Search results

  1. joss1973

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Mji

    Bei inaanzia million 4 na. Kuendelea .kibaha picha ya Ndege .njoo uvione kiongozi
  2. joss1973

    Mume anatafutwa

    Duuh vigezo na masharti kuzingatiwa .ila mm napita tu dada Shemeji .
  3. joss1973

    Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    Hilo Changa la macho .umepigwa na kitu kizito jibaba jipange upya huyo cyo mwanao jibaba .mama ndiyo unajua mtoto ni wa nan
  4. joss1973

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha Mji

    Viwanja vinauzwa, vipo Kibaha picha ya ndege, vimepimwa na miundombinu ya barabara, umeme upo. Vina offer. Vipo karibu na hospitali ya halmashauri ya mji Kibaha, pia shamba linauzwa lipo Kisarawe lina hekta moja na nusu. Kwa maelezo zaidi cont 0713 95 92 90
  5. joss1973

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kibaha mji

    Viwanja vinauzwa Kibaha mji maeneo ya Lulanzi na msongola Mlandizi, vimepimwa na vina miundombinu ya barabara, umeme na maji ipo. Vina ukubwa kuanzia sqm 1340 na kuendelea, vipo karibu na hospitali ya mji Kibaha, Lulanzi na pia ni karibu sana na shule ya secondary ya picha ya Ndege na pia siyo...
  6. joss1973

    Plot4Sale Nauza viwanja Kibaha Town

    Mkuu haukufuta taratibu sahihi za kununua kiwanja .viwanja hiv vimepimwa na kuna document zote .ulitakiwa kuhakiki uhalali wa eneo hilo kabla haujanunua .matapeli wapo kila corner Tz nzima .watu wengi uwa wanakosea kufuata taratibu sahihi za manunuzi .ulitakiwa kuhakiki kwanza kwenye serikali...
  7. joss1973

    Nioe yupi kati hawa wadada wawili

    Kaka oa yule aliye rafik yako .na ambaye unamuelewa vzr na umemfahamu vya kutosha .maana kosea kujenga nyumba cyo kuoa mkuu.uo yule unayemjua vzr tabia zake na ambaye unafurahi Naye ukiwa naye .uskurupuke ukajuta kuzaliwa maana hao wavaa sket wapo vzr kwa kutengeneza bongo movie
  8. joss1973

    Plot4Sale Nauza viwanja Kibaha Town

    Soma vizuri kiongoz .bei ipo ni Tsh 12,000 kwa sqm .na viwanja vipo vingi na ukubwa tofauti2 ila hiyo bei kwa mita ya mraba
  9. joss1973

    Plot4Sale Nauza viwanja Kibaha Town

    Thank kwa ushauri wako kiongoz .ndiyo maana nikaweka cont number for more information.ila kwa ushauri wako ntafanya marekenisho kidogo
  10. joss1973

    Plot4Sale Nauza viwanja Kibaha Town

    Kiwanja ngan kiongoz??cna mm kiwanja cha 25x25 .na bei inauzwa kwa sqm.na hiyo 25x25 umetumia kipimo ngan ??ni sentimeter au feet au meter ?? Au km mkuu??
  11. joss1973

    Plot4Sale Nauza viwanja Kibaha Town

    Vinauza viwanja kibaha Town .vimepimwa na vipo karibu na hospital mpya halmashauri ya mji Kibaha.mtaa wa Lulanzi .na cyo mbali sn toka stendi mpya ya mabus ya mwendokas Kibaha au stendi ya mabus ya mikoani. Vina miundo mbinu ya barabara,umeme upo karibu na maji yapo karibu..mazungumzo yapo kwa...
  12. joss1973

    Viwanja vinauzwa Kibaha Picha ya ndege

    Viwanja vinauzwa Kibaha picha ya ndege .vipo kwenye location nzuri sn .vina miundo mbinu ya barabara vyote na vipo karibu na hospital ya halmashauri ya mji kibaha Lulanzi.na pia vipo karibu ya shule ya secondary ya kata picha ya ndege .maji na umeme vipo karibu .ukubwa ni mita 20 kwa mita 20...
  13. joss1973

    Nyumba inapangishwa mbezi Lous sh 150,000

    Nyumban inapangishwa Mbezi Lous ina vyumba viwili .kimoja master room ,living room na sitting room.ina get na ukuta.maji yapo .ni sehemu turivu ni cyo mbali kutoka stendi ya mabus mbezi .njia ya kwenda Goba.stendi inaitwa Njia panda ya Goba na makabe.kwa masiliano 0713 95 92 90
  14. joss1973

    Mahakama Kuu imeamuru Nabii Josephat Mwingira wa Efatha apime DNA kesi ya Ugoni

    Cku zote mti wenye matunda ndiyo unaopigwa mawe .habari ni ya kishabiki .,hii ni mdai tu na bado haijathibitika kbs .lakin wapambe wameshashika bango
  15. joss1973

    Vyumba vinapagishwa mbez mwisho

    Vyumba vinapangishwa vipo mbezi mwisho.njia ya kwenda mbezi-Tangi bovu ,chumba na sitting room.vipo ndan ya get,vyoo vyake pekee yake .kuna parking ya gari ,ni sehemu tulivu sn.sh 100,000 kwa mwezi .cont 0713 95 92 90
  16. joss1973

    Viwanya vilivyopimwa vinauzwa Kibaha Town

    Viwanja vinauzwa Lulonzi kwa Islam .Kibaha Town .1 km toka kituo kipya cha Maili Moja (Loliondo stend ,soko jipya Maili Moja) vimepimwa na miundombinu ipo .8000Tsh kwa sqm.kwa taarifa zaidi cont whatsaap 0713 95 92 90
  17. joss1973

    Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Kibaha Town

    Viwanja vinauzwa Lulonzi kwa Islam .Kibaha Town .1 km toka kituo kipya cha Maili Moja (Loliondo stend ,soko jipya Maili Moja) vimepimwa na miundombinu ipo .8000Tsh kwa sqm.kwa taarifa zaidi cont whatsaap 0713 95 92 90
  18. joss1973

    Mashine ya Porcon( used) inauzwa

    Mashine ya Popcorn( used) inauzwa.ipo kwenye hali nzuri .inapatikana Ubungo Riverside. Bei maelewano .kwa mawasiliano zaidi 0712 27 61 80
  19. joss1973

    Chumba na sitting Room vinapangishwa mbez Luis

    Chumba na sitting Room.vipo mbez Luis vipo ndan ya get na parking ya gari ipo sh 100,000 kwa mwenzi .for infor contact 0713 95 92 90
  20. joss1973

    Kiwanja kinauzwa 2.5mil kipo Picha ya ndege Lolanzi

    Kiwanja kinauzwa kipo Picha ya ndege Lolanzi kinauzwa sh 2,5mil .mazungumzo yapo kwa serous buyer .kwa maelezo zaidi whatsaap 0713 95 92 90
Back
Top Bottom