Search results

  1. U

    UVCCM ina mpango gani na ajira za Ualimu zilizotangazwa?

    Wakuu nimeona hili tangazo katika mitandao sasa sijaelewa lina lengo gani. Je, wale wasio wanauvccm watakuwa na chao katika ajira hizo kiduchuuu?
  2. U

    Msaada kwenye ajira portal ndugu zangu.

    Mwanzoni niliupload vyeti ambavyo havikuwa certified na sasa nataka ku update niweke ambavyo viko certified lakini vinagoma kabisa je,tatizo litakuwa ni nini?. Vile vya mwanzo vilikuwa kwenye Microsoft word na hivi vya sasa viko kwenye pdf au hilo linaweza kuwa ndilo tatizo? Kila nikiaupload...
  3. U

    Walimu wa kiswahili nchini Rwanda.

    Wadau ebu naombeni mwenye ufahamu zaidi juu ya hili suala anifafanulie. Mwezi April, Rais Magufuli alipokea ujumbe kutoka kwa Rais kagame kupitia kwa waziri wa elimu wa nchi hiyo na miongoni mwa mabo ambayo Magufuri alimwahidi Kagame ni pamoja na kwamba yuko tayari kupeleka walimu wa kiswahili...
  4. U

    Rais Magufuli: Ajira mpya zinaendelea, zilisimama kwa miezi miwili pekee

    Leo Rais Magufuli amesema ajira zilisitishwa kwa muda muda mfupi na sasa zilishafunguliwa na serikali imeajiri watu 5000 hadi sasa katika vyombo mbalimbali. Kama umekaa unasubiri ajira zifunguliwe serikalini,basi ndo ujue zilifunguliwa miezi miwili tu tangu zifungiwe. Ngoja namba iendelee...
  5. U

    Fao la kujitoa lazidi kuwindwa

    SSRA yaja na mbadala wa fao la kujitoa Mkurugenzi wa Utafiti na Sera wa SSRA, Ansgar Mushi WAKATI fao la kujitoa likiendelea kujadiliwa kwa ajili ya kupatiwa ufumbuzi, Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) imependekeza kuanzishwa kwa fao mbadala la upotevu wa...
  6. U

    Dogo katusua au utapeli?

    Huyu ni shemeji yangu(mdogo wa mke wangu),alihitimu kidato cha sita na akajiunga na jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria akahitimu mafunzo mwaka jana. Mwanzonimwa wiki hii alipigia simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni mkuu wake wa kikosi alipofanyia mafunzo na akamjulisha kuwa kuna...
  7. U

    Nimechat na mume wa mtu nikidhani ni mke wake

    Kimsingi mambo yamepamba moto,hakukaliki kichwa kinapasha joto. Kumbe kidume amedaka simu ya mke wake akaanza kuchat na mimi story kali za yale mambo yetu,na mimi nikafunguka balaa nikijua nachat na mwanamke kumbe ni mume wake.Sasa mambo yako hadharani,ni piga nikupige kati ya mwanaume na...
  8. U

    Nataka kuacha kazi, ushauri tafadhali!

    Nilibahatika kuajiriwa katika moja ya kampuni ya wahindi miaka mitatu na nusu iliyopita baada ya kukaa nyumbani bila kazi kwa mwaka mmoja na nusu tangu kuhitimu chuo kikuu. Nilianza na mshahara wa laki tano (net salary) lakini kwa sasa nakaribia milioni moja (net salary).Kampuni hiyo ni ya...
  9. U

    Mwajiri anataka nilipe faini inazopigwa kampuni

    Jamani kuna jambo limenisibu nahitaji busara zenu. Mimi nafanya kazi katika kampuni moja ya Wahindi,mkataba wangu huwa ni mwaka mmoja mmoja na nipo kazini tangu mwaka 2013.Katika majukumu yangu ya kila siku nashughulika sana kukidhi/comply matakwa mabali mbali ya sheria kama vile OSHA,NEMC,TFDA...
  10. U

    Ni bingwa wa kutongoza lakini hafanyi ngono ng'o

    Huyu ni rafiki yangu yapata miaka minane sasa tangu tufahamiane, ni kijana safi na mtanashati wa kweli.Huyu rafiki yangu ana tabia moja ambayo inanishangaza sana na hata yeye sasa anailalamikia. Ni kwamba,huyu ndugu anapenda sana kutongoza wanawake,hasa wanawake wenye makalio makubwa akikutana...
  11. U

    Usaili udsm.

    Jamani naombeni kujuzwa kama Udsm wameshaita watu kwenye usaili wa nafasi za kazi za kitaaluma na kada nyinginezo zilizotangazwa july mwaka huu.mimi niliomba lakini mpaka sasa sijawahi kuona hilo tangazo la usaili kwenye website yao au watu wameitwa kimyakimya?.Mwenye taarifa tafadhali...
  12. U

    CCM wamenifuata kuomba mchango wa sherehe ya kumpongeza M/Kiti wa mtaa

    Mimi nafanya kazi katika moja ya kampuni ya viwanda hapa jijini Tanga.Hatika hali isiyokuwa ya kawaida, jana majira ya saa kumi na nusu jioni nilipokea wageni wawili ofsini kwangu,mmoja akajitambulisha kuwa ni katibu mwenezi wa ccm wa kata ambapo ndo viwanda vyetu vipo na mwingine...
  13. U

    Hii ndege imekaaje!!

  14. U

    Ufafanuzi sahihi kuhusu theluthi mbili bmk.

    Wanajamvi,licha ya kuwa hoja ya kupatikana au kutopatika kwa theluthi mbili ili kupitisha rasimu ya katiba katika bmk sasa kunaonekana kuwa si hoja tena, lakini kuna mkanganyiko ambao mimi binafsi bado sijauelewa na hivyo nalazimika kuomba kujuzwa zaidi na mwenye ufahamu zaidi. Kuna wanaosema...
Back
Top Bottom