Search results

  1. inamankusweke

    Ladies tajeni Wanaume mnaovutiwa nao humu JF

    Nuzu kipenzi!!
  2. inamankusweke

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Kimaadili jamaa alikua mtu wa hovyo
  3. inamankusweke

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Pale nyumbani lounge kazibua Sana mitaro ya wahudumu
  4. inamankusweke

    TANZIA Gardner G Habash mtangazaji wa Clouds Media afariki dunia

    Hata kugonga hawawezi mpaka wanawake wanavuka Kenya kwenda kupata huduma
  5. inamankusweke

    Hii hapa mizinga ya Israel yenye uwezo wa kufuta ukanda wote huo, haipigiki, ndio maana Iran wameufyata

    Hayo mazoezinya kikosi Cha anga Cha Israel wanayafanya kwa ajili ya nini!?
  6. inamankusweke

    Wachambuzi wanasemaje kuhusu ziara ya Rais Ramaphosa nchini Rwanda

    Ngara hamkunyang'anywa!?..hamkunyang'anywa ardhi yoyote iliyopo Tanzania!?..mbona hoja ya m23 si hiyo kwamba ardhi walinyang'anywa Bali wao ni wacongo,wajumuishwe jeshini!!?
  7. inamankusweke

    Hii hapa mizinga ya Israel yenye uwezo wa kufuta ukanda wote huo, haipigiki, ndio maana Iran wameufyata

    Mbona kelele nyingi,alipokua anapiga ubalozi alitegemea nini!?.. mikwara ya Israel inaeleweka,Ila Hamas wameiamsha dunia
  8. inamankusweke

    Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza

    "Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe wa kwanza kwa chakula, mavazi na haki zake za ndoa. | Biblia Habari Njema (BHN) | Pata programu ya bure ya Bibilia sasa hivi." Kutoka 21:10 Kama huyo bwana akioa mke mwingine, lazima aendelee kumtosheleza mkewe...
  9. inamankusweke

    Mazungumzo ya amani, Israel na HAMAS Cairo yanazaa matunda

    Hapa umethibitisha tu kwamba vikosi vimeondoka Gaza,watu wakidundwa na kurudi nyuma vitani huwa hawakosi kauli za face saving,'tunarudi kimkakati' nk, Israel inaona haya kuondoka Gaza bila kufikia malengo,Ila wanaowapa kiburi wamewataka kuondoka
  10. inamankusweke

    Ilianzia Ulaya na Marekani Makanisa kukosa waumini na kufungwa. Kati ya Misikiti 75,000 nchini Iran, Misikiti 50,000 imefungwa baada ya kukosa waumin

    بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ الَّذِينَ كَفَرُوا وَصَدُّوا عَنْ سَبِيلِ اللَّهِ أَضَلَّ أَعْمَالَهُمْ Walio kufuru na wakazuilia njia ya Mwenyezi Mungu, Yeye atavipotoa vitendo vyao. Ungeanza na 47:1 ili kupata context nzima,siyo una cherry-pick,umeokota mtandaoni Aya na...
  11. inamankusweke

    Ilianzia Ulaya na Marekani Makanisa kukosa waumini na kufungwa. Kati ya Misikiti 75,000 nchini Iran, Misikiti 50,000 imefungwa baada ya kukosa waumin

    Unalia waislam kupewa na Mungu wao muongozo wa kupigana vita au unalia nini!?..wameagizwa Hadi kitokata miti vitani
  12. inamankusweke

    Ilianzia Ulaya na Marekani Makanisa kukosa waumini na kufungwa. Kati ya Misikiti 75,000 nchini Iran, Misikiti 50,000 imefungwa baada ya kukosa waumin

    "Saudi Arabia has over 2 million Christians but no single church! | Pulse Nigeria" This country has over 2 million Christians but no single church! Muislam anaeujua uislam hawezi kubadili dini na kuwa mkiristo,Mara mia awe myahudi Halafu hiyo Saudi Arabia Yako yenye wakiristo 6m ni...
Back
Top Bottom