Search results

  1. Dejanta

    Nimemfumania mpenzi wangu, lakini bado nampenda. Nifanye nini?

    Habari wanajukwaa mm ni mwanaume mika 29. Nimemfumania LIVE akinyanduliwa mpenzi wangu ambaye nimezaa naye mtoto mmoja na tumedumu naye kwa miaka minne sasa, lakini yote kwa yote tulipanga mwezi wa kumi na mbili yaan Desemba tufunge ndoa na michango ishaanza kuchangishwa Kiukweli nampenda ila...
  2. Dejanta

    MSAADA WA KISHERIA,HASA SHERIA ZA KAZI NA AJIRA

    Habari wana Jamii forum,Naomba msaada wa kisheria,,kuhusiana na sheria za Kazi na Ajira,,,,sina pesa ya kumlipa ila nikifanikiwa atanufaika kwa kufanikiwa kwangu,,,mwenye wito wa msaada plz anichek DM
  3. Dejanta

    KIPAJI CHA SANAA YA MAIGIZO

    Habari ,,mie ni kijana mwenye kipaji,,Natafuta mtu wa kuniongoza na kukiona kipaji changu ili aweze kunipa sapoti,,kwa mwenye wito Aje DM
  4. Dejanta

    Natafuta mchumba ,alie serious Anitafute Private sms

    Natafuta mchumba ,Masharti rahisi tu 1;umri kuanzia 22 mpka 26 2;Asiwe na Mtoto 3;Asiwe mfupi 4:kutoka mkoa wowote ule Tanzania bara na visiwani
Back
Top Bottom