1)anaitumia kibiashara ni kweli lazima apate faida
2)51 si kitu hakuna mahali nimesema hivo
3)vikombe kidogo..hii ndio sole responsibility ya timu kwa mashabiki
4)long run..unabase predictions zako kwenye assumptions za upande mmoja na kulazimisha kua lazima itakua hivyo..je kama isipokua kama...
Sehemu ya pili umeongelea nguvu ya 51%..yaani hao hakuna chochote kwenye timu wanachoprovide hakuna kabisa zaidi ya kutegemea kitakachozalishwa na timu ambacho kiuhalisia hakikidhi mahitaji ya timu..yani kwa kawaida tu lazima 49% zitakua na nguvu kwa sababu zifuatazo
1)Mo anamiliki hisa kubwa...
Brother hufikirii?Mo alikua mdhamini kwa kila kitu pale Simba obviously atakua favoured kwa yale machache atakayohitaji mbona hii ni basic sana kwenye maisha?na moja kati ya hilo ni wafanyakazi wa club tena wale wenye popularity potential wasitangaze bidhaa zenye mgongano wa kimaslahi na yeye na...
Hio ni kawaida kwenye biashara yyte mzee..iwe mpira iwe real estate au yyte ile pesa ya mara moja hua ni chache ukilinganisha na pesa ya kidogo kidogo
Liverpool thamani yake ilikadiriwa kua 1.3B by 2019 lakini kwa mwaka tv rights wanapata zaidi ya 200M inamaana kwa miaka kumi itakua walishika...
Brazaaa achana na hesabu za matikiti..pesa ya kidogo kidogo kwa kawaida hua nyingi kuliko ya mara moja mbona kama hizi ni basics tu katika biashara yyte au ndo kujitoa ufahamu
Biashara haiendi hivo boss
Liverpool inakaririwa kua na thamani ya 1.3B by 2019 lakini walisign deal la jezi na nike lenye thamani ya 91m kwa mwaka..maana yake kwa miaka 10 ni 910M haipishani sana na thamani ya club ina maana wangeongeza kidpgo tu wangeifikia thamani na hizo ni jezi tu..bado...
Inawezeiana lakini inabidi mkubaliane kua mnahitaji kushawishi sana vilabu viachane na fifa maana fifa haina mamlaka ya kuzuia biashara nyingine sema itabidi uweoe mpunga mwingi sanaaaaaaa hadi ushawishi dunia iitenge fifa
Vitu vingine mbona vya kugoogle tu mzee..hayo ni magari bado vifaa vya simu ambavyo kwa haraka asilimia 90 vinatengenezwa china..bado wachina ndo wajenzi wakubwa zaidi duniani kwa sasa madaraja hadi railways majengo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.