Search results

  1. Dan Zwangendaba

    Mawazo Huru

    Naunga mkono hoja. Na kama mawazo ya hivi yasipotekelezwa, tutatumia miaka 500 bila kufika nchinya ahadi
  2. Dan Zwangendaba

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Jiwe alisema hivyo na yeye mwenyewe alikiri kuwa yeye kichaa, wakati akiwa waziri
  3. Dan Zwangendaba

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Sasa kichaa ana hoja? Na hata akiwa nazo, utamjibu kichaa kweli?
  4. Dan Zwangendaba

    KERO Polisi Mtwara acheni tamaa mnatukwamisha, sisi pia tupo kazini na tuna familia

    Kero namba moja ya maendeleo bongo Polisi. Zamani ilikuwa TRA ila kwa mbaaaaaaaali wana afadhali
  5. Dan Zwangendaba

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Mpina ni kichaa na wanaomuunga mkono ni vichaa wenzie. Kichwa chako kina shida kama unamuona Mpina ana akili za kumtosha.
  6. Dan Zwangendaba

    Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Kikao kijacho ni maazimio kwa wataokaidi😂
  7. Dan Zwangendaba

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Tunaandaa kikao cha upande mwingine nao tuwasikie maazimio yao😂
  8. Dan Zwangendaba

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Halafu wewe nishakujua😂. Utakuwa invited kwenye kikao kijacho.
  9. Dan Zwangendaba

    Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Mkuu umechanganya mada. Kikao hakijaazimia kuzuia wanaume wasichepuke. Kimezuia wanaume kuchepuka na wake za watu. Hata hivyo, ukifulia ndoa ndio itakuwa ngumu kupita maelezo.
  10. Dan Zwangendaba

    Kikao cha Wanaume: Usimkule Mke wa Mtu Hata Kama Kajirahisi Vipi Kwako

    Kikao Na. 34 cha WANAUME kimeazimia kuwa kamwe mwanaume usifanye mapenzi na MKE wa mtu. Mke wa mtu hapa ni yule aliyeko ndoani ima ya kidini, kimila, kiserikali au hata waliojifungisha wenyewe (kwa binti kuchukua mkoba wake kuhamia kwa mwanaume). Maamuzi haya yamechukuliwa kwa kuzingatia hoja...
  11. Dan Zwangendaba

    Looking for a Husband

    Matured men below 40yrs old! really? Seriously? That age is still young for a man to qualify a maturity test. Take it or leave it.
  12. Dan Zwangendaba

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Haya maswali hayana maana yoyote. Yaishie hukohuko mikoani kwenye dunia ya "mabwepande".
  13. Dan Zwangendaba

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Uko na brain nzuri sana Demi, and I like your thinking capacity ila fanya uwezavyo usimsaliti MUME, kwa mahusiano mengine sawa ila sio kwa MUME.
  14. Dan Zwangendaba

    Ni Yanga pekee ndio nimeona inasafiri na wachezaji majeruhi

    Kuna kisima hawa jamaa wanachota maokoto sio bure hivyo neno gharama kwao halipo.
  15. Dan Zwangendaba

    Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

    Sasa mbona hiyo mifano yako hao watu kazi zao hazina maokoto ya maana!
  16. Dan Zwangendaba

    Nini kifanyike kuokoa simba

    Huu ndo ukweli. Mara nyingi unamuona Benchikha analalamika na kuonesha ishara ya kichwa
Back
Top Bottom