Kimataifa kuanza vikwazo na kukata misaada

    Duh! Mpaka nimecheka kama huu ndio uchambuzi wa msomi. Watanzania tuna matatizo makubwa ya akili. Endeleeni kumdanganya jiwe
  7. M

    Wanaharakati wa Jamhuri ya Twitter

    Unataka waandamane ili muwaue?
  8. M

    Kutokuwepo kwa Mabalozi wa US, UK, Sweden, Norway, Denmark, EU, Japan na South Korea leo Dodoma, kuna nini kinaendelea jikoni?

    Sio Afrika tu, hata Ulaya na Marekani siku muhimu Kama hii mabalozi wote lazima wawepo.
  9. M

    Mbona Dkt. Phillip Mpango na Prof. Palamagamba Kabudi wameteuliwa haraka kuwa Mawaziri?

    Pompeo yuko madarakani mpaka mwishoni mwa January. Tena sasa ndio wako hatari zaidi.
  10. M

    Kadogoo: Tuliamini Lema ni Mandela wetu lakini katuangusha

    Maskini hata hamjui Mandela naye alikimbia SA ma kuwa nje kwa miaka kadhaa?
  11. M

    Uchaguzi 2020 Nimesimamia uchaguzi, nimetenda haki

    Kisheria namba ya mpiga kura haitakiwi kuandikwa popote ili kumlinda watawala wasimtambur. bahati mbaya baadhi ya sehemu waliambiwa waziandike kama njia ya kuwatisha wafanyakazi
  12. M

    Uchaguzi 2020 Nimesimamia uchaguzi, nimetenda haki

    Namba ilikuwa inaandikwa na mkuu wa kituo na sio kwamba zilikuwa printed na hizo namba. huenda hata sio wilaya zote walipewa maagizo ya kuandika namba ya mpiga kura kwenye karatasi ya kupigia kura.
  13. M

    Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.

    Mwaka huu maskini wa kutupwa TZ milioni 28 wameongezeka kutokea milioni 12 mwaka 2012. Magufuli hafai na kuzima mitandao yetu ndio kabisa.
  14. M

    Uchaguzi 2020 Robert Amsterdam na Sheikh Ponda ndio watakaomuangusha Lissu

    Diaspora tunamuunga Lissu. Tumemchangia kumtibu. Tunamchangia sasa kwenye kampeni. Tulia dawa iwaingie
  15. M

    Uchaguzi 2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

    Akili nyingine hovyo kabisa. Eti kifo ni Mungu anapanga! mumeua watoto wa watu shauri ya upumbavu wenu tu.
  16. M

    Uchaguzi 2020 DKT. Magufuli: Sasa ni wakati wa kujali maslahi ya Wafanyakazi

    Basi atangaze nyongeza hiyo leo mbona kwenye barabara anawaita Tanroad hapo hapo? Kumuamini mtu muongo kama Magufuli utakuwa punguani
Back
Top Bottom