Search results

  1. U

    Dirisha la kutuma maombi ya Ajira za Ualimu lafunguliwa rasmi. Vigezo vyawekwa wazi, namba ya NIDA yawa kigezo muhimu

    jamani nisaidieni, nilikuwa na account ya zamani ila nimeshinwa kuitumia maana sina details kama user number na password, nimejaribu kufungua account mpya, kila nikiingiza namba ya form four naambiwa "index number invalid" natokaje hapa ndugu zangu?
  2. U

    Mwenye ufahamu anisaidie, hii inatokana na nini?

    Hahahaaa!!umejua kunichekesha aisee!
  3. U

    Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

    Hili eneo lina kilio kikuu kwa Magufuli. Watoto wa maskini tangu 2015 walipohitimu vyuo wamekaa bila ajira!!
  4. U

    Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Huu uzi kwani vipiii mbona kasi hivi, hawa wote wanaoandamana humu kama na wao wangefanikiwa kufika huko field ingekuwa balaa!!
  5. U

    Watangazaji wa TBC Gabriel Zacharia na Gloria Michael wamepotelea wapi tangu wazushiwe wamekufa?

    Sijui inakuaje unaanza kuangalia TBC. Usitupangie cha kuandika hahaaaaaa!!
  6. U

    Nilimwelewa Askofu Mwamasika wa KKKT alipojiuzulu Ubunge na kugombea Uaskofu, ila Gwajima amenichanganya

    Hicho anachofanya Gwaji hakipo kabisa katika theolojia, yeye mjasiriamali kama wajasiriamali wengine wa kawaida tu, huo uaskofu anasingiziwa tu.
  7. U

    Meya wa zamani wa Arusha amuandikia barua Rais Magufuli

    Kuna kitu kinanitatiza sana, hivi maisha nje ya vyeo kama ubunge na nafasi mbali mbali hayawezekani?. Yaani mtu yuko radhi atembee uchi ili mradi tu apate cheo lol! alafu akishakipata, utamsikia anasema, wahitimu wa vyuo jiajirini, nyambafuuu!!
  8. U

    Sitosahau: Tuliowahi kukimbia kazi za kubeba beseni na kuzitembeza mitaani tukutane hapa

    Hiyo ya Chang'ombe hata mimi imeshanikuta, mwaka 2012. Baada ya kumaliza degree yangu Mlimani mwaka 2011 niliamua kutorudi kijijini kwetu ili nibaki dar kutafuta mishe ya kufanya. nikawa nakaa kwa binamu yangu maeneo ya kawe kwa bahati nzuri nilikuwa napatana sana na shemaeji yangu(mke wa huyo...
  9. U

    Chukua hii

    Hiyo ya kwanza, imenibariki
  10. U

    Uzi maalum wa nyumba kali

  11. U

    Rais Magufuli unakiri uwepo wa Corona ila hotuba zako zinafubaza mapambano dhidi ya Corona

    Na hiyo njia moja iliyobakia pia baada ya Corona festival jumapili, achana nayo.
  12. U

    Are spies made or born?

    Mimi swali langu la kwanza ni je, mtu anaweza kuingia kwenye hii system akiwa mtu mzima mathalani miaka 35-40 kwa mfumo wa hapa Tanzania? Swali la pili, je, mtu anaweza kufanyiwa closely invetsigations baadae akapotezewa hata kwa miaka 5-10 na kisha akaja kuchukuliwa tena au ukiona hivyo ndo...
  13. U

    Profesa Kabudi anatuongopea? Inasemekana Tanzania na Burundi ziliomba kutoshiriki mkutano wa EAC

    Ungeweka na chanzo cha hii habari ya waziri wa Rwanda ingenoga zaidi.
  14. U

    Kenya wameruhusiwa na nani kutangaza maambukizi mapya ya madereva wa Tanzania?

    Kwa mujibu wa taratibu za WHO hiyo takwimu inaingia kwa upande wa Kenya.Nchi alipopimiwa mtu ndipo takwimu yake inapoingia.
  15. U

    Tanzania ifunge mipaka ili tuheshimiane

    Sasa wao wameshafunga, Tanzania itafungaje tena.
Back
Top Bottom