Search results

  1. eddo

    Lipumba: Mimi bado ni Mwenyekiti wa CUF, sitambui kikao cha Zanzibar

    Huyu ni anamatatizo ya akili au anajitoa ufahamu........wasomi wa namna hii wanatakiwa wavuliwe u-professa
  2. eddo

    Hussein Bashe afanya ziara ya ghafla katika hospitali ya wilaya ya Nzega

    kwanini husiongee kiswahili ukaeleweshwa kuliko kuandika kiingereza kibovu hivi jaman watanzania???/
  3. eddo

    Bajeti ya kuendelea kugharimia safari za Jakaya Kikwete imetoka wapi?

    Embu tuambie,ni taasisi zipi za nje ambazo anaziongoza?:angry:
  4. eddo

    Bulembo: Hazina haina fedha za kutosha

    Hivi yeye anaongea kama nani katika serikali?yeye si mtumishi wa umma.yeye ni mtumishi wa chama.
  5. eddo

    Watanzania wenzangu tumombee rais wetu kutokana na changamoto zilizombele zake

    tunamuombea mtu ambae alishinda kihalali,si kwa kuiba kura.
  6. eddo

    David Kafulila afungua kesi Mahakama kuu, kutetewa na Tundu Lissu

    Wewe ni ----- kweli na muongo wa ajabu.lissu alisimamia kesi ya Ubunge wa Lema na akashinda.acha kuropoko ropoka ovyo.
  7. eddo

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Huyu nae ni ----- sana,...amekaa miaka nane hajafanya mahojiano maalum kuhusu richmond,leo ndio afanye?lowassa anautajiri mkubwa akimlinganisha na nani?kwa akili zake finyu,utajiri ndio kigezo cha kutompa mtu uongozi?kama lowassa alihusika na richmond na ushahidi anao kwanini hasiende...
  8. eddo

    ITV wajanja sana, taarifa za Lowassa zinawekwa mwishoni kuepuka watu wasisambae

    Ni kweli,hata baa nyingi,wanasubiria habari za lowassa,zikiisha channel inabadilishwa.na watu wanataka habari za lowassa na ukawa tu.zikiisha wanasepa.
  9. eddo

    Tanzania ya enzi hizo katika picha

    old is gold
  10. eddo

    Lowassa anastahili kuzawadiwa "Certificate of Merit in Political Tolerance and Political Maturity"

    kama ni mwizi,mahakama ipo kwanini msimshtaki?kama ni fisadi sheria za nchi zipo kwanini hazifanyi kazi?..............watanzania sasa wameshajua ukweli.....mafisadi ni nyinyi maccm.
  11. eddo

    Tupia majina ya sehemu ambayo ukiyasikia huwa unacheka

    cheka ung'atwe-Arusha
  12. eddo

    Chiku Abwao akiwachana Peter Msigwa na Edward Lowassa

    huyu amechanganyikiwa
  13. eddo

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Edward N. Ngoyai
  14. eddo

    Mchumba akikubwaga Fanya hivi....

    Bangi ni mbaya sana
  15. eddo

    Arusha na CCM

    Futa kabisa ccm arusha na Kilimanjaro.
  16. eddo

    Dk. Slaa apewa uchifu wa Dar kuikomboa Tanzania

    Kwan jk alipewa uchifu usukuman.si ni mbali na anakotoka Umeongea kweli,kweli tupu.eeh mungu kuwa nasi ktk safari yetu ya matumaini.
  17. eddo

    Richard Mgamba awa Boss mpya wa The Guardian Ltd

    Aliechaguliwa ni mkurugenz Mtendaji Wa the guardian ltd.Joyce alikuwa anakaimu nafasi hiyo.Joyce bado ni mkurugenz Wa ITV/radio one
  18. eddo

    Gari mpya Kabina inauzwa kwa Tsh Mil 786,892,800/= (ROLLS-ROYCE Brand New)

    Hatuna uwezo Wa magari ya price hii.watafte wakina mengi bakresa
  19. eddo

    Jaji Werema kuchukua fomu wiki hii

    Khaaaaaaa hata werema jaman!"""""""""
Back
Top Bottom