Search results

  1. Kaigarula . J

    Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    The issue of Stephen kaka haina tofauti nyingi .Issa na Yesu ni tofauti kabisa Karibu kila kitu mpaka beliefs and teachings
  2. Kaigarula . J

    Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    Stephen’s “Error” The obvious error in Stephen’s speech is attributing Jacob’s purchase to Abraham: … in the tomb that Abraham had bought for a sum of silver from the sons of Hamor in Shechem. (Acts 7:16) Here it can be argued Stephen is employing the rabbinical midrash technique of...
  3. Kaigarula . J

    Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    Ukristo ukihesabiwa kuwa ni dini lazima uwe na madhaifu kwasababu dini ni mpango wa mwanadamu kutimiza haja aliyoumbiwa ndani ya roho yake. Yaani haja ya kuabudu. Lakini Ukristo kama mbegu ya Neno la Mungu ndani ya mtu hauna kasoro kama mtu atatii sauti ya Mungu .Maana Mungu ndiye aliyemtafuta
  4. Kaigarula . J

    Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    Nakuunga mguu. Hata hivyo Vatican hawakuwa na dhima ya Ukristo kama unavyotakiwa kuwa. Waliubadili kuwa mfumo wa dini wenye nguvu za kiutawala katika Dola. Ukristo ukawa jambo la mwilini tu sio la Mwilini ambalo chanzo chake ni Rohoni.
  5. Kaigarula . J

    Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    My sister. My happiness is not in that white image or black one. My joy is into the grace that I have received from the God of Ibrahim, Isaac and Jacob.
  6. Kaigarula . J

    Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    Critics of the Bible sometimes note the two different versions of the death of King Saul as a contradiction. First Samuel 31 says that Saul was injured in battle and then killed himself. Second Samuel 1 relates an Amalekite’s claim to have killed Saul. Which account of the death of Saul is true...
  7. Kaigarula . J

    Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    Hongera kwa ufahamu mkubwa. Jesus' color doesn't save us but what He did in the cross
  8. Kaigarula . J

    Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    Nafikiri ujitahidi kuwa msomaji mzuri kabla ya kuchangia. King James Version haijakosa kuwa na andiko la Isaya 53:2 hata siku moja.Ninayo hardcopy na mtandaoni ipo lakini maandiko yote yapo .
  9. Kaigarula . J

    Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    Je? Vatican ndio kiini cha historia na imani ya wafuasi wa Kristo Yesu ?
  10. Kaigarula . J

    Je, huu ndio ushahidi kuwa Yesu/Issa Bin Maryam alikuwa mweusi?

    Hao watu sio sawa ndugu yangu. Vyanzo wa taarifa vinaweza kuwa tofauti na habari zikawa tofauti lakini kuna mambo muhimu sana lazima yafanane. Isa alizaliwa chini ya mtende wakati Yesu alizaliwa ndani ya hori la kulia wanyama.
Back
Top Bottom