Search results

  1. eddo

    Kauli za CCM zilizofanikiwa mpaka sasa

    tulianza na kauli mbiu,siasa ni kilimo,kilimo ni siasa,kilimo ni uti wa mgongo wa tanzania,sasa kilimo kwanza.kauli mbiu zote hizi mbona hakuna mabadiliko yoyote?wakulima wetu ni watu maskini sana,njaa inawatafuna mwaka hadi mwaka,kauli mbiu hizi zinatangaziwa kempnsy hotel huku wakinywa...
  2. eddo

    Kutokuwajibishana

    Habari wanajf.huwa najiuliza sana,nchi zilizoendelea,matukio ya kutisha ambayo yanale vifo vya wananchi,wahusika huwa wanawajibishwa ipasavyo tofauti na nchi zetu zinazoendelea,TATIZO HUWA NI NINI?kwanini tunaoneana aibu wakti wananchi wanaumia?naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom