Search results

  1. Kachanchabuseta

    Kilimo cha tikiti maji kwa mtaji wa sh. laki 7 inawezekana?.

    Nakushauri utafute biashara nyingine kwa mtaji huu ukijitumbukiza baada ya miezi mitatu utapata pressure Ni uzoefu wa matikiti kwa kigamboni kwa misimu mitatu ila nimeachana nayo sasa maana ....
  2. Kachanchabuseta

    Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma

    nisome hapa, tatizo sio kuwa uingereza imechangia shule Tatizo ni pesa nyingi zilizochangwa ni za wananchi pili Hesabu iliyotolewa sio sahii
  3. Kachanchabuseta

    Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma

    Wengi waliochangia wamechangia waadhirika na sasa serikali inajigeuza na kusema pesa za kujenga miundo mbinu ya serikali OFISI ya Taifa ya Takwimu imechangia Sh milioni 1.6 kusaidia waathirika wa tetemeko la ardhi lililotokea mkoan source : TIBA wachangia Sh20milioni kwa waathirika wa tetemeko...
  4. Kachanchabuseta

    Serikali: Fedha za Maafa ya Tetemeko Kagera zimeelekezwa kwenye Taasisi za Umma

    Hii taarifa ya Channel 10 Haina ukweli wowote kama RC wa kagera ameongea haya basi huu NI UTAPELI WA SERIKALI KWA WANAKAGERA MASHIRIKA YOTE YALIYOTOA MISAADA HAYAJASEMA YAMECHANGIA SERIKALI BALI NI WANANCHI SOMA HAPA CHINI MICHANGO YA DIPLOMATS ISIPOKUWA UINGEREZA PEKEE NDIO MCHANGO WAKE WA...
  5. Kachanchabuseta

    HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    The student with Index number 'S2142.0037.2014' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the FIRST & SECOND LOTS of allocations.
  6. Kachanchabuseta

    HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Name : SONG'HANYA, PETER Index Number : S4630.0031.2012 Institution : SAUT Course : BAED Year of Study : 1 Loan Breakdown Meals and Accommodation (MA) 2,099,500 Books And Stationary (BS) 200,000 Field Practical and Trainings (FPT) 620,000 Tuition Fee 980,000 Research 0...
  7. Kachanchabuseta

    Vijana wa CHADEMA wafanya party ya kujifuta machozi, Tundu Lissu ahudhuria

    tatizo wewe mtela umeishabokole.wa ndio maana unaleta thread hazieleweki
  8. Kachanchabuseta

    Vijana wa CHADEMA wafanya party ya kujifuta machozi, Tundu Lissu ahudhuria

    WEWE ni boya kama jina lako Huna chochote unabokol.wa
  9. Kachanchabuseta

    Kwa hili tukio la leo, ITV wasiachwe hivi hivi, wachukuliwe hatua za kisheria

    huyu Pombe SIO RAIS WETU NI RAIS WA CCM NA NEC FULL STOP
  10. Kachanchabuseta

    Program Note: OZ - Afya ya Lowassa kwa Sasa Siyo Hoja? Will blow your mind...

    Mzee Mwanakijiji na siasa zako za Dr.W.Slaa hazitasadia chochote hata wasema Lowasa ana Uk.mwi watu wamempenda wanachagua SIASA ZAKO NI KAMA ZA MTU ALIYEVUTA BANGI NA UKIENDELEA KUMTABILIA AU KUMSEMEA UGONJWA LOWASA WEWE NDIO UTATANGULIA MBELE YA HAKI Mzee Mwanakijiji siku hizi thread zako...
  11. Kachanchabuseta

    Operesheni Zinduka 5 - Kwani Watanzania ni wao peke yao? Sote ni sote

    Mzee Mwanakijiji Ngoja nikwambi UKWELI operation zako za zinduka hazisadii kitu hata kidogo Watanzania wameishaamua. CCM walifikiri wakikutumia wewe na Dr.W.Slaa Watanzania watabadilika, kamwe Watanzania hawatabadilika. Nguvu zako zinakufa bure
  12. Kachanchabuseta

    Shamba linauzwa Kibungo Kigamboni

    Mimi nina eka 3 hapa hapo kibungu lakini kwa bei hiyo unadanganya sasa hivI EKA kwa pale ni 3 mpaka 4 million
  13. Kachanchabuseta

    Swali la Ukorofi: Vigogo wa CHADEMA Wanaomuuza Lowassa Wakianguka Bunge Iweje?

    Mzee Mwanakijiji hii sio bure kuna mtu amekuroga au ndio umeishakura BAHASHA KUBWA KAMA KAWAIDA YAKO
  14. Kachanchabuseta

    Dr MIHOGO katika UBORA WAKE

    Photo removed
  15. Kachanchabuseta

    UCHAMBUZI: UKAWA epukeni kufanya makosa kama ya CCM wakati wa kampeni

    hii mada mod watasubilia mpaka usiku wa manane inafutwa sijui mod wamakuwaje
  16. Kachanchabuseta

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    UPDATE: Katika taarifa ya TBC iliyosomwa saa 7 mchana leo, Jaji Lewis Makame ametamka kuwa NEC pekee ndiyo yenye kauli ya mwisho kuhusu muda ulioruhusiwa kwa shughuli za kampeni. Muda huo haujabadilika na utaendelea kubakia kuwa saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni, na si vinginevyo. “Kazi ya...
  17. Kachanchabuseta

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Sasa hivi ni saa 12.01 lakini Dr Pombe bado anaendelea kuongea sasa POLICE KWANINI HAWAKAMATI HUYU POMBE? UPDATE FROM 2010: Katika taarifa ya TBC iliyosomwa saa 7 mchana leo, Jaji Lewis Makame ametamka kuwa NEC pekee ndiyo yenye kauli ya mwisho kuhusu muda ulioruhusiwa kwa shughuli za...
  18. Kachanchabuseta

    Marufuku ya Jeshi La Polisi Kuhusu Maahandamano Ni Kwa Vyama Vya Upinzani Tu

    mkuu akilikubwa naomba uweke hii picha hapo juu CCM WAKIANDAMANA KUELEKEA KWENYE MKUTANO SAWA LAKINI POLICE WANASEMA WAPINZANI WASIANDAMANE SHAME YOU POLICE AND KOVA KENGEZA
Back
Top Bottom