Search results

  1. S

    Rais Magufuli si rafiki wa vyombo vya habari

    kwa nchi yenye watu zaid ya milion 45 si rahis kumlizisha kila mtu hasa pale panapokuwepo kambi ya upinzan, wewe nadhan ulikuwa timu mamvi sasa unatapatapa pole ila utaelewa
  2. S

    Rais Magufuli na PM Majaliwa Wameamua kuwa Wapinzani wa CCM na Kikwete

    usihangaike sana na huyo mtoa mada mana ameasilika na upinzan na wala hajui msingi wa chama hata kimoja cha upinzan yeye anachojua ni ukawa ndio mana akatumia sentesi "kauli kama hizo zingepaswa kutolewa ni wapinzani" pasipo kujua wamesema ccm kama chama kumuunga mkono rais kupitia ccm
  3. S

    Hatudanganyiki, huyu mfanyabiashara alikuchangia mapesa Magufuli

    mtoa mada unatapatapa huna cha kuandika juu ya JPM
  4. S

    Arusha: Wingi wa bendera sio ushidi kwa CCM

    umelogwa trh 13 utazimia hutaamin
  5. S

    Makontena kukamatwa inamsaidia nini mwananchi?

    kinachokusumbua ni ukosefu wa elimu ya msingi na kujikita na kambi ya upinzan hivyo hata akili ya kufikili huna umetawaliwa na upinzan. Kuelimishwa ni gharama usizan burebure tu kama mnavyoshadadia elimu ya bure
  6. S

    Unapata picha gani juu ya kauli hii ya Rais Magufuli juu ya mapambano dhidi ya Ufisadi?

    na wewe bado mtoto. una elimu gani JPM HANA CHAMA??? ! nakumbuka wakati wa kampen kuna mtu alisema UKAWA ITABADILIKA NA KUWA UKIWA NIMEAMINI mana naona mnatafuta pa kushika hamna matumain faraja yenu ni kujisifuu na yale anayofanya Rais ambaye mlikuwa hammtaki mkidai nyie ndio mmesababisha...
  7. S

    Siki 30 za kurejesha viwanda na viwanja zinakaribia!!

    sisi kazi tulishamaliza haijalishi viwanda kurudishwa kikubwa ilikuwa kumpiga chini mamvi na hilo tumeshatiza hayo yajayo ni mengineyo
  8. S

    Hivi Waziri Mkuu anaweza kumwamuru IGP kumkamata mtu?

    umeandika ili uonekane na wewe umo jf ila swali mtoa mada alijibiwa kifasaha kabisa
  9. S

    Hii ni kweli ya Magufuli au ni safisha UKAWA na visasi?

    Ww ni kichaa kweli porojo zote izo kumbe unaomba nafasi ya uwaziri tumia akili unawezaje kuchagua waziri mpinzan achen kuwa ombaomba mmeshapigwa chini kwenye urais kuwen wapole miaka 5 ipite
  10. S

    Sasa tunakwenda kushuhudia tofauti ya UKAWA kushika dola na CCM kurudi madarakani

    Serikali ya ukawa ingeweza? Sasa mbona haijaweza tumia akili. Hlf usifikil rais jpm atafanya kazi kwa presha zenu za kukomoa eti tuone kama ataweza? Kwa ufupi thread yako uliyoitoa inanipa wasi na uwezo wako wa kufikir inaonekana umesoma lkn unapepo la upinzan limekuingia hivyo you can not see...
  11. S

    Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Yani wewe hakuna kitu utaacha kupinga mana wewe ni kambi ya upinzan pumbav
  12. S

    UKAWA kususia Bunge la 11 linaloanza Jumanne ijayo!

    Hawasusiagi mapema kiasi hichi huwa ni mpaka wahakikishe wamerudisha pesa zao za kampen na faida ya kutosha kwa maposho ya bunge baada ya hapo ndio wanaanza kutuzuga ili tupotee maboya
  13. S

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    we ni ------ wa nyuma dagaa wewee
  14. S

    Kama si Mbowe, basi mtoto wa Mbowe, kama si Kafulila, basi mjukuu wa Kafulila n.k

    kwan watoto au wajukuu wa wapinzan ni lazma wawe wapinzan au hilo hujawaza. Hlf kila kitu kilichofanywa na serikal imekuwa kama sio wapinzan!
  15. S

    Lowassa asababisha timua timua ITV

    ningekuwa kwenye chama changu chadema mana yeye ndio amenifanya nitoke huko chadema
  16. S

    Elections 2015 Kulinda kura: Wakili Peter Kibatala afungua kesi Mahakama Kuu

    Akili ya kudeki lami toa weka ugali wa unga sembe utakusaidia zaid kuliko hiyo uliyonayo
Back
Top Bottom