Basi mwenyewe nawekaga kwenye wallet laki halafu jumatatu najikuta na alf 30,, emergency fund kibongobongo ni bima ya afya tu,, mengine tusidanganyane ingawa ni muhimu sana hii kitu,,
Mjini ndio poa,, huku bodaboda kagonga kuku wa mjumbe,, huku kuna kigodoro mtoto wa jirani anaolewa,, huku kuna mwizi kaiba kobazi msikitini,, huku konda kamkwida abiria aliyepungukiwa shng 100,, mara chochoro jirani danga anakutaka mkapige show la buku2,, wewe mjini kuna raha yake ujue,,
Tatizo mamaenu naye vile vibabu vi3 vinamcontrol vibaya ifike mahala ajitambue sisi tunamtambua yeye ndie rais na asimame kama kiongozi mambo ya kuogopa vizee yanatoka wapi,,? Vizee vinawashwawashwa vimestaafu lakini havitaki kustaafu,,
Hapo kila moja inamata sehemu yake,, siwezi nikawa Malaika nikaagiza Smart gin hapo ni K vant kuendana na mahali hapo lakini tukikutana kwa mangi ni mwendo wa kuserv gharama bk 2 fresh unashtua nyongo muhimu kuyumba,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.